Recent content by MomInChief

  1. MomInChief

    Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

    Sijasema urudi ukasome historia, kama ilikupita ndio basi tena. Bali rudi shule maybe utaelewa kung'amua mambo, hasa maandushi, maana yale uliyoyajibu wala mimi sikuyaandika, umejitungia maneno sijui umeyatoa wapi! Jibu kulingana na kilichoandikwa, ndio maana nikasema rudi shule, uelewa wako ni...
  2. MomInChief

    Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

    Wala mi sijaandika popote kwamba hiyo bustani inanisaidia kitu, hiyo ni historia kama ambavyo masomo ya historia yanavyofundishwa mashuleni, ni katika kujua tulikotoka tu, na sio kwamba inaniletea mlo, kwanza hakuna nilipoandika maneno hayo, sijui umeyatoa wapi tu, nimeandika A unajibu Z! Mi mlo...
  3. MomInChief

    Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

    Nini Simon wa krene, bustani ya eden yenyewe iko Africa, DRC
  4. MomInChief

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ________________________
  5. MomInChief

    feni ya kuweka maji

    naweza pata picha ya izo fan nione
  6. MomInChief

    Nenda ukauzime mshumaa!

    unajua nmepress kweli iyo CTRL + W NILICHOKIONA MHHHHHH
  7. MomInChief

    Sekondary ya mataira.

    sio kweli.........
  8. MomInChief

    Mchaga aumbuka!

    Ivi kwann kila comment yako lazma uandke nalog off....am just asking
  9. MomInChief

    New device found!

    uyo mzee nae ana accept vitu asivovijua
  10. MomInChief

    Mwanamke akikupenda...

    Kweli kabisa
  11. MomInChief

    Mwanamke akikupenda...

    Hata wanaume nao cku izi wanatafut pesa kwa wanawake
  12. MomInChief

    Penzi la PACHO na LINAR lafichuka rasmi

    Mh..kaz kwelikweli
Back
Top Bottom