Mwanamke akikupenda...

kweli issue ya kupenda na kukupendwa ni Mungu anaijua maana unaweza penda mwingine anaona kama umeishiwa akili au anakufanya mtumwa kwa hiyo inabidi kuwa balance

kweli issue ya kupenda na kukupendwa ni Mungu anaijua maana unaweza penda mwingine anaona kama umeishiwa akili au anakufanya mtumwa kwa hiyo inabidi kuwa balance

Baadhi ya madada wana hiyo sana, unaweza ukaonesha hisia zako kwake na ikifika kipindi fulani atakuona wewe kama mjinga fulani hivi na anaishia kukudharau mwishowe kibuti, mbaya sana hii!

unaitwa Utamu wa kuogelea kwenye bahari ya mapenzi..........huoni mwisho nyeusi lazima iwe nyeupe la la la.

Love rollercoaster: Kuna wanawake wengine wakipenda basi wanapenda sana ila ukiamua kuwapenda zaidi ya wanavyokupenda wanakugeuzia kibao na unakuwa msukule wa mapenzi (source: Mbu JF).

Warning: ogopa mwanamke mwenye mapenzi sana, kwani akizuzuliwa na akapenda nje ya ndoa yako basi hapo ndo utajua kwanini kikwete anaitwa rais!

Nimemaliza
Duh...! Mkuu naomba unifafanulie hapo pekundu....!

Baadhi ya madada wana hiyo sana, unaweza ukaonesha hisia zako kwake na ikifika kipindi fulani atakuona wewe kama mjinga fulani hivi na anaishia kukudharau mwishowe kibuti, mbaya sana hii!
And vice versa is true

How do you know, if she really loves you? how. She can do anything just to get something from you. This applies to men too. How do you know he loves you?

How do you know, if she really loves you? how. She can do anything just to get something from you. This applies to men too. How do you know he loves you?
Maybe the way she look at him, it tells all

kama mnayajua yote hayo.......kwa nini huwa mnatukorofisha......?

kwani nyie huwa hamtukorofishi?? Tena nyi ndo balaa hadi kero.

Back
Top Bottom