Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,085
lol...akutukanaye hakuchagulii tusi... unabahati hapa ni kwenye jukwaa la utani!![]()
Jamani Rejao kwanza nilikumiss! Ulikuwa wapi? Naona tayari umeshafanyiwa na ile operation ya ngozi ukawekewa ile ya kitimoto. Umefanyia wapi? India? Ndiyo maana uliadimika!