New device found! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New device found!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Nov 28, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Siku moja nikiwa foleni pale NMB morogoro,kuna wanachuo wawili wa SUA walikuwa wakirushiana miziki na videos kwa simu zao.Mbele yangu alisimama mzee mmoja na mvi zake,mkononi kashika simu lake kubwa la mchina huku amelisahau likiwa bluetooth on.Mara simu yake ikatoa request ya bluetooth connection,huku kapigwa na butwaa,aka-accept.File likaanza kuwa loaded,1%,15%,94%,100%...new video received,open it?,mzee akabonyeza,'YES'.Kilichotokea ni balaa kubwa duniani na homa kilo 10,ilikuwa ni PORNOGRAPHIC VIDEO!.Ndani ya benki pakiwa na utulivu wa hali ya juu ilishamiri miguno ya kingono ngono tena kwa sauti ya juu kabisa ya simu ya kichina.Mzee wa watu alichanganyikiwa,macho yote kwake,kila akijaribu kuizima ndo kwanza akawa anaongeza volume ya sauti.Mzee akaona isiwe shida,akang'oa battery ya simu na hatimaye pale ndani pakawa shwari huku kila mtu akiwa haamini alichokisikia na kukiona.Simulia sana ila usiombe yakukute.OVER.
   
 2. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mmh yan usiombe kwel yakakukuta mmh.
   
 3. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  We acha tu,nilimuonea huruma sana yule mzee.
   
 4. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mathikini mthee wa wa2
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Mimi ndio yule mzee. Sikuona noma wala nini, niliona bonge la mjanja.
   
 6. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 7. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe ndo bujibuji,majibu yako hayatabiriki.OVER.
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  za asbuhi waungwana!
   
 9. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Feis buku hicho kifua chako balla nimekipenda, ila siyo hivyo utakavyofikiria.
   
 10. Godfrida

  Godfrida Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uyo mzee nae ana accept vitu asivovijua
   
 11. m

  manfred robert New Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i wish ningekuwepo eneo la tukio nijionee 'live'
   
 12. p

  pililani Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ha ha
   
 13. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  huu ni utani siyo kweli. kuna porocedures za kujoin divice moja na nyingine. kwanza unaziconnect, zikiwa connected, ndipo unweza kurusha unachotaka na mwenzio kupokea. sasa wewe umeleta watu hata hawafahamiani, mara mmoja anarusha, na mwingine anapokea pasipo kuunganishwa. au siku hizi simu za mchina zinaautomatic connection?
   
 14. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  :lol:.....
   
 15. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  hana lolote huyo, kaweka boost ya kichina hapo
   
 16. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #16
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Khaaa !
   
 17. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mbona inatokea mara kibao sababu wabongo wengi especially wazee hawajui matumizi mengine ya simu mbali na kupiga na kutuma msg sasa unapowaambia habari za jinolablue wapi na wapi
   
 18. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #18
  Dec 12, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kama iyo ilinikuta baraza la mitihani. Ilikua nourmaah.
   
 19. M

  Manjuu22 New Member

  #19
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mzee lazma atakua alijamba
   
 20. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #20
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Sory !
   
Loading...