Penzi la PACHO na LINAR lafichuka rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Penzi la PACHO na LINAR lafichuka rasmi

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Daffi, Nov 21, 2011.

 1. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  [h=3]PENZI LA LINAH NA PANCHO LAFICHUKA[/h]


  [​IMG] Kwa tetesi zilizotapakaa jijini Dar kuwa mtayarishaji maarufu wa muziki Pacho Latino toka B-hits anatoka na mwanadada linah na sasa penzi lao linaelekea kuwa tamutamu na wazi kwa jamii.
  [​IMG]
  Pacho producer ambae anafagilia mambo ya kifreemason kama anavyoonekana pichani akionyesha moja ya ishala ya waumini wa dini hiyo alishindwa kusema bayana kuhusiana na skendo hiyo.
  Source!!Unique intertainment
   
 2. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  kwahiyo mwanangu kamwagwa?acha nimpigie simu nijue.......
   
 3. Ellie

  Ellie Senior Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pacho au Pancho??? kuna Pacho mwamba tajiri na Pancho..so specify
   
 4. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Makosa madogo hayo!!Ni Pancho,produza
   
 5. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  hivi vijitu vinavyojipendekeza kwa ma freemason hivi njaa inawasumbua sana...
  sasa kuwa na uhusiano na huyo ndege mnana sio kitu cha kujisifia sababu kila mtu aliyepita nae aikijisifia i think kutakuwa na pages 10 hapa
   
 6. s

  shosti JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Lina umekimbia moja kwa moja kwa Amini jamani...
   
 7. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Sasa hivi Lina yuko matawi!Amini hana hadhi tena!
   
 8. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  This is a free world...if none of them is married, what is the big deal/issue?
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kama Pancho hajaoa na LInah hajaolewa hapo hakuna tatizo wachezeane tu bado vijana
   
 10. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Duh kuna tym joh makini alikua anaipga. Cjui walĂ­ishia wap
   
 11. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,559
  Trophy Points: 280
  hawa vijana bana! Nafikiri kuna level ya umaarufu ukifikia kuna kuwa na nguvu kubwa mno za kishetani unakuwa hujielewi elewi though unadhani upo smart sababu ya mafanikio! Unabaki kusema"its my life so.....!"
   
 12. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Aisee visanii vya siku hizi vinadinywa kama kuku.. Yani wachafu kweli kweli.
   
 13. std7

  std7 JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Lina anaendelea kuwaesabu akitoka kwa pancho makini akitoka kwa makini R***. ukiwamaliza wote mtafute Stara akupe ushauri
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,452
  Likes Received: 12,711
  Trophy Points: 280
  Lol wakina nani hawa mi siwajui
  ni wa bongo movies?
   
 15. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  mimi mwenyewe nilishamdinya
   
 16. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  She is beautiful
   
 17. SUPERUSER

  SUPERUSER JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Duh!...kaka avatar yako ni noumar!
   
 18. only83

  only83 JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Story za hawa wasanii wa bongo na mambo yao uwa yananipa kichefuchefu...on the other side huyu dada alikuwa anavaa sketi mpaka inaburuza chini na akawa hajui hata kufuta kamasi..leo anavaa kijinsi kama hicho..shit!! @#$%^&*(......
   
 19. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Kapigwa chini!! hahahahaha.........kapigwa chini!
   
 20. Godfrida

  Godfrida Member

  #20
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh..kaz kwelikweli
   
Loading...