Recent content by Moise Aimar

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    dah
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2026 ni kama umekwisha umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia?

    afya njema na uhai so far ni mafanikio makubwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wahenga semeni ukweli, kuna mengi hamsemi

    unajua kwann? wanaume wa zaman walkua wana kifua sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wahenga semeni ukweli, kuna mengi hamsemi

    wazai wako walikaa pamoja?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huyu rafiki yangu anatokaje kwenye hili..?

    kumwaga nje ni rahisi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    safi sana afike salama
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    chizi anachekesha akiwa mtoto wa jiran akiwa mwanao...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    dah pole sana mkuu pole sana jina linasoma nan hii namba muamala unatoka kwa wakala ,nashauri uanze kujiandaa kbs au usogee Magufuli terminal wakat wadau wanaweka michango yao
  9. M

    JamiiForums Tanzania SIMANZI MOROGORO: Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

    1. mwenyezi Mungu wa Rehema awape pumziko jema wote waliofariki katika ajali ya bus na lori 2.mwenyezi Mungu ampe pumziko jema raia aliefariki kwenye ajali hapo Mti Bora wilaya wa Mvomero 3.Katika ajali hiyo hiyo ya Mtibora,Mvomero Ebaba mwingi wa rehema tunashukuru kwa hao watatu tunasema...
  10. M

    JamiiForums Tanzania HATARI INAYOWAKABILI WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA ARDHI (ARU)

    Kufuatia ukosefu mkubwa wa hostels kwa wananafunzi wa vyuo vikuu ikiwepo chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), wanafunzi wengi wa chuo hiki wanaishi nje ya maeneo ya Chuo kuanzia maeneo ya Mwenge,Mpakani, Lufungila Survey,Makongo juu na maeneo ya Jirani ANGALIZO Kwenye kona ya chuo cha ARU ukiwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

    Hapa kwa haya majina chanzo kikubwa itakua ni Mali Wanatoka kwenye jamii ambayo mali n kila kitu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Hilda Newton Kumchafua Waziri Mkuu Hakikubaliki Popote Pale Duniani na Hata Mbinguni. Siku Yaja Atakapolipa Gharama yake Kwa Machozi.

    Chawa Pro Max kutoka vwawa Mbozi Hilda hajamchafua mtu,uongozi wa umma unahitaji usafi wa roho na mwili Raisi wa mawe kajichachafua mwenyewe NB:ule mkoromo unaweza kuunganishwa na gridi ya taifa kupunguza shida ya umeme
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma na Kuvuja kwa inayodaiwa kuwa “Connection” ya Mwigulu Nchemba? Tutajuaje si feki?

    SIO AI ni OG Kukoroma el presidente wa mawe alikua amechoka kwa kazi ya kutatua migogoro ya kijamii
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Sukari cha Tajiri wa Simba, Mo Sugar, kipo wapi?

    hata ukienda Sokoni stereo utakuta middle man ndio anapnga bei ya nyanya hana shamba wala hajui changamoto za mkulima
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Sukari cha Tajiri wa Simba, Mo Sugar, kipo wapi?

    sio lazima iwe Kilomero pekee... Rather than operating massive standalone sugarcane plantations for this specific label, MeTL packages and distributes quality crystal sugar (often sourced in bulk or processed through partnerships) into hygienic consumer packs soma vizur bolded...
Back
Top Bottom