Moise Aimar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 564
- 890
uchawa n tatizooWORLD CUP 2030 TUTAINGIA KUTOKEA WAPI, MAANA ndio hivyo?
uchawa n tatizooWORLD CUP 2030 TUTAINGIA KUTOKEA WAPI, MAANA ndio hivyo?
Posta hakuna starehe tena, sasa ni Tabata, Sinza kidogo na buza au Masaki.Iliokua Embassy Hotel, vipi na yenyewe panaendeleaje?? Ila uwa nikikaa na kufikiria sana naona Jiji la Dar linarudi nyuma badala ya kwenda mbele. Miji yote duniani pale katikati ya jiji uwa ndio sehemu haswa ya starehe, mahoteli na ma restaurant ya nguvu, ma night clubs, mabebez usiku. Yaani watu wanatoka vitongojini wanaenda "central" kula bataz. Lakini Dar eti bataz zipo huko vitongojini ndio maana foleni haziishi. Zamani tulikua tunatoka vitongojini tunaenda ma movie Avalon, New Chox, Empress n.k na night clubs zilikua mjini. Usiku mji umechangamka, siku mjini wamebaki wahindi tu. Jiji linakufa hilo.
Niliona mkuu, nilikuja 2024, jiji limekufa kifo cha mende halafu wabongo ukute wanajitanua kujilinganisha na Nairobi wakati jiji linaonekana kijiji kwa Nairobi. Kwa mfano mtu atoke mamtoni aje Dar kutembea sidhani kama atarudi tena, maana ataona jiji limepoa pale kati hamna kitu ni wahindi tu. Ukisikia Paris, London na New York ni majiji ya wasiolala hawaongelei vitongojini wanaongelea pale kati hamna kitu kinafungwa watu wapo macho 24/7 pako moto. Na hii ndio inaleta foleni, maana ikifika saa 11 watu wote wanaenda vitongojini wakati majiji mengine ndio muda wa kwenda downtown kwenye biashara. Sijui ni nani kaua jiji langu pendwa Daslamaa.😎😎😎Posta hakuna starehe tena, sasa ni Tabata, Sinza kidogo na buza au Masaki.