Recent content by Mohamedy cadinaly

  1. Mohamedy cadinaly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dream League Soccer Special Thread

    Mwanye grp la whatsapp la dsl nipe link pm
  2. Mohamedy cadinaly

    JamiiForums Tanzania Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    ww hujiulizi kwann kwa tanzania hii... hakuna muha yoyote ambaye amefanikwa mjini anataka kurudi kujenga kwao kigoma ... ??? nimekaa kigoma karibia yote kasulu, kibondo , kakonko, kgm mjini kote tabia ni zile nimeishi zaid ya miaka nane watu hawataki maendeleo huko... Huko mtu unaendae kupiga...
  3. Mohamedy cadinaly

    JamiiForums Tanzania Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Ila hapa lazima akomae fuvu unit 40 za open co poa kabisa
  4. Mohamedy cadinaly

    JamiiForums Tanzania Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Nyie watu mnaongea tu hamuijui kigoma vzuri... mm namuelewa jamaa kwasbb nimeishi kigoma huku hata uwe na million 100 kama sio mwenyeji wa kigoma inaweza kuisha bila ww kujua...!!! Ww mkoa wachanga wameushindwa unafikiri kuna biashara hapo
  5. Mohamedy cadinaly

    JamiiForums Tanzania Short course gani ilibadili maisha yako?

    Hv hizi kozi za NOSHC bado michongo ipo au watu washakuwa wengi?
  6. Mohamedy cadinaly

    JamiiForums Tanzania Shirika la Marie Stopes linaeneza ushoga na kuwatoa wanafunzi mimba

    Mkuu wamekunyima mkataba wa kazi
  7. Mohamedy cadinaly

    JamiiForums Tanzania Uzi wa wala daku 2024

    Njoo tunywe bia
  8. Mohamedy cadinaly

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Ukiona mtu anamchukia JPM jua huyo ni mjinga mjinga
  9. Mohamedy cadinaly

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Nasisitiza....Magufuli amegoma kufa
  10. Mohamedy cadinaly

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya Internship NEMC Kanda ya Kati

    Kwahiyo mipango yako utajitafuta sana mkuu
  11. Mohamedy cadinaly

    JamiiForums Tanzania Alianza kusoma BSc In Mechanical Engineering aka-drop out baada ya kuumwa. Je, kuna ofisi private zinazoweza kumpa kazi?

    Ushauri wangu kama upo town jaribu kupita kwenye garage kubwa kubwa kuulizia kazi huwezi kosa
  12. Mohamedy cadinaly

    JamiiForums Tanzania Alianza kusoma BSc In Mechanical Engineering aka-drop out baada ya kuumwa. Je, kuna ofisi private zinazoweza kumpa kazi?

    Mifumo ya kiafrika mibovu sana yani bado tunamini kwenye makaratasi kuliko uweza wa mtu
  13. Mohamedy cadinaly

    JamiiForums Tanzania Bilioni 286 kujenga uwanja Mpya wa 'Samia Suluhu Hassan Arusha Stadium' Kwa ajili ya AFCON 2027

    Tushachoka na hizo stori benjamin mkapa hadi leo ukarabati haujaisha
Back
Top Bottom