Natafuta nafasi ya Internship NEMC Kanda ya Kati

Mtu Mbadi

Member
Feb 28, 2024
95
99
Wakuu habari,

Nimegraduate Bachelor of Science in Forestry 2022, na kwa sasa nipo Dodoma najitafuta.

Natafuta mtu yeyote anaeweza nisaidia kupata nafasi ya kufanya Internship kwenye ofisi ya NEMC Kanda hapa Dodoma. Anaeweza nisaidia nitamfata PM.

Asanteni
 
Peleka CV yako TEMESA sina uhakika na spelling, NEMC wanachukulia vijana hapo. Pia kuna tangazo la kazi naona linaendaga na wewe jaribu kuomba waweza kupata, all the best

Seeking 16 Research Assistants for a Study on Vi Agroforestry’s Impact on Agrobiodiversity through SALM and Agroforestry in Bungoma County (Kenya) and Kagera Region (Tanzania)
 
TEMESA au TAESA
 
Shukran sana mkuu, ngoja nilifanyie kazi
 
Asante mkuu, ni TAESA
Jisajili TAeSA ndugu,,halafu tuendelee kusubiri. Hata mimi nilishauriwa hivyo. Kwamba taasisi nyingi za serikali zinachukua interns kutoka Taesa. Katika kipindi cha kusubiri pia tuendelee na ufugaji wa kuku, angalau tuwe na uhakika wa protini ya kutosha mwilini tukiwa tunangoja watu waupige mwingi
 
Mkuu unaweza pata kweli kupitia Taesa? Maana mimi toka January nilifanya training yao na Ile Amptitude test lakin mpaka leo ni kimya,
 
Jisajili TAeSA ndugu,,halafu tuendelee kusubiri. Hata mimi nilishauriwa hivyo. Kwamba taasisi nyingi za serikali zinachukua interns kutoka Taesa. Katika kipindi cha kusubiri pia tuendelee na ufugaji wa kuku, angalau tuwe na uhakika wa protini ya kutosha mwilini tukiwa tunangoja watu waupige mwingi
Hahaha mdogo wangu Mimi nipo kazini kitambo, ila nimepata shuhuda nzuri tuu kua TaeSA watu wanapata Bila hata connection. Apply Taesa then subiri
 
Mkuu Taesa wanaweza kukutafutia permanent employment ? Pia naomba kuuliza huwa wanaweza chukua muda gan ndo wakuite toka upige Amptitude test, maana mimi toka January mpaka leo naona wapo kimya
 
Inadepend na soko la field yako na uhitaji. Yes nasikia hata baadhi ya kampuni hutaka vijana wa kuwaajiri kupitia Taesa
 
Mkuu Taesa wanaweza kukutafutia permanent employment ? Pia naomba kuuliza huwa wanaweza chukua muda gan ndo wakuite toka upige Amptitude test, maana mimi toka January mpaka leo naona wapo kimya
Jaribu kwenda ofisini kwao pale posta, uwaambie kuwa umesubiri muda lakini umeona kimya, maana bila kuwafata wanakua wakati mwingine wanakusahau. Mimi pia nilikaa kimya nasubiria lakini nilipowafata ilisaidia kupata nafasi kwa haraka.
 
Ahaa sawa kaka , sema mimi nipo Dodoma ngoja nitawafata nione watasemaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom