Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Habarri ya majukumu? Ukiacha na dls 2024 ni game gani zaidi zuri La mpira kucheza kwenye ram ya 4 ?? Natanguliza shukrani kwa msaada
 
Soon nataka nianze kutoa Elimu ya DLS mjipange tu maana huku network imekuwa Jay na Mith sn kuwafundisha
 
ni Arsenal tu na Team 80 only rates
Screenshot_2024-07-08-19-50-10-48_7f24feae7b5e1c4a7a37a4a710799f37.jpg
 
Back
Top Bottom