Shukrani mkuuWelding
![]()
Naam madini wakuu wanasheaNitatudi kuusoma uzi mzuri sana japo wapuuzi watakaoleta mambo ya mapenzi wapo.
Nipo mkuu shukran sana Kwa kunikumbukalee jack pitia huku mkuu
Naam CheersNipo mkuu shukran sana Kwa kunikumbuka
Naaam Hongera mkuu, ndio mana wadau wanashusha madiniNimepata cause kadhaa za mimi kusoma na hata wadogo zangu.
Asanteni
Google garage, site kama Udemy, Skillshare, Alisson, Coursera, Youtube zote wanatoa ni wewe tu mkuu kujichangaMwenye abc za digital marketing naomba anipe, au naweza jifunza vipi na site gani. Asante.
Shukrani mkuu nakubaliUdereva
NENDA DIT WANAITOA MKUUMkuu hii naipata wapi kuna kipindi walikuwa wanaitoa pale udom saivi naona kimya....nataka kuipiga hii kitu
ELEZA VIZURI MKUU SITE GANI NA ULILIPA SHILINGI NGAPI ?!It is all online, sina certificate ya chuo chochote hapa TZ
Unaweza kuamua kulipia au kutolipia,ELEZA VIZURI MKUU SITE GANI NA ULILIPA SHILINGI NGAPI ?!
Hili Swali ni mahali pake?Uko wapi
NdioHili Swali ni mahali pake?
NakubaliUfundi wa magari