Recent content by MO11

  1. MO11

    JamiiForums Tanzania Mabinti wakichaga wanavutia balaa!

    Usioe mchaga
  2. MO11

    JamiiForums Tanzania Kwa nini baadhi ya maskini huona utajiri ukipatikana kwa njia haramu, huku matajiri wakisema: “Fanya kazi kwa bidii na uaminifu”?

    Ukiwa mwaminifu utapata dili haramu Huwezi kupewa unga ukauze kama sio mwaminifu
  3. MO11

    JamiiForums Tanzania Fursa Ubia: Kilimo Parachichi Hass Ekari 10 Njombe

    Mtu akupe milioni 40 kweli ???
  4. MO11

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

    Na kwa taarifa yako kwa mwendo wa Messi atafikisha goli buku kabla ya ronaldo
  5. MO11

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

    Shida kubwa ya ronaldo ni Messi Yaani bila Messi huyu ronaldo angetudanganya sana
  6. MO11

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Nyinyi mlikuwa mnaona arsenal ni shamba la bibi kujichukulia wachezaji mnaowataka Mkacheze north conference league tutakuja kuwabetia
  7. MO11

    JamiiForums Tanzania Tukutane 2056 kati ya wanaokubali ndoa na kataa ndoa

    Nyie mliooa mtakuwa mshakufa kwa presha za kulea watoto wetu
  8. MO11

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msiingize kwenye mtego wa Machinga na CCM

    Waache waisome namba eehh Sisiemu mbele kwa mbele
  9. MO11

    JamiiForums Tanzania Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

    Yani mtu aache kula kuku akimbilie hao wadudu hivi mna akili kweli nyie wahaya ?
  10. MO11

    JamiiForums Tanzania Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Mwanaume kukosa mtoto ni tatizo la mwanamke
  11. MO11

    JamiiForums Tanzania Maji yenu yanatoka machafu kama haya?

    Maji ya wapi unaongelea Mi nachojua hata uwe na kiu vipi maji ya bukoba huwezi kunywa
  12. MO11

    JamiiForums Tanzania Utafutaji au anasa — kipi kinatutafuna?

    Unatafunwa peke yako
  13. MO11

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mamba tulio nao Tanzania ni wakali sana? Jihadhari na mito au sehemu za maziwa zenye mamba Tanzania

    Sijasoma mada Ila kwa kumuangalia dudu baya a.k.a mamba lazima awe mkali haiwezekani mwanaume ukawa lege lege Beta wochi yua baki
Back
Top Bottom