Recent content by mnywaba

  1. M

    Ushauri : Ujauzito wa my wife unanipelekea nitake kuchepuka

    Hapa, Wife ni Director of Finance kwenye kampuni moja, ila kwa sasa ameshauriwa na Daktari wetu wa nyumbani asiwe anaenda kazini cause muda wowote mambo yanaweza yakatiki. kwani ungesema daktari tu tusingekuelewa mpaka uongee wa...
  2. M

    Kina dada muwe makini na Foreigners

    Usimpe hela kama ana shida sana akamuombe baba yake mzazi. Kwani wewe ndio umemleta mjini au bush kama bado mko huko? Hahahahaha nimechekaajeeeeeeeeeeeeeeeee
  3. M

    Ni sheeeeder kan'tangaze.

    haya bana tumekusikia
  4. M

    Naombeni ushauri kwa yaliyonikuta

    pole sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  5. M

    Wanawake Above 30 hata 40 Marriage is a Hypocrytical Institution, Kama Fungu la kukosa utakosa tu!

    Mwayego wala usiumie kuhusu hilo, kama ipo ipo tu muumba ndo anayejua; Nina mama angu mdogo ana miaka 37 lakini mungu kamjalia kapata mume na sendof yake tunaifanya 25 mwezi huu. Na wala hakuwahi kuolewa wala kuwa na mtoto , Mungu kama kakuandikia kitu fulani kitakua tu hata kama kwa kuchelewa.
  6. M

    Hivi Wanawake wote mpo kama huyu?

    Du pole mtoto bado mdogo,sana mimi wala sishangai yashanikuta hayo nami nimelelewa na mama wa kufikia yani hayo unayoongea ni kama umecopy na kupaste maisha yangu yani mzee alikua akininunulia vitabu vya shule ni shida, nikipewa kishilingi mia cha kwenda nacho shule ni shida mtu ananuna ...
  7. M

    Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

    umeona ee hili nalo neno!!
  8. M

    Maamuzi gani nichukue dhidi ya ndoa yangu?

    Pole dada nimeamini sio wote wanaoolewa ama kuoa wanapendana ka dhati 7 years?
  9. M

    Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

    HahahaHa umeona eeee!! Nyumba zina mengi jameni
  10. M

    Barua kwenda ukweni inabidi iwe na vitu gani?

    hahahahaha usiniambie sms tu
  11. M

    Nimchague yupi kati ya hawa

    more than beautiful kwa umri wangu nilionao wat wanadhn nina 22 or 23 but am over 27 (nina baby face) thanx god kwa uumbaaji kwa kwel
  12. M

    Nimchague yupi kati ya hawa

    Don't tell me
  13. M

    Nimchague yupi kati ya hawa

    off course most of my friends wananiambia huenda jamaa mimba kwake ni sumu kwa hiyo akinipachika na mimi huenda akasepa au wananiambia atakua na matatizo af kitu kingine anachonishangaza kwenye maogezi yake anadai kwao wanamwambia aoe sasa mimi napata majibu huenda anaoa kwa ajili ya kuambiwa...
Back
Top Bottom