Naombeni ushauri kwa yaliyonikuta

Naombeni ushauri kwa yaliyonikuta

Wadau nipo hospitali mwanamke niliyetegemea awe mke wangu nilienda kazini jana saa saba mchana narudi namkuta yupo na chupa za bia kanikasirikia.

Jion bila kuaga akaondoka, akarudishwa na men saa nane namuuliza kanipiga chupa ya bia kichwani.

Pole sana. Kama ni mimi, hiyo vita ni hadi kaburini.
 
Mwanaume mzima unapigwa na mwanamke halafu unakuja kubwabwaja hapa ww ni mzigo kweli bora hata pinda sio mzigo kuliko ww
 
Hivi wanawake walevi watu huwa wanawapatia wapi hayo ndo madhara ya pombe inaonyesha huwa unadundwa sana na wewe mwanaume mzima una ng'aa sharubu pole yako
 
Wadau nipo hospitali mwanamke niliyetegemea awe mke wangu nilienda kazini jana saa saba mchana narudi namkuta yupo na chupa za bia kanikasirikia.

Jion bila kuaga akaondoka, akarudishwa na men saa nane namuuliza kanipiga chupa ya bia kichwani.

Dah..
Ningeua mtu.
Anyway, pole sana.
 
Pole, lakini kuoa mke mlevi? Mmmh, or perhaps coz i don't drink, lakini..mmmh!!
 
Pole sana. Kama ambavyo Nyota njema inavyoonekana asbh vivyo hivyo nyota mbaya. Hakufai huyo kaka.
 
Duuuuuu.... kidogo nicheke ila kusikia umepigwa chupa.... mkuu pole sana... kwanini ulitafuta mlevi na wewe? Unajua akili zetu wanawake zilivo, sasa pata picha ikichanganywa na alcohol....

Pole zangu kwako toka ndani ya uvungu wa moyo wangu....
 
Back
Top Bottom