Nimchague yupi kati ya hawa

Nimchague yupi kati ya hawa

The fact that umemuweka huyo mwenye watoto kwenye list that means haupo sawa kwenye vigezo vyako dada yangu.Unaanzaje kumfikiria mtu wa namna hiyo?!! Angekuwa mtoto mmoja hapo sawa,achilia mbali hilo kana kwamba haitoshi bado ni mtu mwenye matusi ya nguoni.

Nafikiri mjadili huyo wa pili na si kuanza kumfananisha na wa kwanza.
 
Kwani wewe ni mbaya sura sana?au maskini sana?au una nini hadi ujiingize utumwani?una tatizo la akili?rafiki zako wanakwambia ..we huoni?

more than beautiful kwa umri wangu nilionao wat wanadhn nina 22 or 23 but am over 27 (nina baby face) thanx god kwa uumbaaji kwa kwel
 
Pole mdogo wangu unayefanya veting ya
Mchumba. Sitaki kwenda mbali. Huyo wa watoto wanne bila shaka anatafuta mtoto wa tano kwako. Hebu jiulize akikuoa una mpango wankuzaa watoto wa ngapi? Je upo tayari kuwalea watoto hao wanne uliowakuta? Maana wote ni watoto wako ukishakuwa mke rasmi na huwezi kataa kama ulivyosema mkorofi. Kuhusu wa pili inaonesha wewe unampenda ila una kama mashaka na tofauti za imani. Ila dini isiwe kikwazo sana mnaweza kufunga bomani au kama wote wakristo tofauti ya dhehebu si jambo la kuhofia sana. Mlutheran na mroma mnaweza kuoana ila kama ni mristo na muislamu angalieni wenyewe mtakavyoamua kama vipi hamia kwake au fungeni ndoa ya kiserikali muishi kila mtu na dini yake japo vijana wengi hamuendi ibada mmebakia waumini wa majina na mnafanya nyumba za ibada kama mahala pa kufungia ndoa ibada mnaenda mwisho na mwanzo wa mwaka.
 
huyo wa kwanza kimeo best maana hajakuoa mitusi akikuoa itakuaje kuna vijitabia vingine havonekani hadi uingie ndani wapili dini na umri hapo kazi kwako mwenyewe sikiliza mapigo ya moyo wako yanavyopiga .
 
huyo wa matus na watoto wa4 anakufaa kama umempenda mwache alete pouser kwenu.
 
ushauri wangu wa haraka ni kwamba wote hawakufai, tafuta tu mwingine tofauti na hao wawili, maana wote ni vimeo tu. huyo wa pili anakudanganya tu hana cha ubikira wala nini, ni trick tu ya kukupata , je na wewe unaweza kuprove mwanaume ambae hajafanya mapenzi hata ukifanyanae kwa mara ya kwanza huwezi kujua.
 
Rudi mtaani katafute option ya 3 kama haupo desperate sana na ndoa'

Hao wawili hawakufai hata
 
Hapa kuna kila dalili za "piga ua lazma niolewe". Kwa description ya huyo mwanababa wa kwanza hata mtoto mdogo anaweza kujua huyo ni famba ila for the sake of bridal gown and a ring, why not! mengine mbele kwa mbele. Huyo wa pili kukuambia tu yeye ni bikra na kaahidi kubadili dini tayari ushaona mume mwema. Nionavyo mimi katika hao wawili hakuna hata mmoja anayefaa kuwa mume wako. Wote wawili ni wawindaji tu sema style zao tofauti. Na wanakwambia kile unachotaka kuskia.

Na mpaka imefikia mahali wanaume wawili wanapendekeza kukuoa ina maana unawadeti wote kwa wakati mmoja au ndo ile mnatongozana tu unaingiza habari ya ndoa? Labda hili halinihusu maana najua hakuna fomyula. Ukiikalisha akili kimkao wa kuolewa olewa uta-attract kila aina ya bazazi. We bwana endelea na maisha yako huku ukiendelea kukaribisha options. Huo umri wa "si chini ya 27" usiwe issue saaana maana hujui hata utaishi miaka mingapi. Uje utuletee shemeji namba 1 si tutakuwa tumekupoteza by 30????
 
Mhhhhh wanawake wa4 wamemshinda?HE IS THE PROBLEM,ila kwenye maelezo atawasema wanawake ndo wabaya,angalia usije zalishwa hapo na wewe..i always really wonder hivi mwanaume kapitia wanawake almost mia atatulia kweli???some men wanaendekeza sana promiscuity hadi uzee unawakuta, kukaa na mtu kama huyo ni kujitaftia maradhi ya moyo,he cant keep a woman..
Nenda tu kwa huyo Virgin boy,muanze moja
 
yaani wewe unaangalia kibanzi kilichopo kwenye jicho la mwenzako alafu huoni boriti lililopo kwenye jicho lako ¡- hebu angalia jins kwanza ulivyokuwa hujatulia wamaume 3 wote unachezesha game alafu unataka mwanaume mkweli wakati wewe mwenyewe msaliti tu ¡-

tambua kwamba GOES AROUND , COMES AROUND ¡-¡-¡- USIJIFANYE MTAKATIFU KWA WENZAKO WAKATI MADHAMBI YAKO WAPO WAZI WAZI ¡-UTAUMBUKA VIBAYA¡-
 
huyo wa kwanza mwenye watoto 4 ndio mara nyingi ni chaguo la wanawake na hawa jamaa huwa wanaijuwa vyema lugha wanayoipenda wanawake.

huyo wa pili sijui ni mlokole labda akajaribu bahati yake kanisani. if you deeply kwenye moyo wa mdada huyo abdallah nyumba nyingi ndio chaguo lake hapa kaja kupima upepo tu.

poleni sana wanaume watulivu na waadilifu hamna nafasi katika mioyo ya wanawake walio wengi.
 
huyo wa kwanza mwenye watoto 4 ndio mara nyingi ni chaguo la wanawake na hawa jamaa huwa wanaijuwa vyema lugha wanayoipenda wanawake.

huyo wa pili sijui ni mlokole labda akajaribu bahati yake kanisani. if you deeply kwenye moyo wa mdada huyo abdallah nyumba nyingi ndio chaguo lake hapa kaja kupima upepo tu.

poleni sana wanaume watulivu na waadilifu hamna nafasi katika mioyo ya wanawake walio wengi.

lohh we mbayaaa...nishaona upo upande gani
 
huyo wa kwanza mwenye watoto 4 ndio mara nyingi ni chaguo la wanawake na hawa jamaa huwa wanaijuwa vyema lugha wanayoipenda wanawake.

huyo wa pili sijui ni mlokole labda akajaribu bahati yake kanisani. if you deeply kwenye moyo wa mdada huyo abdallah nyumba nyingi ndio chaguo lake hapa kaja kupima upepo tu.

poleni sana wanaume watulivu na waadilifu hamna nafasi katika mioyo ya wanawake walio wengi.

Wewe ndo umesema ukweli kabisa, nakumbuka na mimi nilikuwaga naingia kwa hizo gear za upole na uadilifu lakini sikuambulia kitu na wale wahuni wanafanikiwa, ikabidi nibadili mbinu ndo naona sasa hv afadhali ninafanikiwa kimtindo.
 
Achana nao wote. Hata ungekuwa 30+, tulia utapata anayefaa.
 
Achana nao wote. Hata ungekuwa 30+, tulia utapata anayefaa.

unajisumbuwa bure, huyo mwenye watoto wanne ndio chaguo lake, kuna baadhi ya wanawake ni vigumu hata kuwaelewa uku duniani ni nini wanachohitaji.
 
Kwani wanaume ni hao wawili tu hapa ulimwenguni?

Wanawake wengine sijui huwa mmekatwa vichwa!!!!
 
Back
Top Bottom