Kina dada muwe makini na Foreigners

Kina dada muwe makini na Foreigners

Pole yake kwa kumlia yamini huyo mkaka!
Matapeli Wako wa kila rangi mpaka wabongo pia.
Moyo wa mtu kichaka!!!!
 
Ujidanganye tu ukizan utapata hela kwangu mbona utasota sana adi surual itoboke mak.alion na iyo tenda yako nakutoa nduki adi uone ulimwengu wa orange

Ngoja nitakutafutia tu timing, utakuwa unaleta bila kujijua.
 
Sina haja na wagenu. Wasukuma wananitosha name maisha yanasonga
 
Usimpe hela kama ana shida sana akamuombe baba yake mzazi. Kwani wewe ndio umemleta mjini au bush kama bado mko huko?

Hahahahaha nimechekaajeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sio maforeigners tu... hata wabongo wapo matapeli waliokubuhu...

Nilikutanaga na mmoja hivi, ye alidai anafanya kazi na watu wa migodini anasupply spare party. Ni msiri sana, simu zake anapokea kimachale au anakuwa na mfululizo wa simu nyingi na za muda mrefu.

Kuzima simu kwake ni kawaida yaan haeleweki, ni msiri na muongo wa kutupwa...

Baada ya muda akanambia kuwa ile biashara ya kusupply spare party inalipa sana, yaan shilingi inazaa shilingi. Basi nami nimjoin kwa kuanza nianze na 2mil. It means nitapata faida 2mil nyingine. Lakini titagawana faida yaan yeye achukue 1mil na mie 1mil.

Si nikakubali, lakn hapo kati akaniomba nimuazime laki 2. Atanirudishia siku 3 baadae, ile kuja kumdai si akaanza oooh ina maana huwezi kunipa hela nikiwa na shida mpaka nikurudishie....

Oooh... Machale yakanicheza, hata hizo 2mil zingeenda na maji. Kuanzia hapo sikutaka mawasiliano naye mpaka leo.

Matapeli wapo kila kona aisee, si foreigners pekee!
 
  • Thanks
Reactions: ram
na dunia ya sasa wanaume wengi wanapenda dezo. utasikia ohh sitaki kuoa goli kipa nataka msomi kama mie maisha magumu. akishampata kila jukumu la mwanamke masikini wamama tulivyo na huruma ukishaambiwa ahh we lipia ada za watoto bwana si una mshaharaunatoa sasa utaacha watoto wasiende shule kisa baba yao kakataa kutoa ada. ,kesho utasikia mama nanihii bill ya maji hiii rekebisha basi yeye kutwa pesa zake katika viwalo ,starehe na wenzake baa vikao vya harusi nk.

Iron Lady, hivi kweli kuna wanaume wa aina hiyo?!!!
 
Alafu unajua nyie kina dada huwa mnashobokea sana foreigners kwa kudhani kuwa wana EXPOSURE kubwa kutuzidi sisi wanaume wa kibongo...sasa kazi mnayo.
 
Ila kwa wenyeji ni rahisi kumtafuta na kujua info zake, lakini kwa huyu jamaa dada wa watu hata alikuwa hajui wapi aulizie habari zake.

Hafu dada mwenyewe ni mjanja, born town lakini kakutana. Imagine ndani ya miezi sita mapenzi yameshamiri mpaka jamaa kajitambulisha na hela kapewa.
Miezi Sita yote hiyo watu Miezi 2 Mingi mtu anakuwa ameshaingia king na kadi zote anakabidhi
 
Wapopo wengi wanaokuja wakizurura bongo huja hapo ki mission zaidi kwa staili ya kuzuga zuga kwa utapeli tapeli na uwekezaji au biashara uchwara lakini lengo kuu ikiwa ni kupata viza za kuelekea Ulaya, Australia, Canada au Marekani kwani kwao ni ngumu sana kupata viza hizo. Nchi hizi zilizopoa kama Bongo huzitumia kama strategy country.

Na baada ya at least miezi sita ya kuishi nchi husika na kama visa ya ukazi wako hapo nchi husika (yaani third party country) bado uko halali basi wanakuwa wameshatimiza vigezo vya kuombea viza za mataifa ya magharibi na kutimua zao.

Lakini katika kile kipindi cha mpito ndio unaona lazima apate mahala pa kuhemea/shikilia flani hivi. Hivyo hapo ndio akimkuta dada sijui ana kakazi kazito kazito kazi sijui UNDP hivi (maana hawachagui padhaifu ati🙂 ndio atamganda na mapenzi ya 'Hey hey babe nyiiingi ile kupitiliza'🙂..... mara ndio unaanza kusikia 'muziki mzito ' kuwa dada kaliwa na jamaa kashapata safari imetoka.

Na tatizo naliona lipo kwa dada zetu zaidi maana kusema wana laana ya 'kushobokea' wanaume wa mataifa ya nje. Hata kama hawana kitu basi yuko radhi amtunze yeye kwa pesa ya kukopa mradi tu ni raia wa kigeni. Na hata ughaibuni binafsi nimeyaona madada wa kibongo tabia yao ni hivyo hivyo kushobekea mapopo. Pale penzi linapoanza kuchanua tu basi ataleweshwa na pesa za wizi halafu akishazalishwa mtoto mmoja /wawili hivi mpopo anaanza kumuonyesha 'true color' anaanza ku suffer na mitoto ndio utamkuta sasa wapopo washakuwa washenzi kwake anatafuta mbongo mwenzake sasa ati anataka ku settle down🙂 na baggage ya watoto wa mpopo...🙂 teh teh

Yaani hata sijui nani aliwaroga madada wa kibongo walahi!
 
izo mtu za west africa ni tatizo dunia nzima kina dada kuweni makini na hao jamaa hasa kutoka nigeria wanajulikana kwa utapeli na chunguza mara nyingi hawatumii smartphone wao nokia vitochi wanajua mabalaa yao ndo mana hawazitumii sababu ya security
 
Duh! Pole yake jamani, matapeli wa mapenzi ni wengi
Nia ya huyo jamaa ilikuwa ni kupata nauli ya kwenda USA tu na si zaidi ya hapo

Ila kwa wenyeji ni rahisi kumtafuta na kujua info zake, lakini kwa huyu jamaa dada wa watu hata alikuwa hajui wapi aulizie habari zake.

Hafu dada mwenyewe ni mjanja, born town lakini kakutana. Imagine ndani ya miezi sita mapenzi yameshamiri mpaka jamaa kajitambulisha na hela kapewa.
 
Ahahahahhhh, pole mwaya japo kalaki 2 kalienda but uliepusha mengi
Mimi nami kuna mtu nimemkopesha laki 3 sijui zitarudi, hapa nilipo nawaza ile mbaya

Sio maforeigners tu... hata wabongo wapo matapeli waliokubuhu...

Nilikutanaga na mmoja hivi, ye alidai anafanya kazi na watu wa migodini anasupply spare party. Ni msiri sana, simu zake anapokea kimachale au anakuwa na mfululizo wa simu nyingi na za muda mrefu.

Kuzima simu kwake ni kawaida yaan haeleweki, ni msiri na muongo wa kutupwa...

Baada ya muda akanambia kuwa ile biashara ya kusupply spare party inalipa sana, yaan shilingi inazaa shilingi. Basi nami nimjoin kwa kuanza nianze na 2mil. It means nitapata faida 2mil nyingine. Lakini titagawana faida yaan yeye achukue 1mil na mie 1mil.

Si nikakubali, lakn hapo kati akaniomba nimuazime laki 2. Atanirudishia siku 3 baadae, ile kuja kumdai si akaanza oooh ina maana huwezi kunipa hela nikiwa na shida mpaka nikurudishie....

Oooh... Machale yakanicheza, hata hizo 2mil zingeenda na maji. Kuanzia hapo sikutaka mawasiliano naye mpaka leo.

Matapeli wapo kila kona aisee, si foreigners pekee!
 
Tehtehteh....ati mtongozo wa kizungu
Bora alifunhuka mapema kwamba anataka ahamie kwako ukastuka, angekupeleka geto ya mtu mwingine ungeona hapa nimpeta kidogo kidogo angeanza kukuchuna. Ila kiukweli wakaka wengi siku hizi ni matapeli wa mapenzi, naona wamechoka kuchunwa sasa wameamua kutuchuna

Basi wameamua hao wacameroon, me nlikutana na mmoja Bank..Wacha aning'ang'anie....na vile mtoto nlikuwa nimetupia ushungi akaja na gia kali sana ya ndoa...
Bahati nzuri sijawahi kuwaza kuolewa na foreigner even mmakonde mwenzangu wa Msumbiji....tutabanana huku huku uzaramoni....

Cha ajabu katika Chating nikamuuliza unaishi wapi? Mara anambie Kinondoni, mara Magomeni, mara Kariakoo...mwishowe akafunguka eti anataka aje aishi kwangu....Mwee hapo me mwenyewe nlikuwa naishi hostel...!

Nikaona hapa ni shida tu, nikampotezea...halafu mtongozo wenyewe ulikuwa kwa kizungu ndo kabisaa nikaona ananichosha kunihangaisha na dictionary...

Wadada tuwe makini sana, jamaa wameamua...!
 
Back
Top Bottom