Recent content by mnyikungu

  1. mnyikungu

    Africa Kusini haijawahi kuwa na Rais wa kueleweka tena baada ya Nelson Mandela

    Nadhani thabo Mbeki ndiye raisi bora ila ni vile tu Waafrika Kusini hawakumpa muda na yeye hakujiandaa na siasa chafu lakini ni bonge la mtu
  2. mnyikungu

    Rwanda, Kenya na Uganda zajipanga kuwa na umeme wa nyuklia, Tanzania tumejipangaje?

    Umesema kuwa umeme wa nyuklia ni wa bei rahisi? Matunzo ya vinu vya hizo nyukilia, matunzo na uhifadhi wa taka nyulia unafahamu changamoto na ugumu wake? Kiuhalisia sisi hatutakiwi kuunga mkono kujenga viwanda vya nyuklia kwasababu ya hatari za kiusalama zilizopo kwenye vinu vya nyuklia, tena...
  3. mnyikungu

    Ushauri: Pesa ya Tanzania isiwekwe wanyama

    Si kila neno unaloliona sehemu basi linamaanisha hivyo unavyoliona na kulijua, lile neno unaloliona kwenye dora yaani "in GOD we Trust" hiyo GOD ni Gold Oil and Diamond.
  4. mnyikungu

    Viongozi wa Nchi za G20 waridhia Umoja wa Afrika kuwa Mjumbe wa Kudumu wa Jukwaa hilo

    Sera na Mipango ya BRICS haifanani na G20 kwahiyo sidhani kama wao wataliangalia hili kwa kununa kama unavyosema, na BRICS kwangu naona inaichachafya zaidi EU na G7 kuliko G20.
  5. mnyikungu

    Misri: Rais Al-Sisi awataka wananchi kupunguza kuzaa kuepuka janga la kibinadamu

    kuzaa au kutokuzaa nadhani ni kuacha tu asili ichukue nafasi yake, ukiangalia sasa hivi ulaya wanawabembeleza watu kuzaa na hawaraki kwasababu ya hizi sera ambazo walizipandikiza kwenye vichwa vyao muda mrefu. Watu wazaane tu, kwamba watahudumiwaje mazingira yatatuwezesha na tutapata maalifa ya...
  6. mnyikungu

    Best top 5 female rappers of all time

    Kuna kina queen pen,Da brat...
  7. mnyikungu

    Inakuwaje kwa wasanii,wafanyabiashara na wanamichezo wa USA inafikia kuadabishwa kwa njia yoyote.

    Dunia hii kuna watu unavyowaona siyo kama walivyo...umaarufu wao nyuma ya pazia kuna kitu au watu wanaratibu sasa wakati mwingine hawa watu maarufu hukiuka makubaliano ya hivyo vitu au watu walio nyuma ya pazia ndo shida huanza kuwapata, inasemekana Michael Jackson yeye alichoka kuwa chini ya...
  8. mnyikungu

    Simba tumepoteana kuanzia kwa MO mpaka Mashabiki

    madharacya kurudisha gari kinyumenyume ndo haya
  9. mnyikungu

    Yafichuka mazito: Diamond Platnumz na Majizo bifu zao hazina mashiko

    Hizi mambo silikuwa zinamfaq sana marehemu Warumi
  10. mnyikungu

    Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

    Kwani dini gani una uhakika kabisa ni ya Mungu.
  11. mnyikungu

    Tofauti ya Sunni na Sh’ia ni ipi hasa?

    Pia nimepata kusikia mashia wanaakili na uchumi mzuri na wanasaidiana sana kuliko Suni ni kweli.
  12. mnyikungu

    Usioe familia ya mwanamke maskini, yamenikuta

    Wakaanza kuambukizana ufukara
  13. mnyikungu

    Muonekano wa nchi ya New Zeland kutokea ISS

    Nenda kafuatilie kazi ya Soyuz kwenye hicho Kituo, ndio kifaa Pekee ambacho hutumika kusafirisha wanaanga kwenda na kurudi, pia kwenye hicho Kituo kuna Soyuz nyingine ambayo ipo standby kama likitokea Lolote basi Kiweze Kuwatoa wanaanga kwa dharura
  14. mnyikungu

    Muonekano wa nchi ya New Zeland kutokea ISS

    Wewe Ndo unabisha ujinga, muwe mnafutilia mambo Siyo unazubaa Zumba’s tu wakati hujui
Back
Top Bottom