Maoni yangu ni kwamba vyovyote iwavyo si sahihi kuwatuhumu wasanii wanaoamua kushabikia upande. Wanazosababu kama ninyi mlioamua kuwa upande wa pili. Hebu tujiulize ikiwa UKAWA itachukua ikulu ndio kusema wasaniii wote itabidi wawe upinzani ? yaani CCM ,TLP nk? tuache hoja kengeufu
Si dhani ikiwa hoja hii ya kubadili vyama na suala la maendeleo inatosha kuitetea CCM!
Kitu cha kujifunza ni kwamba nchi zinazotajwa kuwa hazikubadili vyama viongozi wake WALIWAJIBIKA KWELIKWELI na wakaacha misingi ambayo waliofuata waliizingatia katika kujenga nchi na pengine kuboresha...
Bila kuangalia maisha binafsi ya Shigongo, yeye kama binadamu anahaki ya kushabikia upande wake! Kwani hakuna meadia zinazoshabikia upande? Tuache unazi. Si lazima wote wawe kwa masai! ITV inatenda haki? Habari Corperation? Je Mawio?
Nadahini heri Shigongo aliyejipambanua hadharani kuhusudu...
Ras usemayo ni sawasawa! Mie ni MTZ lakini siwezijivunia uvundo! Kati ya sifa nzuri kwa binadamu SIO KUWAJUA WENGINE BALI KUJIJUA! sina hakika ikiwa wachangiaji waTZ wanajijua kama waTZ! Yaani uwezo na udhaifu. Nadhani desturi za LELEMAMA za pwani zimeharibu uongozi wanchi na hatimaye raia...
Ndugu umenisafisha moyo wangu. Umesema yale yaliyonisumbua sana. Waungwana wakisema hapo rupia ilipenyezwa ili kuondoa UDHIA hakuna wa kubisha. Tunapochambua hali halisi pasipo ushabiki wa kisiasa ndipo tunafanikiwa kujitambua zaidi.Ni kweli wengi wanataka mabadiliko lakini YEPI na KWA NJIA...
HAYO YA SLAA NDIO UNAYASEMA LEO WAKATI AMEWABWAGA?
Hivi hapo nawewe unajiona umetoa HOJA ya maana? acha hizo!
Mbona hamkumuwajibisha baada ya kuona ametumia fedha vibaya? NYIE MMEZOEA SANA KULA MAKAPI HAYA YACHUKUWENI YOTE NA IKIFIKA OKTOBA UKIWA UTAWAINGIA!!
Sio kila mabadiliko ni chanya. Mabadiliko mnayotaka chadema na ukawa ni hasi kupindukia!!
Hatutaki kujuta kwanini tumechagua chama mbadala. Endeleeni kusubiri mlangoni!
mahesabu ya kuuza ndizi na maparachichi na yale ya kuongoza watu ni vitu viwali tofauti kama mbingu na dunia!
Mbowe anafikiri kila kitu ni biashara ya bidhaa! Mfano wa maji KUPWA na MAJI KUJAA ni dhaifu sana na inaonekana hajui fasihi kabisa. Anajiridhisha kwamaba anajua sana kuongea(orator)...
Amina! Umeonge kama mtanzania makini. System haitamwangalia mtu wala kikundi bali uhai na afya ya mama yetu tanzania! Mungu aipe system hekima na ujasiri
MASIKINI LOWASA DUNIA INAKUPITA KAMA ULIVYO URAISI. URAISI UNAKUPITA JUU LEO KAMA ILIVYOKUWA 1995. HAKIKA MUNGU ANA MAKUSUDI YAKE HEBU ISIKILIZE SAUTI YAKE. WANAOSEMA WEWE NI SHUJAA WA KIMASAI WANAKUHIMIZA KWAMBA KWA SHUJAA HUENDA KILIO NA KWA MUOGA KUKAWA KICHEKO! HERI UWE MUOGA SI KWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.