TIMU Magufuli tukutane hapa

TIMU Magufuli tukutane hapa

Magufuli akishinda Napiga Mbizi Mpaka Madagascar.

Usifanye hivyo Kamanda unaweza kufa ama kuliwa na samaki, yeye hana kundi wa wa kuwapa fadhila sembuse visasi?, hata ua ama kupiga mtu yeye kaziyake ni kuipeleka Tanzania mbele, kiadilifu zaidi.
 
Pamoja sana mkuu. Mimi nilikuwa Chadema lakini kwa kuwa wamelichukua fisadi Lowassa sasa kura yangu itaenda kwa Magufuli.
 
Tuko pamoja sana mkuu, October 25 hatulazi damu.
 
Tunaruhusiwa kusema madhaifu yake hapa pia?

Rev kakobe katika Chadema national conversion Leo mlimani city amemtetea Lowasa kwa kusema "HAKUNA ALIYE MKAMILIFU"
Mh Freeman Mbowe naye kasema hivyo hivyo hakuna aliye mkamilifu hata Chadema "TUPO" wenye dhambi. Vote for Magufuri
 
Pamoja sana mkuu. Mimi nilikuwa Chadema lakini kwa kuwa wamelichukua fisadi Lowassa sasa kura yangu itaenda kwa Magufuli.

Wanaogopa kusema kweli lakini inafahamika mafisi yote yanarudi CDM ..mbowe anaogopa kuusema ukweli kwamba akina Chenge na karamagi nao wataenda CDM ..mafisadi watakitumia kwa masrahi yao wanayoyajua wao na mwenzao mbowe mnafiki kama shetani
 
Rev kakobe katika Chadema national conversion Leo mlimani city amemtetea Lowasa kwa kusema "HAKUNA ALIYE MKAMILIFU"
Mh Freeman Mbowe naye kasema hivyo hivyo hakuna aliye mkamilifu hata Chadema "TUPO" wenye dhambi. Vote for Magufuri

Heh hatari, mbona mwanzo walijiita wasafi na watakatifu? kumbe leo na wao wamegeuka wazugaji tu waganga njaa ..basi poa acha tumpe jembe Magufuri na Muhongo ili dawa iingie sawasawa
 
Baada ya uchaguz huyo kiumbe wazazi wake waliokosa jina wakamwita jina la kifaa cha ulinzi na kiburudisho cha koo lazima apumulie mashine ya kukoboa nafaka,hataamini masikio yake,viva lowassa jembe letu
 
Atakayepumulia mashine ni hicho kizee chenu kigonjwa Lowassa kinachougua ugonjwa wa Alzheimer's. Subiri utaona baada ya uchaguzi kitarudishwa Ujerumani kwa matibabu.
 
Ninazo sababu nyingi lakini mojawapo ni:-
1. Magufuli amekuwa mtumishi wa umma kwa muda mrefu tena akiwa amezungukwa na washawishi wa ufisadi lakini kabaki safi. Naamini atazidi kuwa safi hata akiwa raisi

2. Magufuli aliweza kufanya kazi nzuri ndani ya chama ambako wengi walikuwa blah blah. Naamini akiwa rais impact yake ya kazi nzuri itaenea nchi nzima sio tu serikalini bali hata kwenye mashirika muhimu katika nchi kama TRA, BoT nk ambako utendaji kazi no muhimu mno ili uchumi wa nchi ukue.

In Magufuli I trust hata kama mimi sio CCM au UKAWA.

Nakubaliana na wewe, lakini mafisadi wanaona mbali zaidi; baada ya kuona CCM top anaingia mtu anayemaanisha wameamua kuungana kuhakikisha ana under perform kwakuweka watu wao ndani na nje ya chama walipokimbilia wengine wao.

Kama kuna wakati watanzania wazalendo wanatakiwa kukaa na Magufuli na kutengeneza strategies za kuwa destabilize na hatimaye ku up root system ya hawa watu ni sasa.

However Mungu bado yupo kama vile majeshi ya Yerico walivyodondokewa na ukuta basi na wakati huu lazima tuuzike mfumo ufisadi ambao uliivaa nchi hii tangu baba wa Taifa hili aliposema wameenda kimya kimya wakavunja misingi ya Azimio la Arusha.

To God be all the glory and power!
 
Wadau kama wewe unampenda kiongozi huyu shupavu ingia hapa tuungane kumuunga mkono huyu Jembe na mzalendo CCM imekufa lakini Magufuli bado ana heshima na si fisadi kama baadhi ya wajumbe waliopo hata upinzani Naamini kuchagua mtu na si chama ndiyo itakayoivusha Tanzania yetu salama kwenye mtihani huu mgumu wa uchaguzi mwaka huu.

Ungana nasi kutengeneza timu ya Ushindi ya ndugu yetu John Pombe Magufuli na tunaamini atayafanyia kazi yale yoote tuliyokubaliana nae kuhusu kuifufua Tanzania inayozama...

Wasalaaam

Mkuu huna adabu, nilidhani Mwenyekiti wako wa chama alisema kuanzia sasa hakuna timu Magufuli, Timu Makamba wala vinginevyo ...ni timu CCM!
 
Mkuu huna adabu, nilidhani Mwenyekiti wako wa chama alisema kuanzia sasa hakuna timu Magufuli, Timu Makamba wala vinginevyo ...ni timu CCM!

Aliyekuambia mimi ni CCM nani?., Kumuunga mkono magufuli si mpaka uwe mwanachama wa ccm hivyo mimi Kikwete si mwenyekiti wangu na ccm si chama changu na silisemi hili kwa woga wala unafiki, na kama ningekuwa mwana ccm nisingeona haya ya kusema kwani hata pia kuwa ccm si dhambi.
 
Back
Top Bottom