Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

Dr slaa plz plz..usizingue Babu ,tunakuhitaji kuliko kipindi chochote kile uchokuwa ukawa....tunaomba uungana nasi ili tupambane kuiondoa ccm
 
Membe kampa babu dola million 2 toka kwenye lile fungu la mapesa ya Marehemu Gadafi , Dalali wa hii mbinu Haramu Alikuwa nape na mpampe wa Membe anayejulikana kwa jina la Jack Gotham
 
ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA
Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taalum ya upadri.
Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata padiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine.

Wakati Sauli anafanya hivyo Mitume wengine walianza kumunyanyapaa na kumuogopa lakini katika bibilia , imethibitishwa kwamba hadi leo Paulo (aliyekuwa Sauli) ndiye aliyefanya kazi kuliko Mitume wote.

Bila shaka kuna watu ndani ya Chadema na hata nje ya chadema wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa LOWASA ati ni Fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:
(1)Lowasa amehama CCM na kwa hatua hiyo ameingamiza nafsi yake kwa kiwango Kikubwa.
(2)Lowasa yupo tayari kutumia Pesa yake na mali yake kubomoa CCM
(3)LOWASA anahasira kali na CCM na miungu watu ndani ya CCM
(4)LOWASA kama waziri Mkuu mstafu ametake risk ya Kifo kiasi kwamba anataka kupiga CCM kwa Nyaraka zito za Siri ambazo Slaa hawezi kuzielezea
(5) Lowasa anajua mikakati ya Wizi wa Kura ndani ya CCM kwa miakazaidi ya 40
(6) Ndani ya CCM hawakutarajia wala hawakuwahi kupanga kuwa mtu kama Lowasa ambaye amewshijka nafasi nyeti kama waziri mkuu anaweza kuasi serikali kiasi hiki
Huu uasi unatisha na haujawahi kutokea, na hata pale ulipojaribu kutokea wahusika hawakubaki hai
(7)Kwa sasa CCM wanahaha sana juu ya Lowasa kuchukua form. Mikakati ya CCM iliielekeza Nguvu kumshambulia Slaa lakini Mungu amebadili Plan ghafla na kumuleta Lowasa amabaye hawajajipanga nan i Pigo kubwa
(8)Kwa sasa Uasi uliojitokeza CCM ni vigumu kujua nani yupo kwa nani
Angalia mtandao wa Lowasa ndani ya CCM unatisha na umetulia Kimia.
Mtandao huu jumlisha nguvu ya Umma ni lazima CCM ibaki kama KANU
MAONI KWA SLAA.
(1)Wakati unagombea urais ulikuwa na Rozi Kamili ukamwacha na kumuoa Josephine
Rozi Kamili alikubali ujio wa Josephine lakini leo Josephine huyo amekuwa kikwazo kwa maamuzi yako.
(2)Mambo ya Chama huwezi kumuhusisha Mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na kama kweli unamsikiliza mwanamke basi ujue hutapata nafsi ya kurudi kwenye jamii na wakakuamini na kukupa heshima kama walivyokupa.
Mke ni mshauri wake kwa mambo yote lakini kikao kama kamati kuu kinapopitisha maamuzi harafu mkeo anapinga maana yake mke huyo hafai kuwa First Lady na hata wewe hufai kuwa Kiongozi
MAONI KWA LOWASA
(1)Umeitwa Mwizi kwa siku nyingi sana na hata mimi nimekuita hivyo , sasa huu ni wakati wa wewe kutuambia mwizi halisi ni nani na utoe Ushahidi
(2) Zipo taarifa kwamba CCM wanapanga kukata jina lako kwenyenye tume ya uchaguzi hivyo nakusihii usikate tama .Muombe Mungu .Hii ni safari ya ushindi na si matumaini tena
(3)Usiogope kushambulia Ikulu kwa kuwa Mussa alikaa Ikulu ya Farao na kulelewa hapo lakini Mungu alimupa kazi ya kumuangamiza Farao.
Hivyo Lowasa umepewa kazi ya Kuingamiza CCM hivyo fanya kweli ujue kwamba Slaa hajui haya.

Unapoteza muda bure huyu ni kama wale mapadri wa Rwanda kipindi wanaratibu mauaji kwa raia wezao Watusi. Padri gani asiyeweza kusamehe!! Tafakari.
 
Membe kampa babu dola million 2 toka kwenye lile fungu la mapesa ya Marehemu Gadafi , Dalali wa hii mbinu Haramu Alikuwa nape na mpampe wa Membe anayejulikana kwa jina la Jack Gotham

Daaah Babu naye kaasi kama zitto ....??!!kwel pesa mwanaharamu kabisa....
 
Nape Safari hii atakuwa bilionea maana kapeleka bajeti kubwa ya kuwanunua Lisu, Lipumba na mbatia pia na wengineo Ukawa bajeti imepita sasa anaandaliwa Pesa ili kazi ya kuwavuruga Ukawa ianze , chezea ccm wewe wapo tayari kula Nyasi lakini Watahakikisha Lowasa anashindwa .
 
Daaah Babu naye kaasi kama zitto ....??!!kwel pesa mwanaharamu kabisa....

Nape sasa kawa Dalali wa Siasa na Mkuu wa Fitna za kuwakoroga Ukawa , Amepeleka bajeti na kila kichwa anachofanikiwa kuking'oa Ukawa atapewa chake sanjari na Yule aliyeng'oka naye atamkatia ganji, Huu ni Mladi mkubwa kwa Nape .
 
Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa , ukweli wa jambo hilo umeibuliwa. Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu (CC) ya chama hicho amesema, madai yanayotolewa na watu mitaani na katika mitandao ya kijamii yakisema Dk. Slaa amekasirishwa na kitendo hicho ni ya uongo.
“Kwa taarifa yako, Dk. Slaa ndiye aliyemtaka Lowassa ajiunge Chadema.

Mbowe (Freeman, Mwenyekiti wa Taifa Chadema) hakumtaka kabisa huyu jamaa aje kwetu. Kwa sababu hakuona jinsi gani wangewaeleza wananchi juu yake, lakini mzee ndiye aliyeshawishi na vikao vya kumjadili vikaanza mfululizo. Ukiangalia picha za awali, Dk. Slaa yupo. Kinachotokea kwa Dk. Slaa ni shinikizo kutoka familia yake.

Kuna watu walikuwa na matumaini makubwa ya kufaidika endapo yeye angegombea tena na kushinda urais mwaka huu, hivyo wameamua kununa kwa sababu kilichotokea hakina masilahi kwa familia." alisema mjumbe huyo wa kamati kuu . Source: GPL

Hakuna cha Familia wala nini kilichopo hapa ni Membe kachukuzwa na Adui wake mkubwa kwenda chadema kaamua kutoa Dola million 2 toka kwenye Yale mapesa ya Marehemu Gadafi akampa Nape na Jack Gotham wamnunue Dr Slaa akiamini kuwa itamsaidia kuwavuruga na kuwachonganisha Ukawa angalau ccm wapumue huku yeye Membe akifarijika na kumkomoa Lowasa.
 
Membe kampa jimbo Nape kisha kampa pesa za kuhonga wapiga kura na bado juzi kamsaidia kuwapiza takukuru , Membe kaapa atauza mpaka kandambili ampe Nape ili amsaidie kumkwamisha Lowasa popote atapokuwa , Yale mapesa ya Marehemu Gadafi awali alipanga kuyatumia kwenye kampeni endapo angepitishwa jina sasa kaamua kutumia hayo mapesa kumkwamisha Lowasa kwa njia zozote zile ikiwemo ushirikina na sasa kaagiza waganga wa kienyeji wengi zaidi ya wale aliokuja nao Dodoma , kwa mjibu wa Mpambe wa Membe Jack Gotham kasema kwa kweli Membe yupo tayari kumnunua mtu yeyote mwenye uwezo wa kumkwamisha Lowasa ,
 
ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA
Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taalum ya upadri.
Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata padiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine.

Wakati Sauli anafanya hivyo Mitume wengine walianza kumunyanyapaa na kumuogopa lakini katika bibilia , imethibitishwa kwamba hadi leo Paulo (aliyekuwa Sauli) ndiye aliyefanya kazi kuliko Mitume wote.

Bila shaka kuna watu ndani ya Chadema na hata nje ya chadema wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa LOWASA ati ni Fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:
(1)Lowasa amehama CCM na kwa hatua hiyo ameingamiza nafsi yake kwa kiwango Kikubwa.
(2)Lowasa yupo tayari kutumia Pesa yake na mali yake kubomoa CCM
(3)LOWASA anahasira kali na CCM na miungu watu ndani ya CCM
(4)LOWASA kama waziri Mkuu mstafu ametake risk ya Kifo kiasi kwamba anataka kupiga CCM kwa Nyaraka zito za Siri ambazo Slaa hawezi kuzielezea
(5) Lowasa anajua mikakati ya Wizi wa Kura ndani ya CCM kwa miakazaidi ya 40
(6) Ndani ya CCM hawakutarajia wala hawakuwahi kupanga kuwa mtu kama Lowasa ambaye amewshijka nafasi nyeti kama waziri mkuu anaweza kuasi serikali kiasi hiki
Huu uasi unatisha na haujawahi kutokea, na hata pale ulipojaribu kutokea wahusika hawakubaki hai
(7)Kwa sasa CCM wanahaha sana juu ya Lowasa kuchukua form. Mikakati ya CCM iliielekeza Nguvu kumshambulia Slaa lakini Mungu amebadili Plan ghafla na kumuleta Lowasa amabaye hawajajipanga nan i Pigo kubwa
(8)Kwa sasa Uasi uliojitokeza CCM ni vigumu kujua nani yupo kwa nani
Angalia mtandao wa Lowasa ndani ya CCM unatisha na umetulia Kimia.
Mtandao huu jumlisha nguvu ya Umma ni lazima CCM ibaki kama KANU
MAONI KWA SLAA.
(1)Wakati unagombea urais ulikuwa na Rozi Kamili ukamwacha na kumuoa Josephine
Rozi Kamili alikubali ujio wa Josephine lakini leo Josephine huyo amekuwa kikwazo kwa maamuzi yako.
(2)Mambo ya Chama huwezi kumuhusisha Mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na kama kweli unamsikiliza mwanamke basi ujue hutapata nafsi ya kurudi kwenye jamii na wakakuamini na kukupa heshima kama walivyokupa.
Mke ni mshauri wake kwa mambo yote lakini kikao kama kamati kuu kinapopitisha maamuzi harafu mkeo anapinga maana yake mke huyo hafai kuwa First Lady na hata wewe hufai kuwa Kiongozi
MAONI KWA LOWASA
(1)Umeitwa Mwizi kwa siku nyingi sana na hata mimi nimekuita hivyo , sasa huu ni wakati wa wewe kutuambia mwizi halisi ni nani na utoe Ushahidi
(2) Zipo taarifa kwamba CCM wanapanga kukata jina lako kwenyenye tume ya uchaguzi hivyo nakusihii usikate tama .Muombe Mungu .Hii ni safari ya ushindi na si matumaini tena
(3)Usiogope kushambulia Ikulu kwa kuwa Mussa alikaa Ikulu ya Farao na kulelewa hapo lakini Mungu alimupa kazi ya kumuangamiza Farao.
Hivyo Lowasa umepewa kazi ya Kuingamiza CCM hivyo fanya kweli ujue kwamba Slaa hajui haya.

ulianza vizuri kweli yaani.. lakini umekuja kuharibu kwenye maoni kwa Dr. Slaa na hapo nmeshindwa ata kumalizia.. Paulo coelho aliwahi kusema "life always waits for crisis to occur before reveailing itself at its most brilliant" the same applies to politics.. tusubiri nahisi Slaa atakumbukwa kwa maamuzi yake.
 
Taarifa niliyoisikia kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa wameridhia Katibu Mkuu wetu Dr Slaa, kupumzika kwa mda usio julikana.

Kiukweli nimeumizwa na kusikitishwa kwa uamuzi huo wa Dr Slaa hasa nikikumbuka taabu na mateso aliyoyapata katika kukikuza na kukisimamia leo anaamua kuacha kwa namna alivyo amua kufanya.

Naomba nitumie fursa hii kumuomba Mh😀r Slaa fikiri mara nne ni maumivu makali kiasi gani utakuwa umeyasababisha kwa watanzania wenzako na hasa tunao kuunga mkono na kutambua umuhimu wako na mchango wako ndani ya chama cha CHADEMA na UKAWA kwa ujumla tafadhari nakuomba rejea kambini kwa masilahi ya chama na Taifa.

Arejeee kufanya nn? Dr slaa hana bei, wenye bei ndio wanaimba "tunaimani lowassa"
 
hajapewa nafasi ya juu ya uongozi ndani ya chama!amepewa nafasi ya "kugombea"uraisi ili kuiondoa ccm madarakani!!!!unapokuwa kiongozi wa chama cha siasa,lazima uangalie kipi kitakupa "ushindi".tusipende kuwa na akili za "mgando",kila wakati tunawaza yale yale,lazima tuwaze tofauti.kilichofanyika ni kuunganisha "nguvu"kuhakikisha ccm inatoka madarakani.nashawishika kuamini kuwa kuna watu wangependa kuendelea kuwa "wapinzani".kamati kuu ni chombo cha maamuzi ndani ya chama,ni kukosa adabu kupinga maamuzi ambayo na wewe ni sehemu ya maamuzi hayo.tafsiri yake ni kuwa hakuna "collective responsibility".

Asante, sijui wataiona hii point,
I like u,
 
Taarifa niliyoisikia kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa wameridhia Katibu Mkuu wetu Dr Slaa, kupumzika kwa mda usio julikana.

Kiukweli nimeumizwa na kusikitishwa kwa uamuzi huo wa Dr Slaa hasa nikikumbuka taabu na mateso aliyoyapata katika kukikuza na kukisimamia leo anaamua kuacha kwa namna alivyo amua kufanya.

Naomba nitumie fursa hii kumuomba Mh😀r Slaa fikiri mara nne ni maumivu makali kiasi gani utakuwa umeyasababisha kwa watanzania wenzako na hasa tunao kuunga mkono na kutambua umuhimu wako na mchango wako ndani ya chama cha CHADEMA na UKAWA kwa ujumla tafadhari nakuomba rejea kambini kwa masilahi ya chama na Taifa.
SLAA namkubali sana na nampongeza kwa mapambano dhidi ya ccm toka mwaka 1995 , ila sijapenda kujiengua kwake kwa 7bu ya lowasa, ulitakiwa uendelee na mapambano ya ukombozi kama ulikwa umedhamilia kuikomboa tanzania hata umauti. ujio wa lowasa ungekurahisishia mapambanao kwa sabau yeye anaijua sana ccm na ameshiriki kuijinga toka miaka ya 70 hadi leo hivo ramani zake za viata ni kubwa sana kuiangamiza ccm. Kujiengua sidhani kama kunakujengea heshima ila kukupoteza katka historia ya vita ya ukombozi. Hata maandiko yansema YESU alikula sahani moja na wadhambi huku akiwatoa dhambini na siyo kuwakimbia, ukutakiwa kususa.
 
Taarifa niliyoisikia kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa wameridhia Katibu Mkuu wetu Dr Slaa, kupumzika kwa mda usio julikana.

Kiukweli nimeumizwa na kusikitishwa kwa uamuzi huo wa Dr Slaa hasa nikikumbuka taabu na mateso aliyoyapata katika kukikuza na kukisimamia leo anaamua kuacha kwa namna alivyo amua kufanya.

Naomba nitumie fursa hii kumuomba Mh😀r Slaa fikiri mara nne ni maumivu makali kiasi gani utakuwa umeyasababisha kwa watanzania wenzako na hasa tunao kuunga mkono na kutambua umuhimu wako na mchango wako ndani ya chama cha CHADEMA na UKAWA kwa ujumla tafadhari nakuomba rejea kambini kwa masilahi ya chama na Taifa.

mimi mwenyewe nimeumizwa sana na CCM yani rushwa kwenye kura za maoni mpaka basi .Nyerere hakuiacha CCM kama ilivyo sasa .
 
CHDM hakuna maslahi ya umma bali ya wachache tu hivyo achana nao mzee kwa heshima kuu uliyojijengea
 
Lowassa amesababisha umoja kwenye UKAWA la sivyo kila chama kingetoa mgombea wake kwenye nafasi ya URAIS. Umoja uendelee kwenye nafasi za Ubunge
 
Back
Top Bottom