Haya ndio maamuzi magumu ya Lowassa Vs Magufuli

Haya ndio maamuzi magumu ya Lowassa Vs Magufuli

Mtoa thread hauko fair kabisa, hapo ungetoa strength n weakness za wagombea wote, Badala yake umetoa strength VS weakness.
 
Hivi kweli unawezaje kumlinganisha cha mtoto magufuli Vs kingunge Lowasa? Angalia hata KINGUNGE mwenyewe haelew kitu kwa ini amemkata Lowasa, hata Mwandosa anashangaa, wewe ndio unijua system ya ccm kuliko watuao? give me a break bana a pompous to kids and the gravely sick only
 
Mtoa thread hauko fair kabisa, hapo ungetoa strength n weakness za wagombea wote, Badala yake umetoa strength VS weakness.

Kwenye utendaji wote ni watendaji wazuri ila linapokuja suala la kuchukua maamuzi magumu kwa ajili ya manufaa ya nchi Magufuri hawezi kuyasimamia maamuzi yake
 
6. Kaunza launch zote za mifugo na kujibinafisisha yeye na mafisadi wenzake.
7. Alipiga dili ya kuingiza mahindi mabovu na kuipa hasara serikali.
8. Alitaka kujibinafisucha kiwanda cha nyama arusha wajanja wakamshitukia.
9. Kajimilikisha vitalu vya merelani hadi wakataka kuzijapa na mengi baada ya kuingia maeneo yake.
10. Alitumia nafasi yake serikali ikamdhamini rafiki yake kuchukua mkopo wa 10bl benki ya dunia na baadae kuitia hasara serikali na kutuongezea deni la taifa.
11. Niendeleee?...... Shut up! !!!
 
Acha kuchukua tuhuma zinazoongelewa vijiweni na kuzileta hapa, unao uwezo wa kutoka hadharani na kuongea hayo unayoyangea?
 
Amekinunua Chadema kwa bil 10 wakat watu wana miaka 23 wanakijenga Chama na wengine wamepoteza ndg zao achilia mbali waliopoteza viungo vyao muhimu.
 
Du! Kweli Lowasa katuchanganya mpaka mnatukanana hivi? Tuiombee Tanzania Yetu. Hao watu watapita,hivyo vyama vitapita bali Tanzania haitapita!
 
Watu wa kuongoza Tanzania hawajaisha kama ilivyo ishiwa CDM kiasi cha kuendelea na mwenyekiti Mbowe na kula mashonde fresh ya CCM. Hatusubiri hata yapoe?
 
Back
Top Bottom