Jamani hivi hiki kijiji cha kwembe kiko sehemu gani? Mbona ardhi ambayo haikaliwi na watu ni nyingi tu, imejaa kila mahali, ukitoka bunju hapo hadi bagamoyo hakuna watu, ukitoka mbagala tu hapo mbele hakuna watu, kwa nini wasiendeleze maeneo hayo na badala yake wanakimbilia sehemu ambayo watu...