Recent content by mnyalukoloh

  1. M

    Naomba kujuzwa taratibu za kutoa gari Zambia na kuisajili Tanzania

    Msaada, kuna gari inauzwa Zambia na imesajiliwa inapiga kazi. Nikitaka kuileta Tanzania. Naomba kujuzwa utaratibu na gharama ukoje. Aina ya gari ni Rosa.
  2. M

    Wadhamini wamwandikia barua Mbowe kumtaka Lissu arejee Tanzania

    The Sheriff, Mtuhumiwa ndo kasha kimbia.nashauri na wadhamini waanze kula njia
  3. M

    Nyumba yangu inapigwa mnada na NMB

    hilo ulitoa zuio kwa kutumia sababu zipi?
  4. M

    Jifunze kumiliki Kampuni kupitia Hisa

    idadi ya hisa ktk kampuni inapatikanaje?
  5. M

    Jifunze kumiliki Kampuni kupitia Hisa

    Na vigezo gani vinazingatiwa ili kampuni iweze kuuza hisa
  6. M

    Jifunze kumiliki Kampuni kupitia Hisa

    Ni hatuazip na vigezo ktk kusajili kampuni kwenye dse
  7. M

    Najikuta kadri siku zinavyokwenda natamani sana Pombe (kulewa). Nifanyeje ili kuondokana na hiyo tamaa?

    Badili kinywaji chenye adiction kama kahawa jizoweze kwenda cofee bar au hta kwenye vijiwe vya kahawa.ndani ya siku 21 utakuwa adicted na madhingira ya kahawa na huta tamani tena pombe
  8. M

    Haya ndio makundi yanayoongoza kwa kuchukiana mitaani/ mitandaoni

    USSR, Baba mwenye nyumba vs baba mwenye gari
  9. M

    Swali: Inawezekana kuongeza bluetooth device kwenye subwoofer?

    wazo langu.jaribu kutumia ki simu chochote chenye brooth kilicho kufa kama bruetooth amplify huo mziki utakao kua unatoka kwenye hcho ki simu.kazi kwisha
  10. M

    Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

    Wana JF naomba kujuzwa kazi ya VPN na kirefu chake na jinsi ya kuiset hususani kwenye simu.
  11. M

    Mashine ya kutengenezea mifuko mbadala

    na wapi malighafi zake zinapatikana
  12. M

    Neno 'Inc' lina maana gani kibiashara?

    na minimum namba of directors ni wa ngapi
Back
Top Bottom