Recent content by Mnene 1

  1. Mnene 1

    Wakimbieni Wanaume wachafu

    Licha ya swala la kuoga na kufanya mwili kua msafi, usiombe ukana na kaka au mme mchafu nyumbani. Mtu unadeki, anapita na maviatu yake anakanyaga tu, ila hawezi kuinama hata siku moja kudeki. Kila akiingia chooni akimaliza haja zake hawezi hala ku-flash/kumwaga maji. kila ukipamba nyumba...
  2. Mnene 1

    Wakimbieni Wanaume wachafu

    soksi zinateleza ndani ya viatu....
  3. Mnene 1

    Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

    Mnafiki, kigeugeu, hana msimamo hata punje.
  4. Mnene 1

    Mwanaume Busy na laptop hadi hataki ku 'DO'

    Pole kwa ukame na kukosa penzi na mawasiliano ndani ya ndoa kwa mda mrefu. Nakupongeza pia kwa jitihada ulizofanya za kuandaa mazingira ili upate attention yake, pamoja na kwamba hukufanikiwa kukata kiu yako. Ushauri 1.Kaa naye mweleze hisia zako, mawazo yako na kwamba umevumilia vya kutosha...
  5. Mnene 1

    Mwanamke na kufika kileleni

    Mkuu nitakutafuta unipe dozi walao mara moja, hayo mautundu yamenitamanisha sana. Wengine KIBO kwetu ni stori za kusimuliwa tu.
  6. Mnene 1

    Nahitaji bodaboda

    ngoja wataalamu waje watupe majibu mkuu, hata mie nahitaji
  7. Mnene 1

    Kauli hii inanikera, nifanyeje?

    Huu ndio ukweli, kila mmoja amemkinai mwenzie hivo hawapo tayari kukaa chini kurekebisha tofauti zao. Na yawezekana kuna mmoja kati yao ni mmbabe, hayupo tayari kumsikiliza mwenzie, atakachosema yeye ndio amri.
  8. Mnene 1

    Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

    Upendo unapungua sana kwa watu kukaa mbali. Kama sio basi atakua na mwingine huko chuoni
  9. Mnene 1

    Wanawake tu: Natafuta demu wa ku-cheat nae

    Mkuu uko tayari kupima ngoma?
  10. Mnene 1

    Ni zawadi gani akikupa mpenzi wako hutomsahau maisha..???

    Akinijali sana na kunilinda ndio zawadi pekee
  11. Mnene 1

    Wafanyakazi wageni 'vihiyo' wasakwa

    Sio hivo tu mkuu, uhamiaji hawachapi usingizi ila wananuka rushwa. Mimi nafanya kazi katika kampuni moja kubwa hapa nchini, cha kusikitisha ni kwamba wageni kila kukicha wanaingia, vyeo vya ajabu ajabu vinatengenezwa ali mradi tu wageni wapate ulaji. Wakishafika wanawanyanyasa sana wazawa. Cha...
  12. Mnene 1

    Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?!

    Hapa unataka kumaanisha kwamba, kama mwanamme hana performance nzuri hahitaji heshima? maana kama nimekuelewa kwako shikamoo ni heshima.
  13. Mnene 1

    Mishahara ya Wake Zetu

    Mimi ni Mwanamke na hapa Nakataa wazi bila kificho. Wanawake tunapenda sana kudai usawa, kwa nini isiwe na upande wa majukumu ya kifamilia tunazingatia huo usawa? Familia sio ya Mme, kama mna watoto, Baba anaitwa "Baba X" na "Mama X". Kwa nini swala la kuhudumia familia, au kufanya shughuli za...
  14. Mnene 1

    Adhabu ya kunyimana.

    Tena Mwanamme anakuja na "I love you nyingiii" wakati anataka, bila kujua kwamba alishakupotezea mood tangu asubuhi. Halafu hivi hizo "I love you nyingiii" mbona tunazisikia kitandani tu, wakati dushelele liko wima?
Back
Top Bottom