Wakimbieni Wanaume wachafu

Wakimbieni Wanaume wachafu

Lol, usiombe aisee ukutane na hii type, leo niko Bank House NMB kwenye foleni mara mwanaume kanigusa mgongoni aniulize ile kufungua tu mdomo pua zangu (very sensitive) zikapokea harufu kali as if mtu hajapiga mswaki mwezi mzima, sasa nikajiuliza mtu huyu asubuhi hii aliamkaje na hadi akafika maeneo haya pasipokusafisha kinywa chake?Loh, jirekebisheni. Afu kuna ili kabila la Wajaluo, wengi wao huwa hawafanyiwi tohara kisa wanaenzi mila zao, jamani mnakeraaaaa!!Nina shemeji yangu naishi nae jamani ni kero kero kero, haambiliki hata kidogo, yani kwa kweli hata wanaofanyaga nae matusi sijui wanajisikiaje, pooooh!!!!!nahisi kichefuchefu mie
Wajiskiaje na hali bibie
 
Licha ya swala la kuoga na kufanya mwili kua msafi, usiombe ukana na kaka au mme mchafu nyumbani.
Mtu unadeki, anapita na maviatu yake anakanyaga tu, ila hawezi kuinama hata siku moja kudeki. Kila akiingia chooni akimaliza haja zake hawezi hala ku-flash/kumwaga maji. kila ukipamba nyumba, ukipanga vitu nyumbani akishakuja tu, kila kitu unanikuta kimekaa ovyo ovyo. Ni jambo la la kawaida sana kukuta soksi juu ya coffee table, kiatu juu ya friji, reki ya bustanini ipo dinning nk.
Jamani wanaume, uvumilivu unatuishia wakati mwingine, mkeo anaweza kua na hasira kila siku maana alishaongea, ameshauri lakini hambadiliki, tunawapenda sana na tunapenda kuwafanya wasafi lakini msiwe wazembe kiasi hicho. TUNAKWAZIKA............
 
Ndege wanaofanan huruka pamoja mie na mwanamme mchafu nkutane nae wapi? Mwanaume anayevaa boxer za marangi ya bluu,kijani,nyeusi,brown,kahawia,nyekundu na rangi zote zinazoficha uchafu ,huyo mchafu kabisa najua nimewagusa hapa na wengine ndio mmeutinga hahahahahhaha jiangalieni nyie wachafu kabisa.kuna mijianaume michafu jamani unaliona linakwenda bafuni na shorts na kachupi kanachungulia juu ,anaoga then anarudi kama alivoenda ameoga amerudia lol.
Duu umetukana sana, we noma unapiga chabo balaa! Nyumba za kupanga zina shida, Ubachela unatesa watu hizi nyeupe, nyeusi wapi umeziona? daah! noma, acha nikimbie, thanks hii ya leo hainihuthu!
 
asante kwa kunisaidia kuwaambia hawa maaana wamezidi kwani hawaoni wanaona kuwawaufanyao ni uchafu lakini basi tu tabia zao hao yabidi tuwaonye humu mmu ili wafundishike na kuwaambia wanaume wenzao wengine wa mitaani kwao mie nimekereka ndo mana nimepost hiki kitu hapa , achilia home nenda maofisini usiombe ukakaa nao hao meza moja utakimbia kwani harufu ya jasho changanya na kutokuoga ni kero tupu asante mwana umenifurahisha sana ten sana BIGUP
Licha ya swala la kuoga na kufanya mwili kua msafi, usiombe ukana na kaka au mme mchafu nyumbani.
Mtu unadeki, anapita na maviatu yake anakanyaga tu, ila hawezi kuinama hata siku moja kudeki. Kila akiingia chooni akimaliza haja zake hawezi hala ku-flash/kumwaga maji. kila ukipamba nyumba, ukipanga vitu nyumbani akishakuja tu, kila kitu unanikuta kimekaa ovyo ovyo. Ni jambo la la kawaida sana kukuta soksi juu ya coffee table, kiatu juu ya friji, reki ya bustanini ipo dinning nk.
Jamani wanaume, uvumilivu unatuishia wakati mwingine, mkeo anaweza kua na hasira kila siku maana alishaongea, ameshauri lakini hambadiliki, tunawapenda sana na tunapenda kuwafanya wasafi lakini msiwe wazembe kiasi hicho. TUNAKWAZIKA............
 
INAKUHUSU TENA SANA kwanini ukimbie ilhali k=ukiujua unapewa ukweli wako kaa na anza sasa kujikagua au nimwite Asprin akukague itabidi tuweke chumba cha kukaguliana hasa wanaume nyie yaelekea hata hapa mnapoandika mikono pia inanuka
Duu umetukana sana, we noma unapiga chabo balaa! Nyumba za kupanga zina shida, Ubachela unatesa watu hizi nyeupe, nyeusi wapi umeziona? daah! noma, acha nikimbie, thanks hii ya leo hainihuthu!
 
Last edited by a moderator:
uliyekutana naye yuko kama wewe huwezi kupata mtu ambaye hamtakuwa na tabia moja za uchafu uenda uliyenaye naye ni kama wewe mwenye uvivu wa kutokuwa msafi sehemu zote sasa wewe na huyo mwenzio ingieni chumba cha Asprin hawakague leo maana mshanuka na kuwanukia watu wengine
Wanawake wengine hawaoshi kule mpaka napata tabu kuingia chumvini.
 
Last edited by a moderator:
Aise wanaume wenzangu, wanawake wako very sensitive kwa vitu vichafu!!! Na hakika kama mwanaume ni mtanashati kwa mwili na mavazi wanawake wanapenda sana. Na kama unataka ile tendo yetu iwe ya muafaka hakikisha kinywa chako kina harufu nzuri!! Kuna watu ambao kwa bahati mbaya wana harufu kali za midomo yao na jasho, please tumia perfume na mdomoni kuna mouth wash. Utawezaje kiss someone kama unakuna mdomo? Yaani hata mwanamke akiwa na mdomo wa harufu achilia mbali kule kunako huwa ni kitu cha kwanza kunikimbiza!!! Msg sent.
 
naona sasa tunachafuana na kunikera na inabidi uniombe msamaha tena sana huwezi kunitusi kiasi hicho kwani kweli mm naweza msaliti mume wangu kiasi hicho hata kama hayuko nitake radhi sasa hivi la sivyo nitakuchukulia hatua kali za kisheria katika kifungu B/52 ili iwe fundisho kwako kama hautaomba msamaha hapa
Mentor hayupo bwana lete kin'gamuzi hicho sisi tukifanyie kazi bwana
 
Ila kweli, yani kuna wanawake wana nuka kama mizog hata mita 10 mbele akapita una sikia harufu yake, jiulize kwanini kwenye ma hotel makubwa wapishi ni wanaume? ah ah ah!

Yasiwe malumbano jamani. Ukweli unabaki palepale kuwa wanaume ni wasafi by nature, wanawake basi kwa sababu ya mataa ya kuwakung'uta lakini ni wachafu sana ndo maana wanatembea na mikoba mikubwa wakiwa wamebebelea nguo za kubadili .. n.k
 
uchafu huko kwenu nyie wanaume yaani mnavaa soksi mpaka ukiinua juu inasimama wima utadhani chupa ya soda huoni huo ndo uchafu umetanda kwenye nguo mpaka hiyo nguo inakuwa haisemeki, hapana nakataa kabisa kwamba tunalumbana ovyo hapana bali wanaume mmezidi uchafu tena sana, nawaomba mjirekebishe ndo mana ya kutoa thread hii ili mjirekebishe na mchukue tahadhari kabla ya hatari ya magonjwa kuanza, sikatai kuwa wako baadhi ya wanawake ni wachafu ila asilimia kubwa ni WANAUME NI WACHAFU SANA TENA SANA, mwingine ukipishana naye tu anakukunukia kikwapa ila akiwa mbali anaonekana mtanashati kumbe matatizo matupu, omba aongee nawewe basi hapo utakimbia nusura uanguke, usikatae bhana wanaume wamezidi au naongopa kaka Filipo
Yasiwe malumbano jamani. Ukweli unabaki palepale kuwa wanaume ni wasafi by nature, wanawake basi kwa sababu ya mataa ya kuwakung'uta lakini ni wachafu sana ndo maana wanatembea na mikoba mikubwa wakiwa wamebebelea nguo za kubadili .. n.k
 
Last edited by a moderator:
Yaani ungekuwa karibu ningekupa hai ya juu kabisa na tena ningekuhagi, kwani wewe ndie uliyeongea jambo la maana hapa wengine wanaalalamika eti lady amewasema na kuwaabisha, yani ni bora wewe uliyetambua na kuwaonya wanaume wenzako ni vyema sana nakupa bigup na pokea zawadi yangu hii ya EASTER View attachment 88342
Aise wanaume wenzangu, wanawake wako very sensitive kwa vitu vichafu!!! Na hakika kama mwanaume ni mtanashati kwa mwili na mavazi wanawake wanapenda sana. Na kama unataka ile tendo yetu iwe ya muafaka hakikisha kinywa chako kina harufu nzuri!! Kuna watu ambao kwa bahati mbaya wana harufu kali za midomo yao na jasho, please tumia perfume na mdomoni kuna mouth wash. Utawezaje kiss someone kama unakuna mdomo? Yaani hata mwanamke akiwa na mdomo wa harufu achilia mbali kule kunako huwa ni kitu cha kwanza kunikimbiza!!! Msg sent.
 
Yaani ungekuwa karibu ningekupa hai ya juu kabisa na tena ningekuhagi, kwani wewe ndie uliyeongea jambo la maana hapa wengine wanaalalamika eti lady amewasema na kuwaabisha, yani ni bora wewe uliyetambua na kuwaonya wanaume wenzako ni vyema sana nakupa bigup na pokea zawadi yangu hii ya EASTER View attachment 88342

We mwenyewe ukute unanuka halafu hujijui jaribu kujichunguza sio unakazania kusema wanaume kisa bwanako ananuka mikwapa na soksi, tupo wanaume wasafi sana ndugu yangu nahisi una bahati mbaya kukutana na mabeberu
 
uliyekutana naye yuko kama wewe huwezi kupata mtu ambaye hamtakuwa na tabia moja za uchafu uenda uliyenaye naye ni kama wewe mwenye uvivu wa kutokuwa msafi sehemu zote sasa wewe na huyo mwenzio ingieni chumba cha Asprin hawakague leo maana mshanuka na kuwanukia watu wengine
Mi sikaguagi uchafu.

Mi nakaguaga naniliyu
 
Ndege wanaofanan huruka pamoja mie na mwanamme mchafu nkutane nae wapi? Mwanaume anayevaa boxer za marangi ya bluu,kijani,nyeusi,brown,kahawia,nyekundu na rangi zote zinazoficha uchafu ,huyo mchafu kabisa najua nimewagusa hapa na wengine ndio mmeutinga hahahahahhaha jiangalieni nyie wachafu kabisa.kuna mijianaume michafu jamani unaliona linakwenda bafuni na shorts na kachupi kanachungulia juu ,anaoga then anarudi kama alivoenda ameoga amerudia lol.
Dadangu umeongea ukweli lakini you are so direct aisee!! pia ujue si vyema kuwachungulia kaka zako wanapoenda kuoga..kwani pia kuna baadhi ya dada zetu kwenye madaladala utakuta kakosa siti na kashika bomba kwapa lote jeupeee poda si poda linatoa michirizi na smeli kali iliyochanganyika na deodoranti lakini sie huvumilia tu .Hujakosea kusema lakini
 
Back
Top Bottom