Hata kule kwenye Creed of Nicaea 325 kulikuwa na logic yake kufikia hatma ya utatu mtakatifu. Askofu Aurus alifikiria tofauti na wenzake akaishia kufukuzwa na mafundisho yake yakachomwa moto. Hadithi juu ya hadithi.
Hapo sasa ndipo inaposemekana kwamba Ke wa kwanza kwenye Mwanzo 1:27 alikuwa ni Lilith. Ke aliyeshindwa kutawalika na Adam. Lilith aliruka na kwe nda zake na baadae inasemekana alifuatwa na malaika watatu wakimsii arudi lakini alikataa. Later aliolewa na Sumael. Tumuombe Arsis atujuze tupate...
Viwanda na hata Mashamba yamegawanyika. K1 iko wilaya ya Kilombero na K2 iko wilaya ya Kilosa. Unaposema Kidatu ni upande wa Kilombero wakati Ruaha / Nyamvisi, Kifinga /Kidodi /Ruhembe mpaka Mikumi ni upande wa Kilosa / Morogoro kwa tetesi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lumbanga ndio kiboko yao. Huyu ni mwenyeji wa Mngeta/Mchombe. Yeye alikuwa anatumia Helikopta kuja Kijijini akitokea Dar kuangalia wazazi wake wakati alikuwa kwenye nafasi nzuri ya kuhimiza utengenezaji wa barabara kutoka Ifakara-Mlimba kwa kiwango cha Lami. Hapo Kijijini hakuna umeme japo Umeme...
Baada ya kujua yote hayo na muendelezo wa utafiti juu ya historia ya TZ ili iandikwe upya; Sheikh unafikiri hiyo kitu itatusaidia nini watanzania ambao tuko kwenye dimbwi la umaskini?.
Mkuu Iseesa,
Kama Maalimu alikuwa na nia ya ZNZ kuwa na Kiti UN (Kwa maana ya kuvunja Muungano) hakuwa na sababu za kumchongea Mzee Jumbe kwa Nyerere wakati ule. Huo ndio Ukinyonga wake na watu huenda mbele zaidi na kusema ni uroho wa madaraka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.