Recent content by MMASSY

  1. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Dada wa barbershop wanahitajika Arusha

    Tunatafuta wadada wa kuhudumia wateja katika Barbeshop yetu iliyopo Olasiti,Arusha. Sifa zinazohitajika  Awe smart na mwenye muonekano mzuri  Awe anajua kufanya scrub,Massage ya Kichwa na shingo  Awe msafi na anayejitambua  Awe mchangamfu na anayejua kuongea vizuri na wateja ...
  2. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Siri za Saikolojia: Mbinu 5 za Kuwashawishi Watu Bila Wao Kujua

    Nimejifunza Asante sana
  3. MMASSY

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Kuna Mkuu wa Wilaya hapo? Kuna Rco hapo? Kuna Mkuu wa Mkoa hapo?Kuna watu wa usalama? Waziri wa mambo ya nchi naye yupo?
  4. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

    Na atakayekuwa meneja wa Kampeni za Mama 2025 atakuwa nani? Una akili wewe?
  5. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Naomba Hotuba ya Rais Samia isomwe Makanisani na misikitini kwa mwaka mzima

    Wakati ametoka Zanzibar akaja kuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge Maalumu la Katiba mpya anadhani alikuwa anaongoza kikao Cha Upatanishi kwenye familia yake?
  6. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba ya JMT kwa Jicho la Mtunga Katiba: Watanzania Tusishabikie Uhaini. Hukuna Uhaini wa Kauli na Maneno, Uhaini ni Mipango na Matendo

    Umejitahidi,endelea kushusha halafu tuchuje Yale mazuri yatuelimishe na mabaya tukuachie mkuu
  7. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

    Angeprood read yeye angeharibu zaidi Bora aliacha hivi hivi
  8. MMASSY

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania yenye sura mbili ndani ya sura moja

    Safi sana,hongera kwa insight nzuri
  9. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Aina za watu hatari katika kufanikisha ndoto zako

    Na Jerome Mmassy,Arusha Mwandishi wa vitabu maarufu Jim Rohn alisema kuwa “Wewe ni wastani wa watu watano unaokaa nao muda mwingi”.- Alisisitiza kuwa Kama unataka kufanikiwa hakikisha unatumia muda mwingi kukaa na watu ambao watakuwa na msaada kwenye mafanikio yako. Katika Maisha ya kawaida...
  10. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Unamfundisha vipi mwanao kuwa muungwana?

    Na Jerome Mmassy,Arusha Ulishaona unampatia mtoto kitu anachokihitaji ama alichokuomba na asiseme asante?Ulishaona mtoto ama mtu mzima ana kukosea na haoni tatizo wala hajishugulishi kuomba msamaha?.Katika jamii tunamoishi hujawahi kuona mtu anakukosea na ukimweleza anakwambia basi yaishe...
  11. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu za kumrekebisha mtoto mkorofi

    Na Jerome Mmassy, Arusha Moja ya changamoto jamii inayokumbana nayo nyakati hizi katika malezi na makuzi ya watoto ni watoto kuwa wakorofi na wasiotii kile wanachoambiwa.Na pengine wazazi ama walezi wamekuwa wakitamani sana watoto wao wawe kama wao walivyokuwa miaka ya 1970/1980. Ni vyema...
  12. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Lol,kumbe nabishana na mjinga???Sorry
  13. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Vyote nauza,na sijaja hapa kukushawishi wala sio kazi yangu
  14. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Ungekuww umeenda shule kidogo ya Philosophy ungeelewa The principle of non contradiction pengine ingekusaidia
  15. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Such kind of foolish criticism.Utakuew unafugiw kwenye keyboard bila shaka.Go on
Back
Top Bottom