SoC02 Tanzania yenye sura mbili ndani ya sura moja

Stories of Change - 2022 Competition

Miltony

Member
Aug 29, 2022
32
211
Ni katika mpangilio wa sayari saba zenye kupendeza ambako inapatikana sayari moja inayoitwa dunia na ndani ya hiyo dunia kukiwa na mabara yapatayo saba(7) basi kati ya hayo mabara linapatikana bara moja lenye sifa kibao likiwa na rangi ya kijani ya kutosha , mali nyingi kama madini n.k, lakini kikubwa zaidi watu wake kwa asilimia kubwa wamejaliwa rangi nyeusi yenye kupendeza basi nalo ilo Bara linaitwa bara la Afrika bara la pili kwa ukubwa kati ya mabara yote saba na ndani ya ilo bara inapatikana nchi moja iliyokuwa mashariki mwa bara ilo nchi iliyobarikiwa madini ya pekee duniani kote kwa maana ya Tanzanite kama lilivyo jina lake lakini nchi yenye amani ambayo watu wake wamesahau kabisa kuhusu mateso ya vita bali ni changamoto za kibinadamu wanapitia bila hata stress ikiwa na serikali yenye nguvu kwa wananchi wake kwa maana ya demokrasia ya hali ya juu.

Nchi iyo inajulikana kwa jina la Tanzania ambapo kabla ya jina ilo kupatikana iliitwa Tanganyika na jina Tanzania ni kutokana na kijana aliyezaliwa tarehe 13/4/1922 uko Butiama musoma kuipambania nchi ya tanganyika baada ya kuwa chini ya utawala wa watu kutoka bara jingine kati ya yale saba linaloitwa ulaya na nchi iyo iliitwa Uingereza na kijana uyo alijulikana kwa jina la Julius Kambarage Nyerere ambae yeye aliipambania Tanganyika pasipo kukata tamaa na kwa amani kabisa akitumia vizuri elimu yake vyema aliyoipata uko uko uingereza kutafta uhuru wake na hatimae anafanikiwa mnamo tarehe 9/12/1961 chini ya gavana wa mwisho aliyejulikana kama sir Richard Turnbull.

Hakuishia hapo basi akawa shujaa wa Afrika kwa kusaidia nchi mbali mbali na kupata shujaa wenzake kama kwame nkrumah, samora machel na wengine kuipambania afrika ambayo ilikuwa gizani basi baada ya hapo anaipambania zanzibar kupata uhuru wake na kuamua kuunganisha nchi izo ili kutengeneza maendeleo kwa pamoja akawa abeid aman karume na Nyerere wakaziunga nchi mbili Zanzibar na Tanganyika mnamo tarehe 26/4/1964 uko dar es salaam na kuipata Tanzania yetu ya sasa.

Tanzania ikasonga na shujaaa au komando wa tanzania akaona sio mbaya kuwapa wengine kijiti cha kuongoza kwani alijenga misingi ya haki na mnamo mwaka 1885 nyerere akampa kijiti Ali Hassan Mwinyi mzeee wa ruksa ambapo aliendeleza wembe ule ule wa upendo na uzalendo kwa nchi yake na mambo yote hayo yalikuwa yakifanyika chini ya chama kimoja kilichoitwa CCM ambacho awali kiliitwa TANU chini ya nyerere na baadae kuungana na ASP kupatikana CCM mnamo mwaka 1977 , Basi ikaonekana kwanini Tanzania isitoe uhuru wa vyama vingi vya siasa?

likafanyiwa kazi na mnamo 1995 mfumo wa vyama vingi ukaanza baadhi ya vyama vilikuwa ni CUF, n.k ambapo alishinda mwanadplomasia kupitia CCM Benjamini William Mkapa naye akaendeleza yale yale waliyoacha wakubwa zake baada ya muda naye akarusha kijiti kwa mwingine na hii ni kutoka na kitabu kilichoitwa katiba chenye kubeba sheria za nchi makubaliano yakiwa ni kiongozi kuongoza baada ya miaka kumi na hapo ikawadia siku ya kuondoka kwa shujaa maarufu kama Baba wa Taifa mwl J.k Nyerere akaaga dunia mnamo tarehe 14/10/1999.

Basi Mkapa yeye alimpa Jakaya Mrisho Kikwete kijiti icho mnamo mwaka 2005 naye kikwete akafanya yale yale waliyofanya wakubwa na kuendelea kuboresha pale ambapo kidogo teknolojia ilikuwa inaelekea kwa kuweka miundo mbinu ya kisasa zaidi huduma za jamii akiwa na kauli mbiu ya maisha bora kwa kila Mtanzania na kweli hayo maisha bora hayakuwa mdomoni tu bali hadi kwenye vitendo Tanzania ikang'aa zaidi baada ya kumpata mrithi wa Kikwete mnamo mwaka 2015 aliyeitwa john pombe magufuri wengi wakiwa na mashaka na utendaji kazi wakijiuliza ni kivipi msukuma ataendesha nchi na tumezoea kuona wakila ugali mkubwa na kengine kadogo kama mboga?

Lakini bado Watanzania wakamuamini na kumpa ruksa ya kuwaongoza naye hakuwa na dogo akaiungurumisha Tanzania hadi uko nje wakajua Tanzania iko aise na akaja kuwafanya Watanzania kuwa na nguvu baada ya gonjwa la corona mnano 2019 akawaaminisha watanzania kumtegemea Mungu pekeee yake naapo kweli Mungu akawabariki Watanzania kama alivyofanya kwa wana wa israel Tanzania ikawa sehemu salama hadi kufika uchumi wa kati ila pamoja na yote tunajua Mungu huchukua walio wake bila kuuliza na halaumiwi akachukuliwa shujaa aliepambana na kujenga imani za watanzania kuhusu corona. Mnamo tarehe 17/3/2022 mara baada ya uchaguzi wa awamu ya pili ya uongozi wake basi Tanzania ikasimama kwa simanzi na maombolezo Africa na dunia nzima ikatuma salamu za rambi rambi kwa watanzania.

Bendera ikasimama nusu mlingoti kwa siku kadhaaa wasanii na ambao sio wasanii wakaimba nyimbo za majonzi watu wakatandika vitenge barabarani ili kupitisha mwili wake akielekea alikozaliwa uko chato Ivyo tukamuga Rais wetu mpendwa na hapo Tanzania ikaingia katika orodha ya nchi zilizopoteza marais wakiwa madarakani na hapo ndo tukaja kumkumbuka mama wengi wakajiuliza makamu ni mwanamke inawezekana vipi kumbe mama anakuja kuupiga mwingi.

Kama uliwahi kusikia bahati na juhudi zako zitakufikisha unapotaka basi ndicho kilichotokea baada ya magufuli kupumzika mwanamke wa kwanza anasimama kuiongoza Tanzania akiungana na wanawake wachache kama joyce banda (malawi).

Anasimama na kuipambania Tanzania kwa juhudi japo changamoto zinakuwa kubwa ila anakaza kwa kuwa ni wakike hawezi kuwa kama wa kiume siku zote japo anafanya kwa uwezo wake kuendeleza yale yaliyo achwa.

HITIMISHO, Tanzania Inajumuisha sura zote mbili ya kiume na kike na hapo tunaamini kila kitu kinawezekana. Vijana inabidi kuijua historia ya nchi yetu ili kuweza kuipambania katika misingi iliyo bora na iliyojengwa na waliopita na kukumbuka kuwa uzalendo wa nchi yetu ni kitu cha kwanza kuliko hata izi tozo na hata baada ya kuwa kiongozi na kujua zaidi tunafanya nini kuuendeleza ule umoja wa Watanzania ile sifa ya Tanzania iko wapi na tunaisimamia vipi hapo tutakuwa bora katika nyanja zote za elimu, siasa, dini, n.k
Tanzania kwanza haya mengine ni hoja ambazo zinaweza kubadilishwa tu na watu waliomo ndani ya Tanzania ila ni ngumu kulibadilisha ilo jina Tanzania kama tunavyobadilisha sera tusimame pamoja kwa kila hatua hayo ndo maendelo. Na maendeleo zaidi hayatoki mbinguni yanatafutwa kwa jasho la kweli.
WATANZANIA KWA PAMOJA TUNATOSHA KUUNDA NENO TANZANIA TUKIWA NA FURAHA TELE NDANI YA MIOYO ZETU NA KUFURAHIA PUMZI YA MUNGU BABA.

0748481696 namba yangu
 
Ni katika mpangilio wa sayari saba zenye kupendeza ambako inapatikana sayari moja inayoitwa dunia na ndani ya hiyo dunia kukiwa na mabara yapatayo saba(7) basi kati ya hayo mabara linapatikana bara moja lenye sifa kibao likiwa na rangi ya kijani ya kutosha , mali nyingi kama madini n.k...
Istory imetulia aisee watu mna vichwa umenitoa mbali sana sikujua kama ni Tanzania😀
 
Ni katika mpangilio wa sayari saba zenye kupendeza ambako inapatikana sayari moja inayoitwa dunia na ndani ya hiyo dunia kukiwa na mabara yapatayo saba(7) basi kati ya hayo mabara linapatikana bara moja lenye sifa kibao likiwa na rangi ya kijani ya kutosha , mali nyingi kama madini n.k, lakini kikubwa zaidi watu wake kwa asilimia kubwa wamejaliwa rangi nyeusi yenye kupendeza basi nalo ilo Bara linaitwa bara la Afrika bara la pili kwa ukubwa kati ya mabara yote saba na ndani ya ilo bara inapatikana nchi moja iliyokuwa mashariki mwa bara ilo nchi iliyobarikiwa madini ya pekee duniani kote kwa maana ya Tanzanite kama lilivyo jina lake lakini nchi yenye amani ambayo watu wake wamesahau kabisa kuhusu mateso ya vita bali ni changamoto za kibinadamu wanapitia bila hata stress ikiwa na serikali yenye nguvu kwa wananchi wake kwa maana ya demokrasia ya hali ya juu.

Nchi iyo inajulikana kwa jina la Tanzania ambapo kabla ya jina ilo kupatikana iliitwa Tanganyika na jina Tanzania ni kutokana na kijana aliyezaliwa tarehe 13/4/1922 uko Butiama musoma kuipambania nchi ya tanganyika baada ya kuwa chini ya utawala wa watu kutoka bara jingine kati ya yale saba linaloitwa ulaya na nchi iyo iliitwa Uingereza na kijana uyo alijulikana kwa jina la Julius Kambarage Nyerere ambae yeye aliipambania Tanganyika pasipo kukata tamaa na kwa amani kabisa akitumia vizuri elimu yake vyema aliyoipata uko uko uingereza kutafta uhuru wake na hatimae anafanikiwa mnamo tarehe 9/12/1961 chini ya gavana wa mwisho aliyejulikana kama sir Richard Turnbull.

Hakuishia hapo basi akawa shujaa wa Afrika kwa kusaidia nchi mbali mbali na kupata shujaa wenzake kama kwame nkrumah, samora machel na wengine kuipambania africa ambayo ilikuwa gizani basi baada ya hapo anaipambania zanzibar kupata uhuru wake na kuamua kuungani kutengeneza maendeleo kwa pamoja akawa abeid aman karume na Nyerere wakaziunga nchi mbili Zanzibar na Tanganyika mnamo tarehe 26/4/1964 uko dar es salaam na kuipata Tanzania yetu ya sasa.

Tanzania ikasonga na shujaaa au komando wa tanzania akaona sio mbaya kuwapa wengine kijiti cha kuongoza kwani alijenga misingi ya haki na mnamo mwaka 1885 nyerere akampa kijiti Ali Hassan Mwinyi mzeee wa ruksa ambapo aliendeleza wembe ule ule wa upendo na uzalendo kwa nvhi yake na mnamo na yote hayo yalikuwa yakifanyika chini ya chama kimoja kilichoitwa CCM ambacho awali kiliitwa TANU chini ya nyerere na baadae kuungana na ASP kupatikana CCM mnamo mwaka 1977 , Basi ikaonekana kwanini Tanzania isitoe uhuru wa vyama vingi vya siasa?

likafanyiwa kazi na mnamo 1995 mfumo wa vyama vingi ukaanza baadhi ya vyama vilikuwa ni CUF, n.k ambapo alishinda mwanadplomasia kupitia CCM Benjamini William Mkapa naye akaendeleza yale yale waliyoacha wakubwa zake baada ya muda naye akarusha kijiti kwa mwingine na hii ni kutoka na kitabu kilichoitwa katiba chenye kubeba sheria za nchi makubaliano yakiwa ni kiongozi kuongoza baada ya miaka kumi na hapo ikawadia siku ya kuondoka kwa shujaa maarufu kama Baba wa Taifa mwl J.k Nyerere akaaga dunia mnamo tarehe 14/10/1999.

Basi Mkapa yeye alimpa Jakaya Mrisho Kikwete kijiti icho mnamo mwaka 2005 naye kikwete akafanya yale yale waliyofanya wakubwa na kuendelea kuboresha pale ambapo kidogo technologia ilikuwa inaelekea kwa kuweka miundo mbinu ya kisasa zaidi huduma za jamii akiwa na kauli mbiu ya maisha bora kwa kila Mtanzania na kweli hayo maisha bora hayakuwa mdomoni tu bali hadi kwenye vitendo Tanzania ikang'aa zaidi baada ya kumpata mrithi wa Kikwete mnamo mwaka 2015 aliyeitwa john pombe magufuri wengi wakiwa na mashaka na utendaji kazi wakijiuliza ni kivipi msukuma ataendesha nchi na tumezoea kuona wakila ugali mkubwa na na kengine kadogo kama mboga?

Lakini bado Watanzania wakamuamini na kumpa ruksa ya kuwaongoza naye hakuwa na dogo akaiungurumisha Tanzania hadi uko nje wakajua Tanzania iko aise na akaja kuwafanya Watanzania kuwa na nguvu baada ya gonjwa la corona mnano 2019 akawaaminisha watanzania kumtegemea Mungu pekeee yake naapo kweli Mungu akawabariki Watanzania kama alivyofanya kwa wana wa israel Tanzania ikawa sehemu salama hadi kufika uchumi wa kati ila pamoja na yote tunajua Mungu huchukua walio wake bila kuuliza na halaumiwi akachukuliwa shujaa aliepambana na kujenga imani za watanzania kuhusu corona. Mnamo tarehe 17/3/2022 mara baada ya uchaguzi wa awamu ya pili ya uongozi wake basi Tanzania ikasimama kwa simanzi na maombolezo Africa na dunia nzima ikatuma salamu za rambi rambi kwa watanzania.

Bendera ikasimama kwa siku kadhaaa wasanii na ambao sio wasanii wakaimba nyimbo za majonzi watu wakatandika vitenge barabarani ili kupitisha mwili wake akielekea alikozaliwa uko chato Ivyo tukamuga Rais wetu mpendwa na hapo Tanzania ikaingia katika orodha ya nchi zilizopoteza marais wakiwa madarakani na hapo ndo tukaja kumkumbuka mama wengi wakajiuliza makamu ni mwanamke inawezekana vipi kumbe mama anakuna kuupiga mwingi.

Kama uliwahi kusikia bahati na juhudi zako zitakufikisha unapotaka basi ndicho kilichotokea baada ya magufuli kupumzika mwanamke wa kwanza anasimama kuiongoza Tanzania akiungana na wanawake wachache kama joyce banda (malawi).

Anasimama na kupaipambania Tanzania kwa juhudi japo changamoto zinakuwa kubwa ila anakazaa kwa kuwa ni wakike hawezi kuwa kama wa kiume siku zote japo anafanya kwa uwezo wake kuendeleza yale yaliyo achwa.

Tanzania katika taswira ya kiume na ya kike ni wapi imekaa strong hasa kuanzia mwaka 1885? Na mama ndo makali yanaishia au yanaanza daah hapo ndo tunawaza kujipambania Watanzania kwa nguvu zetu wenyewe ila tukiwaza tozo nguvu zinakata tena tunashinda juani arafu ghafla inaondoka wao wanashinda kivulini vitambi vinaongezeka #tunakumbuka Mwl alihamsisha uzalendoo kwaiyo Watanzania kwa pamoja tunaungana kwa neno Uzalendo wa nchi yetu
It's an amazing story en history we has made as an Africans to our beloved continent,,, keep doing bro we're on your back
 
Ni katika mpangilio wa sayari saba zenye kupendeza ambako inapatikana sayari moja inayoitwa dunia na ndani ya hiyo dunia kukiwa na mabara yapatayo saba(7) basi kati ya hayo mabara linapatikana bara moja lenye sifa kibao likiwa na rangi ya kijani ya kutosha , mali nyingi kama madini n.k, lakini kikubwa zaidi watu wake kwa asilimia kubwa wamejaliwa rangi nyeusi yenye kupendeza basi nalo ilo Bara linaitwa bara la Afrika bara la pili kwa ukubwa kati ya mabara yote saba na ndani ya ilo bara inapatikana nchi moja iliyokuwa mashariki mwa bara ilo nchi iliyobarikiwa madini ya pekee duniani kote kwa maana ya Tanzanite kama lilivyo jina lake lakini nchi yenye amani ambayo watu wake wamesahau kabisa kuhusu mateso ya vita bali ni changamoto za kibinadamu wanapitia bila hata stress ikiwa na serikali yenye nguvu kwa wananchi wake kwa maana ya demokrasia ya hali ya juu.

Nchi iyo inajulikana kwa jina la Tanzania ambapo kabla ya jina ilo kupatikana iliitwa Tanganyika na jina Tanzania ni kutokana na kijana aliyezaliwa tarehe 13/4/1922 uko Butiama musoma kuipambania nchi ya tanganyika baada ya kuwa chini ya utawala wa watu kutoka bara jingine kati ya yale saba linaloitwa ulaya na nchi iyo iliitwa Uingereza na kijana uyo alijulikana kwa jina la Julius Kambarage Nyerere ambae yeye aliipambania Tanganyika pasipo kukata tamaa na kwa amani kabisa akitumia vizuri elimu yake vyema aliyoipata uko uko uingereza kutafta uhuru wake na hatimae anafanikiwa mnamo tarehe 9/12/1961 chini ya gavana wa mwisho aliyejulikana kama sir Richard Turnbull.

Hakuishia hapo basi akawa shujaa wa Afrika kwa kusaidia nchi mbali mbali na kupata shujaa wenzake kama kwame nkrumah, samora machel na wengine kuipambania africa ambayo ilikuwa gizani basi baada ya hapo anaipambania zanzibar kupata uhuru wake na kuamua kuungani kutengeneza maendeleo kwa pamoja akawa abeid aman karume na Nyerere wakaziunga nchi mbili Zanzibar na Tanganyika mnamo tarehe 26/4/1964 uko dar es salaam na kuipata Tanzania yetu ya sasa.

Tanzania ikasonga na shujaaa au komando wa tanzania akaona sio mbaya kuwapa wengine kijiti cha kuongoza kwani alijenga misingi ya haki na mnamo mwaka 1885 nyerere akampa kijiti Ali Hassan Mwinyi mzeee wa ruksa ambapo aliendeleza wembe ule ule wa upendo na uzalendo kwa nvhi yake na mnamo na yote hayo yalikuwa yakifanyika chini ya chama kimoja kilichoitwa CCM ambacho awali kiliitwa TANU chini ya nyerere na baadae kuungana na ASP kupatikana CCM mnamo mwaka 1977 , Basi ikaonekana kwanini Tanzania isitoe uhuru wa vyama vingi vya siasa?

likafanyiwa kazi na mnamo 1995 mfumo wa vyama vingi ukaanza baadhi ya vyama vilikuwa ni CUF, n.k ambapo alishinda mwanadplomasia kupitia CCM Benjamini William Mkapa naye akaendeleza yale yale waliyoacha wakubwa zake baada ya muda naye akarusha kijiti kwa mwingine na hii ni kutoka na kitabu kilichoitwa katiba chenye kubeba sheria za nchi makubaliano yakiwa ni kiongozi kuongoza baada ya miaka kumi na hapo ikawadia siku ya kuondoka kwa shujaa maarufu kama Baba wa Taifa mwl J.k Nyerere akaaga dunia mnamo tarehe 14/10/1999.

Basi Mkapa yeye alimpa Jakaya Mrisho Kikwete kijiti icho mnamo mwaka 2005 naye kikwete akafanya yale yale waliyofanya wakubwa na kuendelea kuboresha pale ambapo kidogo technologia ilikuwa inaelekea kwa kuweka miundo mbinu ya kisasa zaidi huduma za jamii akiwa na kauli mbiu ya maisha bora kwa kila Mtanzania na kweli hayo maisha bora hayakuwa mdomoni tu bali hadi kwenye vitendo Tanzania ikang'aa zaidi baada ya kumpata mrithi wa Kikwete mnamo mwaka 2015 aliyeitwa john pombe magufuri wengi wakiwa na mashaka na utendaji kazi wakijiuliza ni kivipi msukuma ataendesha nchi na tumezoea kuona wakila ugali mkubwa na na kengine kadogo kama mboga?

Lakini bado Watanzania wakamuamini na kumpa ruksa ya kuwaongoza naye hakuwa na dogo akaiungurumisha Tanzania hadi uko nje wakajua Tanzania iko aise na akaja kuwafanya Watanzania kuwa na nguvu baada ya gonjwa la corona mnano 2019 akawaaminisha watanzania kumtegemea Mungu pekeee yake naapo kweli Mungu akawabariki Watanzania kama alivyofanya kwa wana wa israel Tanzania ikawa sehemu salama hadi kufika uchumi wa kati ila pamoja na yote tunajua Mungu huchukua walio wake bila kuuliza na halaumiwi akachukuliwa shujaa aliepambana na kujenga imani za watanzania kuhusu corona. Mnamo tarehe 17/3/2022 mara baada ya uchaguzi wa awamu ya pili ya uongozi wake basi Tanzania ikasimama kwa simanzi na maombolezo Africa na dunia nzima ikatuma salamu za rambi rambi kwa watanzania.

Bendera ikasimama kwa siku kadhaaa wasanii na ambao sio wasanii wakaimba nyimbo za majonzi watu wakatandika vitenge barabarani ili kupitisha mwili wake akielekea alikozaliwa uko chato Ivyo tukamuga Rais wetu mpendwa na hapo Tanzania ikaingia katika orodha ya nchi zilizopoteza marais wakiwa madarakani na hapo ndo tukaja kumkumbuka mama wengi wakajiuliza makamu ni mwanamke inawezekana vipi kumbe mama anakuna kuupiga mwingi.

Kama uliwahi kusikia bahati na juhudi zako zitakufikisha unapotaka basi ndicho kilichotokea baada ya magufuli kupumzika mwanamke wa kwanza anasimama kuiongoza Tanzania akiungana na wanawake wachache kama joyce banda (malawi).

Anasimama na kuipambania Tanzania kwa juhudi japo changamoto zinakuwa kubwa ila anakaza kwa kuwa ni wakike hawezi kuwa kama wa kiume siku zote japo anafanya kwa uwezo wake kuendeleza yale yaliyo achwa.

Tanzania katika taswira ya kiume na ya kike ni wapi imekaa imara hasa kuanzia mwaka 1885? Na mama ndo makali yanaishia au yanaanza daah hapo ndo tunawaza kujipambania Watanzania kwa nguvu zetu wenyewe ila tukiwaza tozo nguvu zinakata tena tunashinda juani arafu ghafla inaondoka wao wanashinda kivulini vitambi vinaongezeka #tunakumbuka Mwl alihamsisha uzalendoo kwaiyo Watanzania kwa pamoja tunaungana kwa neno Uzalendo wa nchi yetu na kumpa mama nguvu ya kuendelea kutupambania maana alipo mama na vijana tupo hata kwa kuchechemea.
Waooooh like that
 
Pongezi kwa mwandishi kazi nzuri
 
Tanzania katika taswira ya kiume na ya kike ni wapi imekaa imara hasa kuanzia mwaka 1885? Na mama ndo makali yanaishia au yanaanza daah hapo ndo tunawaza kujipambania Watanzania kwa nguvu zetu wenyewe ila tukiwaza tozo nguvu zinakata tena tunashinda juani arafu ghafla inaondoka wao wanashinda kivulini vitambi vinaongezeka #tunakumbuka Mwl alihamsisha uzalendoo kwaiyo Watanzania kwa pamoja tunaungana kwa neno Uzalendo wa nchi yetu na kumpa mama nguvu ya kuendelea kutupambania maana alipo mama na vijana tupo hata kwa kuchec

Kazi nzuri bru👏👏
 
Similar Discussions

93 Reactions
Reply
Back
Top Bottom