Recent content by MMASAI

  1. M

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Ni kitu cha ajabu sana.Je unajuwa sheria yoyote ambyao inaweza kumfunguli mashtaka malaji ai mwuzaji Mirungi
  2. M

    JK awasili USA

    Wanduguhii ni noma sana yaani hakuna hata TV moja ambyo imetoa habari ya kuwasili kwa Mheshimiwa wetu....TV zote ni ziara ya POPE...ajabu Bush alipokuja TZ MKUU alimpa red carpet lakini sisi wetu akienda kwa ni nonentity...au kwa sababu Mkuu amejialika mwenyewe
  3. M

    JK awasili USA

    Ameogopa ma journalist wa U.K. na katika ule uzinduzi wa investment for bongos pale Savoy hotel inasemekana wale ma reporter hatari kina JOHN SNOW na JEREMY PAXMAN walikuwa wakimsubiri kwa hamu sana na hawa ndio mareporter walovalia njuga BAE scandal. Halafu kuna wabunge kadhaa wa labour...
  4. M

    Ona Wanaojua Kufanya Kweli: Respect Kwa Rule of Law!

    Ni kweli kabisa manbo yanavyoenda sasa bongo hayajawahi tokea tangu tupate Uhuru. Mafisadi walikuwepo toka enzi hizo lakini walikumbatiwa na system lakini sasa saystem inawatoa hadharani. Watu wamechota kuliko hata Chenge lakini nani aliweza kudiriki kuwapa ruksa wachunguzwe?Enzi hizo...
  5. M

    Dr Shein Huyooo!

    Amejialika USA kuzungumzia swala la Zim wakati waafrika wenzake wako Zambia. Ameogopa kupita Denmark na U.K. kwa ajili ya issue ya Chenge kwa sababu wabunge wa huko wamepamba moto wanadai misaada inayokuja bongo inaishia kwa viongozi.Kinachoshangaza zaidi magazeti yetu ya bongo yaliaandika suala...
  6. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Haya mataizo ya ufisadi yameanza siku nyingi sana toka enzi za mzee JKN kwa sababu yeye ndio aliwaleya na kuanzisha undugunaizesheni. Sasa umeshupaa na mizizi yake ni mirefu it will take time kuimaliza. I believe(my opinion)kwamba Kisura wetu JK ameanza kuikata hiyo mizizi na hawezi kukata...
  7. M

    UK Calling Cards

    Jaribu cobra...tatizo za hizo calling cards zina daily charges hata kama hujazitumia.
  8. M

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Ave FIELD MARSHALL! Accipere quam facere praestat injuriam ;(It is better to suffer an injustice than to do an injustice)
  9. M

    Mpya: Tume ya Rais ya EPA yalonga

    Mkjj unajua court procedure ni ndefu halafu uelewe kuwa hawa watu wana mapesa mengi they will hire the best lawyers in the land na kama ujuavyo there is always a loop hole in judiciary system. Ni bora govt wa recover hayo mapesa and then take them to court.besides mara wanaporudisha hayo...
  10. M

    Mazuri ya Edward Lowassa

    Please read this THE Speaker of the National Assembly, Samwel Sitta, has instructed the Parliamentary Privileges, Ethics and Powers Committee to take action against the ongoing media offensive attempting to discredit the Richmond report findings and bring the entire House proceedings into...
  11. M

    Kamati Kuu ya CCM - Mtego unasao?

    Mi nashindwa kuelewa mtu kama Naiko anadai kwamba ameonewa kwa sababu ya ukabila. Jamani Lowassa ni mmeru si mmasai kama anavyodai na Naiko anajuwa wazi hilo
  12. M

    US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

    HII NI WEBSITE YA EMBASSY YETU......LEO....Hawaja update what is use of website?
  13. M

    FITNA uwanja wa ndege wa DAR

    Have you been to Bangkok Airport? Do you know how many tourist go through that airport?
  14. M

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    SOON...............boom....kitaeleweka nani yumo nani hayumo
Back
Top Bottom