UK Calling Cards

Status
Not open for further replies.
Mar 19, 2008
98
24
Jamani nikiwa UK nataka kujua Card gani ya kupiga Bongo nzuri kuliko zote? Ipi inakupa minutes nyingi na haiibi kwa sana. Talk home used to be good ila sasa wameniboa. Nipeni mawazo yenu mlioko UK.
 
Hingia Google tafadhali, na weka thread katika sehemu husika
Hapa utapata majibu ya kisiasa zaidi please, this is Tanzania politics na sio maswali please
 
Jamani nikiwa UK nataka kujua Card gani ya kupiga Bongo nzuri kuliko zote? Ipi inakupa minutes nyingi na haiibi kwa sana. Talk home used to be good ila sasa wameniboa. Nipeni mawazo yenu mlioko UK.talkhome5.jpg

holla acha boy
 
Hingia Google tafadhali, na weka thread katika sehemu husika
Hapa utapata majibu ya kisiasa zaidi please, this is Tanzania politics na sio maswali please

Duh!!!!

Kumeingiliwa

Mods kama hapa si sehemu yake basi naombeni muimuvuzishe hii thread mpaka kwenye sehemu husika. Since mimi ni Premium member ningependa muipeleke kwenye section ya hoja nzito,JF Recommended ili nipate majibu.
 
Naam Bwana Mkubwa... Naona unatumia upremium wako kwa staili ya kifisadi kabisa...
 
Mods kama hapa si sehemu yake basi naombeni muimuvuzishe hii thread mpaka kwenye sehemu husika. Since mimi ni Premium member ningependa muipeleke kwenye section ya hoja nzito,JF Recommended ili nipate majibu.

naunga mkono ! wewe premium bana lazima uheshimike.

au sio mheshimiwa !

Ukiwa mbunge bongo nadhani watakukoma !
 
Hayo ni mapendekezo yangu tu, Sijasema ipelekeni au sijasema lazima muipeleke. Nimeweka swali nikaona sijibiwi baki ya watu kulaumu kuwa hapa sio mahali pake. Forum rules ni first priority ofcourse. Nimeona ile hoja ya obama imekuwa viwed na zaidi ya 38,000 viewers wakati hii humu imekuwa viewed na 70 viewers tu.
 
sasa unaguggest wasiiondoe hii thread hadi iwe viewed 38,000 mr premium ?? hahaaa, nakutania bana. aisee nenda google utapata jibu !
 
Jamani nikiwa UK nataka kujua Card gani ya kupiga Bongo nzuri kuliko zote? Ipi inakupa minutes nyingi na haiibi kwa sana. Talk home used to be good ila sasa wameniboa. Nipeni mawazo yenu mlioko UK.

watafute wasomali wa hapo UK au hata wale wabongo waliojiripuwa kama wasomali watakusaidia. Wana kadi zao za kifisadi, hazili pesa kabisa utashangaa.
 
Google haiwezifanya kazi kwa sababu ninachohitaji ni card iliyokuwa tried and tested. Sitaki nunua card ya £5 alafu inipe dk 30 tu. Google inatoa ma results kibao mengi yao ni cards mbaya. Anaekaa UK atajua kwa nini google haifai. Cards tunanunua vibandani kwa ktumia cash sio kwa Credit card.
 
download internetcalls from internetcalls.com. Jisajili upate account then u will be calling bongo for fixed rate from pc to fixed/mobile phones. You can also get unlimited free calls to some countries. Check the rates and then you can calculate if it will be affordable to you.
 
Hayo ni mapendekezo yangu tu, Sijasema ipelekeni au sijasema lazima muipeleke. Nimeweka swali nikaona sijibiwi baki ya watu kulaumu kuwa hapa sio mahali pake. Forum rules ni first priority ofcourse. Nimeona ile hoja ya obama imekuwa viwed na zaidi ya 38,000 viewers wakati hii humu imekuwa viewed na 70 viewers tu.

Basi usilie premium member, we kama vipi anza kutumia kadi moja mpaka nyingine mpaka ukutane nayo yenye dili na ikibidi katikati rudia talk home!!!kwi kwi kwi what a ridiculous premium question!!
 
Mods kama hapa si sehemu yake basi naombeni muimuvuzishe hii thread mpaka kwenye sehemu husika. Since mimi ni Premium member ningependa muipeleke kwenye section ya hoja nzito,JF Recommended ili nipate majibu.
We know, as quoted below you have tried to justify your intention for making such a comment (highlighted in red above). However, we have to make it clear in the open that, such a suggestion was wrong. Whilst we appreciate and encourage suggestions and comments from members, but rest assured that at no time JF moderation will be done intentionally in favour of membership type. Moderation is based on content and its context. This thread will now close, thank you for your cooperation and have a nice day !

Hayo ni mapendekezo yangu tu, Sijasema ipelekeni au sijasema lazima muipeleke. Nimeweka swali nikaona sijibiwi baki ya watu kulaumu kuwa hapa sio mahali pake. Forum rules ni first priority ofcourse. Nimeona ile hoja ya obama imekuwa viwed na zaidi ya 38,000 viewers wakati hii humu imekuwa viewed na 70 viewers tu.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom