US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

This is so deep but I'm wondering its relevance as far as Dr. Njozi's letter article is concerned. What are you suggesting I.O?
 
On the other side of this is why does Njozi want URT to align itself with the Middle East?

Mwanahabari, msomi, mwandishi, au mchambuzi yoyote makini hawezi kuangalia kipengele kimoja tu na kupuuza maeneo mengine mengi ya habari katika kujenga hoja.

Ujumbe wa msingi unaotoka kwa Njozi ni: Tanzania itanufaikaje na ujio wa huyu mtu anayenuka damu za raia wasio na hatia?

I dont care ikiwa ni Zitto au Mama Kilango atayelalamikia ufisadi as long jambo hilo ni baya kwa jamii.
 
Suala la kusema Bush asije kwa kuwa ni "mtu anayenuka damu za raia wasio na hatia?" si lolote si chochote ni unafiki tu! Mbona Rais wetu anapokwenda huko Marekani hatupigi kelele za mbona anaenda kwa wauaji wanaonuka damu za watu? Badala yake misafara yake ya US inajaa watu kila kukicha.

Tukumbuke kuwa kila nchi inaangalia maslahi yake kwanza, hivyo Bush anakuja kwa maslahi ya nchi yake, na sisi inabidi tuangalie maslahi ya nchi yetu, napenda kuamini kuwa JK akienda huko US anazingatia hili.

Hakuna cha ajabu hapo, tusitegemee eti Bush aweke maslahi ya Tanzania mbele kuliko ya Marekani. Sisi tumezoea kufanya hivyo ndio maana leo tupo tulipo. Kwa sehemu wema wa mshumaa umetuponza leo hii mafukara wakati tulikuwa na kimbelembele cha kuweka mbele maslahi ya nchi za zingine hususan kusini mwa Afrika kupata uhuru. Baada tu ya nchi hizo kupata uhuru wametugeuzia kibao na kutuwashia indiketa wanatuacha nyuma kiuchumi, sisi tumebakia oh lakini tumewasaidia, oh hawana shukurani, oh wanatuonea, oh hawatupi viza, oh sijui nini... bado hatujaelewa somo; angalia maslahi ya nchi yako KWANZA! Sasa hivi Rwanda hao wameshawasha indiketa wanatuovateki... excuse the digression.

Cutting to the chase, all the good professor wants is to toe the line, as it were, with some Middle Eastern fundamentalist group(s), hence the anti-Bush rhetoric!
 
Kupatikana kwa madini ya uranium nchini Tanzania katika mkoa wa Ruvuma ndicho kinachomleta Rais wa Marekani Bw. George Bush kuja nchini na kukaa kwa siku nne mfululizo . Madini hayo yamepatikana wingi katika eneo la Kayelekera linalopakana na Malawi inakisiwa kuna kiasi cha kilogram milioni 25, pia uranium imepatikana maeneo ya Mtonya Songea, Ruhuhu Songea karibu na Msumbiji and South Selous.
 
we GIGO
kubali hapo juu umeongea vapour aka mvuke... hahaha... Huna point.. eti Tony hakuja... sasa... Huwajui wazungu wewe. Watu kama nyie ndio mnafungwaga kwenye leash kama pets...
 
Waungwana, when shall we get our priorities right as Africans? when shall we learn to make good out of adversity? when shall we stop complaining and get to business? in this world we live in, "no one is his/her brothers/sisters keeper". JK ameenda US mara ngapi tangia apate urais? mbona hatujawahi kuandamana? Juzi JK categorically denied any possibility of AFRICOM being stationed in Tanzania. Alitudanganya au? we ought to believe I guess! Because we havent seen the opposite! US president being in our country in four days, for smart people, its enough adverts for our limping tourism sector! Its the reality wajameni. It will depend on how we utilize this oppotunity. Tutafute mazuri ya kutusaidia katika hii ziara, mabaya tuachane nayo!

Yes, Bush has his own shortcomings and problems, but is it our priority-really?? Why cant we strategize how to make this trip beneficial to our people?, why cant our professors, advice the govt (in any form..) what kind of agendas our govt should set with GWB? That Darfurians, Somalis, Congolese people are dying, is an open secret, but why blame Bush yet people who are killing each other are Sudanese et al? tumeshawahi kuandamana ku-condemn sera za serikali ya Khartoum dhidi ya watu wake? au China inayosupply silaha kwa Sudan?

Professor kupinga hiyo ziara ni haki yake ya kikatiba, na mimi kutokubaliana naye Professor ni haki yangu ya msingi. But what Iam against ni double standards za wasomi wetu na hao wanaojifanya wanajua na kumpenda Mungu kuliko wengine. Mfano Israel inawanyanyasa Wapalestine, hakuna ubishi any peace loving person must know that and do something, but what Bashir did/doing to Southerners in Sudan for decades and decades and now in Darfur sijawahi kuona mtu akiandamana especially hapa kwetu Africa!

Sorry guys, I might have gone out of topic, lakini ukweli huu unafiki wetu (perhaps ujinga) wetu sisi Waafrika umezidi!

We move on!
 
Sorry guys, I might have gone out of topic, lakini ukweli huu unafiki wetu (perhaps ujinga) wetu sisi Waafrika umezidi!

Mawazo yako yanathibitisha kweli mtumwa hawezi kuomba uhuru! Hakuna la maana utakaloliona kwa kuja kwa huyo mwagaji damu.

Clinton alikuja hapa, tulipata nini. Angalau yeye hakua chinja chinja.

Labda tungekuwa na viongozi kama Chaves ndio tungeamka!
 
This guy is a professor, and he is out of his brains that he is in Tanzania. I wud wonder if he will tell me that he doesn't know which priorities Tanzania have as a very poor country! Yes he has a freedom of speech; but to tell us we do not need Bush in our country, and that what will we benefit from his visit is a total failure for our so called professor. Bush can be a killer, but we are fiscally subsdised; our budget cannot go without these guys, hii ni umaskini jeuri tu wa huyu professor!

Revisit your thinking and try to be constructive, we need America as the Chinese or Europeans need America; we must co-exist. If we leave these people to spread such poison then they rule our minds and will find that we loose even our own freedom.
 
Labda Historia Imekosewa...Labda Biology Imekosewa....Labda sisi Bianaadamu tunatokea kwenye makundi ya Nyani Tofauti..Inakuwaje wazungu kwa ujumla wao wawe hivyo unavyo taka wewe Kufikilia...

Kama ni Race Kweli tupo tofauti...Sioni lolote kwa Wazungu..Tofauti Tunaishi kwenye Dunia tofauti tofauti...

Poa Kama Haumpendi Tony sawa Lakini usiwachukie Wazungu wote kis Humpendi BUSHI...
 
Wewe nimeshakuelewa... hujui nnacho kimaanisha. Mimi simchukii Bush. Naishi na wazungu, nime date wazungu, nawajua fika. Kuna variations katika tabia zao.wako very different. In this case namaanisha WESTERN GOVTS... walikaa mkutano 1888 kugana Africa kama vile keki, before that waliwajaza waafrika katika meli na kwenda kuwafanyisha utumwa... tuache huko, 1045, Waingereza walitaka kuwapa waisraeli Kenya kama vile niyao.. in 1946 wali open fire on 1500 Indians because they wanted Independence, killing 300. In America jela zao zimejaa watu weusi ambao mpaka 1964 walikua hawarusiwi hatakukaa kwenye basi moja na hao wazungu, kutumia choo kimoja, kusoma chuo kimoja. Polisi waliwaua bila kujali. 1994 in Rwanda... walikuja na ndege yao wakachukua watu weupe.. wakijua fika kila waliemuacha including watoto wadogo atauliwa. and that was exactly what followed... Wakajifanya hawakujua! fungua macho yako.. Watu wanamsifia Kennedy kuwa alikua rais bora... He ordered the CIA to kidnapp and kill Lumumba.. Mpaka kesho congo wanapigana.. American companies wanauza weapons. Lakini genocide ilipotokea kosovo na albania, waliiingilia kati!

-Afghanistan ilishambuliwa kwasababu walikataa kujenge pipeline la mafuta kwenda caspian...

Bila resources za Africa, uchumi wa dunia hauwezi kuendelea, tena utakufa.. lakini iliwahakikishe unaendelea inabidi wajiwekezi>>> kukubalika katika fikra zetu, kijeshi, misaada.. Fedha tunazowadai kwa Utumwa, Wizi wa resources, mikataba kati ya wao na machief ambao hawaja soma (ikiwapa their land), madini, nishati and the currently ongoing unfair trade... hawana hata uwezo wakutulipa. Congo ina resources worth 23 trillion dollars... the richest country on the planet... lakini maskini wakutupa.. wanapigana tu. Unadhani nani anaesababisha.??


AMKA ACHA UTUMWA WAKIMAWAZO>>>> KUWA AFRI_CENTRIC
 
Mawazo yako yanathibitisha kweli mtumwa hawezi kuomba uhuru! Hakuna la maana utakaloliona kwa kuja kwa huyo mwagaji damu.

Clinton alikuja hapa, tulipata nini. Angalau yeye hakua chinja chinja.

Labda tungekuwa na viongozi kama Chaves ndio tungeamka!

Mkuu Nungunungu,
Una uhakika Clinton hakuwa "chinjachinja" au unajisemea tu? Cha msingi tuchangamke tufaidike na ziara ya Bush, unaukumbuka msemo huu "baniani mbaya kiatu chake dawa"?
 
Interest Observer...makala yako ikiwa umetumiwa au umetengeneza juu yako, Japo mwanakjj kakuuliza nini Msingi wa "forwarded Msg" na hii ya Prof. Njozi...hujajibu kazi kutoa thanks...

Wanajeshi wetu waliokwenda Lebanon wamepewa Mafunzo na wanajeshi wa Amerika...utakataa nini AFRICOM...Kikosi kinachopiga Afghanstan kipo ktk moja ya kisiwa ndani ya Africa...So interest ya America Tanzania, apart from MADINI yetu...lkn kuweka kambi ya Kijeshi. Ubalozi wa Marekani Tanzania ni huwezi kulinganisha na ubalozi uliopo Uganda au Kenya....na sasa Ubalozi wa Amerika wamepewa Ofisi Ndogo Mbeya...for what?

Wengi humu mmechangia juu ya darfur..eti serikali ya khartoum inafanya nini? watu msio kuwa na source..source zenu WESTERN MEDIA..cooking of infomation...Wanaosambaza SILAHA ni NCHI ZA MAREKANI NA ULAYA...Sarkovy..kaenda Libya kuweka mikataba ya Silaha, Bush kaenda Saudia na Nchi za ghuba kuwalazimisha kunnua silaha. Sarkovy nae kaenda kuuza Silaha za Nyuklia..eti wajilinde na IRAN...(Wametengeneza Simba wa kuchora IRAN..ili wauze SILAHA zao ktk Ghuba...)...BAE wamuza silaha nyingi tu kwa SAUDIA..fuatilia mjadala wa RADA ya TZ...Bush akae TZ siku 4 for what? Mbona UAE kwenye interest kakaa siku 2,ilibidi Jamaa wa Dubai iwe official OFF watu wasiende makazini...kisa usalama wa BUSHA...
Najua hapa home TZ hawajasema OFF officially, lkn itakuwa OFF un-officially...
Issue ya khartoum is about OIL...Sudan wamewanyima Tender america, wamewapa wa china...Waamerika waliponyimwa tender wameapa LIVE kuwa bora wote wakose..wataitia nchi ktk vita. [kuna siku nilikuua naangalia wadogo fulani TVT ktk kipindi cha asubuhi..Vijana wenye Njaa wa Kibongo eti wanafight for Darfur..its goood move, lkn unapoilaumu serikali ya khartoum ni kutokuwa na akili Timam...] US na wenzake ndio wanaocreate vita...ili wafanye biashara zao Haram za SILAHA.

Prof Njozi ana haki ya kupinga..wale wanaotetea nao watoe paper zao za utetezi...Siku Moja tulikuwa UDSM kukawa na mada za Human Rights...presenter alikuwa Chris Maina..huyu anajulikana kwa msimamo wake...ma Prof wengine ni waoga kuzungumzia kuigusa serikali..Prof Maina Mwenyewe anakiri na kusema tumsubiri Njozi aje aseme...Kitendo cha Prof Njozi kutoa paper ya kumponda BUSH ni upeo wa Hali ya juu. Wangapi wanaubavu Huo? Ubalozi wa marekani Tanzania, na Uingereza huwa wanashangaa sana courage walonayo waislam juu ya kuwapa ukweli...ukibisha kawaulize mara ngapi viongozi wa taasis za kiislam wameitwa kuhojiwa na balozi hizo...watu hawana sent...misaada imefungwa lkn wapo Kidedea kutetea maslahi ya DINI...

Prof Njozi anajua kusema kwake hakuzuii Bush kuja, lkn ujumbe utamfikia.

Wapo watakaonufaika na ujio wa BUSH...Mwakili kachangamkia..may be tutapata sent za kulipia JF Bills...

I.O. Waambie ma-Prof wenye ubongo unaowajua waandae hizi the so called priority...wampe Bush akatekeleze...Prof si kwamba kawapinga Wamarekani..yeye kapinga ujio wa BUSH na POLICIES zake...
 
Hii ni latest niliyoipata from Washington lakini strangely nina hakika wale jamaa wa Foreign hawana habari

Sababu kubwa ni BUSH anasema atabaki ili kulazimisha ilule muswada wa kuendelea na kusikiliza private calls za wamarekani

Kama kawaida yetu:

IKULU YETU TUKUFU HAINA WEBSITE

WIZARA YA MAMBO YA NJE HAINA WEBSITE

HALAFU KUNA WATU WANAKUJA KUMTETEA MEMBE HUMU. SASA KAMA WAZIRI ANASHINDWA KUTOA DIRECTIVE WIZARA YAKE IJIUNGE NA DUNIA NZIMA KWA UJUMLA WHAT MAKES YOU THINK ANAWEZA KUTUAMBIA FAIDA YA KUWA NA UBALOZI ZIMBABWE TANGU APEWE WIZARA ILE.



sasa jiulizeni kama serikali ya KJ iko ionterested na hi close the gap na wananchi kwa nini hawataki kuwa na website ya taifa ili watu wajue what they have been up to?


 
MKUU GAME
NI kweli ni aibu kwa Ikulu na MOFA kutokuwa na tovuti, lakini ukumbuke kuwa once ikulu na MOFA wakiamua kuwa nayo utasikia usanii utakotumika, unaweza kushangaa wanasema tovuti imegharimu shilingi bilioni 5, kwa maana nyingine sasa hivi hiyo bado ni window of opportunity kwa mafisadi. Na pamoja na hayo hata tovuti hiyo ikianzishwa huenda ikwa ni sawa ile ya serikali, ambayo kimsingi ni kama imekufa, haina habari yoyote ya msingi, JF ina habari nyingi zaidi za maana na ni more interactive kuliko hiyo tovuti ya Serikali, it will be wastage of money. Ni bora tuiimarishwe zaidi JF, maana mambo karibu yote yako hapa!
Hata hivyo ujio wa MR Kichaka hauna umuhimu mkubwa sana kwa Tanzania, zaidi ya show off na labda kwa interest za US>
LAKINI HABARI NILIYOPATA SASA HIVI, inasema Bush anaondoka leo na ameamua kuwa akifika TZ atamtuma Condi Kenya kuwashinikiza Kibaki na Odinga wafikie makubaliano ya kuondoa vurugu. Sasa sijui hii inakuwa vipi!
 
www.statehouse.go.tz is underconstruction. Will be available soon guys.

Huu ni mwaka wa tatu ninaona website ya Ikulu ikiwa under construction. Hivi huo ujenzi hauishi? Au wamekosa fedha za wafadhili kwa ajili ya ujenzi huo? Usishangae ukaambiwa mabilioni yanatakiwa kuiweka hiyo website hewani na ndiyo maana mpaka leo hii bado ujenzi unaendelea, wamasubiri mshiko toka kwa wafadhili!
 
Tanzania Embassy in United States of America
Home Embassy Profile About Tanzania Visa and Tourism Investment and Trade Passport Information

Menu
Basic Facts

President of Tanzania

Government

Political System

The Cabinet

The Parliament

Regional Corporation

Vision 2025
The Cabinet of Tanzania
--------------------------------------------------------------------------------

Members of the Cabinet
Government of United Republic of Tanzania
President, Commander -in- Chief of the Armed Forces H.E Jakaya M. Kikwete
Vice - President Hon. Dr. Ali M. Shein
President of Zanzibar H.E. Amani Abeid Karume
Prime Minister Hon. Edward Lowassa
Ministers of State in the President's Office
Good Governance Hon. Philip Sang'ka Marmo
Central Establishment Hon. Mary Nagu
Minister of State in the Vice President Office
Union Matters
Environment Hon. Dr. Hussein Ali Mwinyi
Hon. Prof. Mark James Mwandosya
Minister of State in the Prime Minister's Office
Ministers of State in the Prime
Minister's Office Hon. Mizengo Kayanza Peter Pinda
Hon. Dr. Batilda Salha Burian
Other Ministers with their Respective Ministries
Minister of Foreign Affairs and International Co-operation Hon. Bernard Kamillius Membe
Minister of Home Affairs Hon. Joseph James Mungai
Minister of Finance Hon. Zakia Hamdani Meghji
Minister of Industry, Trade and Marketing Hon. Basil Pesambili Mramba
Minister of East Africa Cooperation Affairs Hon. Ibrahim Said Msabaha
Minister of Planning, Economy and Empowerment Hon. Dr. Juma Alifa Ngasongwa
Minister of Information, Culture and Sports Hon. Muhammed Seif Khatib
Minister of Agriculture, Food Security and Cooperatives Hon. Stephen Masatu Wassira
Minister of Health and Welfare Development Hon. Prof. David Homeli Mwakyusa
Minister of Education and Vocational Training Hon. Margareth Simwanza Sitta
Minister of Energy and Mineral Resources Hon. Naziri Mustafa Karamagi
Minister of Water Hon. Dr. Shukuru Jumanne Kawambwa
Minister of Natural Resources and Tourism Hon. Prof. Jumanne Abdallah Maghembe
Minister of Lands and Human Settlement Development Hon. John Pombe Magufuli
Livestock Development Hon. Anthony Mwandu Diallo
Minister of Science, Technology and Higher Education Hon. Prof. Peter Mahmoud Msolla
Minister of Infrastructure Development Hon. Andrew John Chenge
Minister of Public Safety and Security Hon. Bakari Mwapachu
Minister of Labour, Employment and Youth Development Hon. Capt. John Zefania Chiligati
Minister of Community Development, Gender and Children Hon. Sofia Mnyambi Simba
Minister of Justice and Constitutional Affairs Hon. Dr. Mary Michael Nagu
Minister of Defense and National Service Hon. Prof. Juma Athumani Kapuya
Deputy Ministers

Disaster and HIV/AIDS Hon. Dr. Luka Jelas Siyame
Regional Administration and Local Government Hon. Celina Ompeshi Kombani
Foreign Affairs and International Co-operation Hon. Seif Ali Iddi
Hon. Dr. Cyril August Chami
East African Co-operation Hon. Dr. Diodorus Buberwa Kamala
Finance Hon. Abdisalaam Issa Khatib
Hon. Mustafa Haidi Mkulo
Planning, Economy and Empowerment Hon. Gaudence Kayombo
Industry, Trade and Marketing Hon. Hezekiah Ndahani Chibulunje
Agriculture, Food Security and Co-operatives Hon. Christopher Kajoro Chizza
Hon. Dr. David Mathayo David
Energy and Minerals Hon. William Ngeleje
Infrastructure Development Hon. Dr. Maua Abeid Daftari
Hon. Dr. Milton Makongoro Mahanga
Health and Social Welfare Hon. Dr. Aisha Omar Kigoda
Education and Vocational Training Hon. Mwantumu Bakari Mahiza
Hon. Ludovick John Mwananzila
Higher Education, Science and Technology Hon. Gaudensia Mugosi Kabaka
Labour, Employment, and Youth Development Hon . Jeremia Solomon Sumari
Hon. Dr. Emmanuel John Nchimbi
Lands, Housing and Human Settlements Development Hon. Rita Louise Mlaki
Community Development, Gender and Children Hon. Salome Joseph Mbatia
Public Safety and Security Hon. Mohamed Aboud
Home Affairs Hon. Lawrence Kego Masha
Livestock Development Hon. Dr. Charles Ogessa Mlingwa
Natural Resources and Tourism Hon. Zabein Muhaji Mhita
Information, Culture and Sports Hon. Daniel Nicodem Nsanzungwako
Hon. Joel Nkaya Bendera
Justice and Constitutional Affairs Hon. Mathias Meinrad Chikawe
Defense and National Service Hon. Omar Yussuf Mzee



Tanzania Embassy 2139 R Street NW Washington, DC 20008. Telephone: (202)884-1080, (202)939-6125/7 Fax: (202)797-7408
HII NI WEBSITE YA EMBASSY YETU......LEO....Hawaja update what is use of website?
 
Back
Top Bottom