What about R&D?..The Case of Foreign Aid Influx & 'A Japanese Expert' Invite

Americans cannot give us money for such important agenda as R&D. They know very well that these kinds of activities, important as they are, will not earn them a reputation from a man and woman in Manzese. Furthermore, they are interested with issues that will keep us busy for nothing so they can continue their brainwashing business. The little research that we do in TZ has been funded by our brothers and sisters in the Scandinavian countries; but these do not make headlines because, though their impact is significant, they do not add a vote to our politicians.

Kitila,
This problem is not reserved to our leaders but even our so called educated elite...they still have this inferiority complex and i was really disappointed when peole said since we depend on tourism then its ok if the British govt continued to collect personal data from Tanzanians ...why because we depend on tourists from UK!


This is a sovereign state that has 40 million people an endless land with all the resources..so why should it depend on a bunch of western tourists ?

Here below are my answers:

1.Tanzanian leaders think they are white. They try to use European styles of governing (including looking down on their own people), and they use the smile in your face, stab you in the back tactic over and over again. When will we learn that these are the very tactics that got us in this mess in the first place?



2.Tanzanian leaders are selfish and greedy. (IPTL,RICHMOND,SERENGETI AIRPORT,RADAR,OYSTERBAY BEACH scandals)




3. Tanzanian leaders are phony. We need to learn to keep it real.



4. Tanzanian people sit back and take it. We are very REACTIONARY people.We wait until all hell has broken loose and THEN we start trying to fix things. We must learn to be PROACTIVE. The reactionary mentality has never and will not work. Good example the WATER PRIVATIZATION that was done with the help of the British Govt...well, our govt didnt learn anything and now its waiting for the people who let them drown and die to come and rebuild our roads and other infrastructure. Heaven forbid we think ahead and work together to maintain what little power we are able to accumulate...



5. Tanzanian leaders are spineless. What won't they do? When will we demand at least some modicum of integrity from our so-called leaders??

As for investment, our leaders believe in the concept of "Charity begins Abroad in Foreign and Secret Bank accounts by looting our money". We does not need IMF loans and structural adjustments.We need leaders who are true patriots and who are able to engage their brains, plain and simple.

nothing more nothing less

On a flip side can someone answer me a very simple question:

Simple question:

Why does Tanzania seem unable to move away from a Commodity based Economy (exporting of bananas, peanuts, beef, copper, rubber and timber) to one that is based and focused on Manufacturing (computers, electronics, automobiles, aircrafts, steel, software and chemicals, etc, etc).

For how long should we just export Rubber, Tin, Copper, Peanuts, Cocoa and Cotton to the West?
 
I would have no qualms whatsoever, if Tanzania was in a position to export processed (value added) bananas, peanuts, beef, copper, rubber, timber, etc., rather than raw commodities as is the case at the moment.

Every country that I know of that has broken the shakles of poverty has done it through education of its people at different levels and in different fields. In the 1980s, visiting any American or British University or College would have led one to believe that those were institutions of higher learning for Malaysians,or Iraqs, and more recently Chinese or Indian and possibly Nigerian. We all know the development tragectory of these nations.
Kenya wasn't doing too badly either.
 
Nyani Ngabu has answered this question a million times now... Have you got a different answer?!

ǝɹıʍ ǝɥʇ ɯoɹɟ olɹɐɯ ǝʞıl punos noʎ uɯɐp ¿sǝɯıʇ uoıllıɯ ɐ ¿ɥɐǝʎ ɥɥɥo
 
But, the Tanzanian case wasn't always as bad as it has become of recent years!

Someone has mentioned the case of Nyumbu, and I am certain there are other examples worth of mention here. Yes, the nascent pharmaceutical industries of Keko and Arusha easily come to mind. And indeed, those indigenous early Pharmaceutical Scientists fought heroically under difficult conditions to make things work; but alas, it was an impossible mission. But I wonder, what would have happened if those brilliant minds were given an enabling environment; eeeeh, say their 'Manhattan project'! No, let's say - let there be "Nyumbus" in selected areas of national priority; and let us back up this with the necessary support. It is just a matter of choice - suka au nyoa.

The plan was clearly laid down early on, but somehow, somewhere something happened that threw every move into a spin.

I categorically reject that "Ndivyo tulivyo" statement.
 
Damn!...
Guys naona sasa tunakwenda nje, hata hivyo ebu turudi ktk reality kama kawaida yangu.

Hivi kweli kuna mtu hapa anaweza kutoa msaada kwa mtu maskini ambao utamwondoa mtu huyo ktk umaskini?.. na ukisha fanya hivyo, hiyo sadaka yako kesho ama mwaka ujao utampa nani ikiwa hakuna tena maskini?..
Binadamu sisi ni wanyama na siku zote ni lazima awepo mnyonge, mtumwa, maskini ambaye utaweza kuzoa sifa kila unapoangusha tenga zako, upate kusifiwa na kuitwa Mheshimiwa anayetoa misaada.
Haiwezekani kabisa mtu kuitwa ana roho nzuri ikiwa hakuna msaidiwa na ndio reality ya maisha kwa binadamu na hata Mataifa yetu. Nchi maskini kama zetu zinahitajiwa sana ktk maendeleo ya nchi tajiri na kila tunapopokea hizo zaka ndio milango ya pepo hufunguka kwao, hivyo wanafurahi sana tukiendelea kubeba makopo yetu ya ombaomba na kujifanya vipofu tukitembea na fimbo, pia sii rahisi kwa nchi kama Marekani kufikiria kuwa sisi Tanzania sio vipofu ikiwa sisi wenyewe tumeisha dai kuwa ni vipofu maskini. Watatu treat kama vipofu na watatuongoza kama vipofu na tunapodai kupewa funguo za kuendesha gari, basi hao Wamarekani wenyewe wataonekana wajinga kumpa kipofu funguo za gari. Sisi ni ombaomba na tutabakia ombaomba hadi siku sisi wenyewe tutakapo weza dhihirisha kuwa sii vipofu wala maskini wa hali.

Kifupi mkubwa sisi tunaonekana kama ni maskini, vipofu na tutaendelea kupokea misaada ya mikongojo, miwani ya kiza na pengine hata mbwa waliofundishwa kutuongoza (TX) ambao tutawalipia gharama kubwa kuwalisha na makazi yao. Na kila wanapokuja kutembelea ni muhimu wabebe picha za kuonyesha misaada waliyotoa. Maskini mwenye njaa mpe samaki mkuu ukitaka kumfundisha kuvua atakuja kufa kabla hata hajapiga kasia. Hii ndio mentality ya nchi tajiri wanavyotuona sisi nchi maskini.
Lets get real, jamani hata siku moja yule masikini ombaomba hawezi kufikiriwa kile anachokihitaji ktk maisha yake zaidi ya fikra hizo kutoka kwake mwenyewe. Wanaotoa misaada wataendelea kumpa vijisenti ktk kopo lake wakitegemea kuwa anachohitaji ni mlo wa siku moja.
I can bet my money on this, nasema hivi:- Hakuna mtu kati yetu alowahi mchukua maskini toka barabarani akampeleka shule kupata elimu ama kumpa mtaji ama ajira (kumfundisha kuvua) - HAKUNA. Hizi ni hadithi na ndoto ambazo in reality hazipo na hazijawahi tokea isipokuwa ktk vichwa vya Wadanganyika. Ukweli ni kwamba sisi wote hutoa zile change, kile kidogo kilichobakia mfukoni kumpa maskini ombaomba kwa sababu unampa baada ya kum judge what he real need ni mlo wa siku moja na ndivyo wanavyotufanya hao mataifa makubwa.
Ni jukumu letu sisi kuitafuta shule, kutafuta ajira ama biashara inayolingana na mazingira yetu, uwezo wetu hata kama ni kuuza samaki na mboga za majani barabarani....Ni jukumu letu kutpa hiyo mikongojo na miwani ya kiza kisha tukavaa suti na kuingia mitaani kutafuta ajira ama kubangaiza (biashara)...
 

ǝɹıʍ ǝɥʇ ɯoɹɟ olɹɐɯ ǝʞıl punos noʎ uɯɐp ¿sǝɯıʇ uoıllıɯ ɐ ¿ɥɐǝʎ ɥɥɥo
:confused:
 

Attachments

  • man.gif
    man.gif
    10.9 KB · Views: 52
Mkandara:
Uliyosema hapo ndio ukweli.
Hapo zamani tuliweza kutibu na kuzuia malaria kwa kiasi kikubwa, na hata kifua kikuu tulitibu wenyewe. Siku hizi haya ndio tunayokwenda kuomba tusaidiwe kuyakabiri. Ukifikiria kukataa msaada kama huo, roho inauma kwani unajua watoto watakufa (pamoja na kwamba mafisadi ndio sababu).

Jambo nisilolifahamu ni utaratibu unaofanyika hadi taifa tajiri linapokubali kutoa sadaka kwa maskini. Hivi huyo maskini akitoa masharti ya aina ya msaada anaouhitaji anaweza kukataliwa?

Je, Kikwete anaweza kwenda kwa rafiki yake Kichaka na kumwambia amusomeeshee vijana wake 50 tu kila mwaka katika ngazi ya elimu ya juu (Uzamili na Uvamizi) kwa miaka mitano mfululizo? Ningetamani sana Tanzania ingepewa misaada kama hiyo. Na waJapan, Waingereza, na marafiki zetu wengi mbalimbali.

Najua utaniuliza, hao wahitimu wakirudi utawapeleka wapi?
 
Mkandara:
Uliyosema hapo ndio ukweli.
Hapo zamani tuliweza kutibu na kuzuia malaria kwa kiasi kikubwa, na hata kifua kikuu tulitibu wenyewe. Siku hizi haya ndio tunayokwenda kuomba tusaidiwe kuyakabiri. Ukifikiria kukataa msaada kama huo, roho inauma kwani unajua watoto watakufa (pamoja na kwamba mafisadi ndio sababu).

Jambo nisilolifahamu ni utaratibu unaofanyika hadi taifa tajiri linapokubali kutoa sadaka kwa maskini. Hivi huyo maskini akitoa masharti ya aina ya msaada anaouhitaji anaweza kukataliwa?

Je, Kikwete anaweza kwenda kwa rafiki yake Kichaka na kumwambia amusomeeshee vijana wake 50 tu kila mwaka katika ngazi ya elimu ya juu (Uzamili na Uvamizi) kwa miaka mitano mfululizo? Ningetamani sana Tanzania ingepewa misaada kama hiyo. Na waJapan, Waingereza, na marafiki zetu wengi mbalimbali.

Najua utaniuliza, hao wahitimu wakirudi utawapeleka wapi?

Wangapi watarudi?
 
Mimi nafikiri kikubwa sana cha kuanza nacho ni kutengeneza research policy bila policy katika maswala ya research and developments hakuna kitakacho fanyika.
 
Je jeshi liongoze kwenye Research and Development? Je yawezekana kujenga Maabara ya Taifa maeneo kama Lindi huko Mtwara au Rukwa ambayo inafanya researches kama Los Alamos..?
 
1. Swala si aina ya msaada tunaopewa iwe vyandarua au kusomesha watu, hapana. Swala ni kwamba hakuna msaada wa aina yoyote ambao utaikomboa Africa.

2. Hatuwezi kuendelea kamwe kwa kutegemea wahisani kwa sababu nao wao wana agenda zao.

3. Tunachotakiwa kufanya kabla ya hizi theories mbali mbali za kutafuta maendeleo ni kuweka Istitutional mechanisms ambazo wote tutaziheshimu. Kifupi tunahitaji transparency and accountability. Tukiwa na sheria ambazo zitamfanya mtu aogope kula Rushwa, aheshimu mali na pesa za walipa kodi, tukiwa na PCCB ambayo mtu akira rushwa yoyote ile, itapambana naye kihaki na kisheria, basi tunaweza kuanza kuyatafuta maendeleo.

5.Bila dhamira ya UWAJIBIKAJI kwa watanzania wote wakulimwa kwa wafanyakazi, viongozi na wanasiasa, maendeleo tuyasahau! Kikubwa tunachokihitaji ni watu kuwajibika kwa mambo wanayoyafanya. Hata hizo hela za R&D bila kuwa na vyombo makini vya kuwawajibisha wahusika, hizi pesa zitaishia mfukoni mwa wajanja. Usifikiri western countries wameendelea kwa sababu wao ni magenios sana, hapana, wana sheria ambazo wamekubaliana waziheshimu na anayekwenda kinyume anaadhibiwa vikali. Ndo maana hata waafrika wakienda huko ulaya na US wanakuwa successful in most cases! Kwa sababu kuna utaratibu uliopo ambao unamfanya aheshimu taratibu za kazi na life style. Ndo maana mwajiriwa wa IMF au UN yuko more likely kutokula rushwa huko ila akirudi kwenye utumishi wa bongo rushwa inakuwa trade mark yake!

6. Africa na TZ kuna sheria za aina mbili za watawala na raia. Mtu anaweza kula 100Million $$ na bado akaendelea na kazi na wala asichukuliwe hatua yoyote. Jiulize haya mascandali yote hapa TZ ni nani kafikishwa kwenye vyombo vya sheria? kipi kitamzuia katibu Mkuu wa wizara nk kula millions of kickbacks? anajua hakuna consquences! Hayo maendeleo yatapatikana saa ngapi?

7/. Lastly, we cant dream of development bila kudemand accountability kutoka kwetu sisi wenyewe na viongozi wetu! Unless tuwe na hiyo misingi, hakuna chochote kinachowezekana! Tutaendelea kuformulate plans na plans but wapi! Kama wahusika wa Richmond, BOT, IPTL nk wangefikishwa mahakamani, tusingekuwa tunashuhudia mikataba ya kijinga ikiendelea kusainiwa. Lakini yote hii inatokana na ukweli kwamba akina Karamagi wanajua kabisa wako above the law!

Binadamu ni kiumbe wa ajabu anahitaji restraining kubwa. Jiulize USA ilivyo, bila hizo sheria na kanuni, kweli kuna ambacho kingefanikiwa hapo? Africa tunaamini viongozi wako juu ya sheria. Binadamu si kiumbe rahisi hivyo kwamba utakiambia kifanye kipendavyo kwa kujicontrol! Tanzania tumeyaona lakini tumeshindwa kujifunza!

Kama mki -observe, nchi yoyote ambayo inatend kuheshimu utawala wa kisheria na kuwawajibisha viongozi wake na wananchi alike, iko more likely kupiga hatua kimaendeleo kwa sababu kila mtu anamchunga mwenzake. na Ulaya na USA wamefanikiwa katika hili.
 

Simple question:

Why does Tanzania seem unable to move away from a Commodity based Economy (exporting of bananas, peanuts, beef, copper, rubber and timber) to one that is based and focused on Manufacturing (computers, electronics, automobiles, aircrafts, steel, software and chemicals, etc, etc).

For how long should we just export Rubber, Tin, Copper, Peanuts, Cocoa and Cotton to the West?

Majority of third world nation economy depends on export of Agro products and natural resources. Commodity based economy is not horrible type of economy, however in most of the developing country few research and developments has been imposed in that type of economy. For instance Tanzania government needs to subsidize our farmers, so they can compete with large scale farmers from France, USA and Asia.

Manufacture based economy required large capital, good skilled labor and good political stability. Also, African economy is still undervalued, and that is why majority of investors still migrates to Asia. Most of investors with large capital still doesn't believes in us.

Going back kwenye point ya Mwanakijiji, in order for Tanzania to move forward then we need more R&D across a board. That will attracts more investors from developed countries.

We need to change our education system, NECTA system does not prepared anybody to compete in this world. That horrible system creates more citizen with high cramming capabilities. We need to change professors mind set in our university, the mind set that the only way for a student to perform well out there he/she has to solve hard questions.

This changes can not happening over night, Tanzanian needs to stand up and vote against old school leaders. We need new energy in our government. We need to change the mind set that we can not survive without IMF and World Bank. We need our educated people to research and imposing our ideas, and not British or US ideas which doesn't working in our economy.
 
Kwa kifupi, we have other priorities! Sisi bado tunaganga njaa na hivyo hilo unalolizungumzia halina nafasi kwetu. Badala ya kuwapeleka vijana wetu MIT ambako wale walio wakali watabaki huko ( MIT sio wajinga)na wale ambao watarudi tutashindwa kuwapa nyenzo, mishahara na mazingira ya kuwawezesha kufanya hizo R & D tuangalie kwanza basic needs zetu.

Turudi kwenye elimu ya msingi na sekondari, tuiboreshe ili watoto wetu wajifunze udadisi na sio kunukuu. Tupanue wigo la elimu hii nchi nzima ili kila mwenye nia ya kusoma apate nafasi hiyo. hawa ndio watakao'feed' vyuo vyetu vikuu na kuvifanya vitoe watu wenye calibre inayoendana na mahitaji ya dunia ya sasa. Hawa wakiwepo, mashirika binafsi yatawekeza kwenye R&D bila hata ya msaada wa serikali. India wamefanikiwa kutokana kuwa na idadi kubwa ya wasomi waliozalishwa na vyuo vyao vya IIT. Mashirika ya kigeni na yale ya kihindi yenye intenational presence ndiyo sasa yanavuna matunda hayo. Serikali ya kihindi ilishajaribu kubuni gari la gharama ndogo( mradi uliongozwa na mtoto mdogo wa marehemu Indira Gandhi, marehemu Sanjay Gandhi) waliloliita maruti na hawakufanikiwa mpaka waliponunua teknoloji kutoka Suzuki. Leo hii kampuni binafsi ya kihindi, Tata imefanikiwa kubuni gari la gharama ndogo duniani. Tusipoteze wakati kujaribu kuvumbua gurudumu kama tulivyofanya kwa miradi kama ya nyumbu bali tuwekeze kwenye kizazi cha kesho na bila shaka hizi R&D zitakuja. tatizo letu tunapenda sana njia za mkato. Hatuna subira.
 
Most of the researches from western donor countries are now a days done under the disguise of NGOs, AID (misaada), HIV & AIDS, Religious Activities etc. The reasons behind being:

A) Not to call it "research programs" in order to skip and avoid International Laws and Regulations pertaining to researches.

B) To avoid extra costs, safety measures, time constraints.

C) "Not to give due credits to Tanzanians who participates, both as researchers and "guinea pigs".

Above are some but not all the reasons.

We are one of the countries who are the easiest of targets for "donors" unannounced researches due to our umatonyaring.
 

My two cents. I believe that some rulling elites i Tanzania like almost everywhere in Africa are suffering from the slave/colonial mind set which has/ is dangerous to Pan-Africanists and African humanists alike. These rulling elliets or "kept men" or Europe's trojan horses will continue the pauperization policies of a very rich country like Tanzania.

Sijui hata nisemeje manake naona kama unajisema mwenyewe vile



Tanzania like most African countries are chasing "Westernized" ones. Most Tanzanians including those in the West, really don't believe that their own African standards are as good as any on the planet. So what happens?

N ndio maana umeandika kwa lugha ya kizungu ili kuukosha ubinadamu wako.....


The right question would have been WHY DO TANZANIAN LEADERS LACK VISION AND COMMON SENSE? and is it fair to argue that most of them have decolonised mindset?

Kabla ya mimi au mtu mwingine yeyote kuanza kujibu hilo swali ningependa kukuuliza labda ni sababu gani iliyokufanya usitumie Kiswahili ktk maelezo yako hilo? Kwani jibu lako linaweza kutoa ufunuo fulani wa matatizo ya kifikra yanayotukabili....nitarejea
 
Mwanakijiji,
Nimechelea kuchangia mada hii maana kama mtu wa technology labda ilitakiwa
niwe wa kwanza kuona umuhimu wa R&D kwa Tanzania. Lakini kwa kuelewa uwezo wetu na mazingira ya Tanzania, huenda hiyo njia hatuna uwezo nayo tena hata tukitaka.

Kwenye technology management kuna mambo yafuatayo: Technology identification, acquisition, selection, exploitation,and protection. R&D iko kwenye technology acquisition. kwa leo nitaongelea technology acquisition.

Zamani ilikuwa kila nchi lazima au company lazima lijaribu kutengeneza technology yake, mara nyingi through R&D. Siku hizi sio lazima sana
kwasababu mbalimbali moja wapo ikiwa cost na pia uwezo.

Katika acquisition kuna vitu kama R&D kwa maana unaamua kutengeneza technology yako through R&D, kuna organizational learning, hii ndio ambayo kwa mimi ningeshauri kwa TZ. Inauhusiano na technology transfer. Kwa mfano
unawaleta Kajima na kuwaambia waingie ubia na MECCO kwenye ujenzi wa barabara muhimu. Lengo linakuwa kwa MECCO ambayo ni kampuni ya Kitanzania kujifunza na kugain technology ili baada ya miaka mitano kuwe na technology trnasfer na kisha wajitegemee na kuweza kujenga barabara wenyewe bila kusubiri wageni. Ili hili lifanikiwe lazima Watanzania wawe wabia wa kweli kuanzia ngazi za juu mpaka chini na pia shirika husika liwe na culture ya kujifunza. Wafanyakazi wawe encourage kujifunza na kuuliza maswali magumu magumu na kuwe na free flow of information.

Njia nyingine kwenye acquisition ni vitu kama joint venture ambayo nayo inauhusiano na organizational learning hapo juu lakini pia inaweza kuwa tofauti. Unakuwa unahitaji kufanya kitu, unagundua huna technology basi unaingia ubia na wenye technology, ni njia ya haraka zaidi. Mifano yake ni kama CRDB, waliamua kuwaleta Wadenish kama sikosei ili walete mtaji lakini kikubwa zaidi Technology.

Njia nyingine ni buying, unatumia pesa kupata technology iliyopo. Hii ndio njia tunatumia TZ, kwenye hospitali na sehemu zingine tumejaza vifaa toka nje na kuvitumia. Hakuna learning process kabisa zaidi ya kujifunza kuvitumia. Mara nyingi tuna deal na technology ya jana wakati wenzetu wanaelekea kwingine. baada ya muda hivyo vifaa havifai tena.

Njia nyingine ni outsourcing, unaona huna uwezo wa wewe mwenyewe kutengeneza chupa za beer unaamua kumpa hiyo kazi mtu mwingine au kiwanda kingine au hata nchi nyingine. Pia hapo learning process ni kidogo sana.

Hivyo kama mtakavyoona kuna njia nyingi za kuweka ku acquire technology, ni wajibu wa nchi kuamua njia zipi zinafaa. Lakini kilicho muhimu kwa nchi kama Tanzania ni kwamba hata kama hatuwezi kutumia R&D basi lazima tuhakikishe kunakuwa na learning process au transfer of technology katika njia tunayochagua.

China hawakuanza na R&D, walianza kununua na ku copy (copy and paste), kadri wanavyopata ujuzi ndivyo walivyoanza kufungua R&D centers na kuanza kutengeneza vyao. Kwa watu walioko kwenye Telecom wanajua mitambo ya kwanza ya kampuni kama Huawei Technology ambayo iko sana hata TZ, ilikuwa ni copy and paste ya mitambo ya Lucent Technology na Cisco. Hata Cisco walipofungua case, ilibidi walipe pesa nyingi.

Lakini sasa Huawei wako mbele na wanazidi kwenda mbele kwa designs mpya. Hapo ina maana learning process ili take place. Si unajua mwanafunzi unaweza kujifunza ukamzidi mwalimu?
 
Not Sure but I believe from my previous experience is 1% of Country budget(Note this is recommended by donors, the real contribution is about 0%).

Most of research and Developments funds are contributed by Donors.

Tanzania kama nchi hatuna mpango na research & D. Ni gharama Mkuu kufanya R&D. Then you know what? -Hatuwezi kuendelea.

Ndugu Kakindo,
Bila kungia gharama hatuwezi kupata maendeleo. Kumbuka kwamba bure ni ghali. Inatakiwa tuwekeze pesa nyingi sana katika utafiti na uvumbuzi, hakuna njia ya mkato ya kulekea katika maendeleo. Tuache kuwategemea wafadhili kwa maendeleo yetu ya sayansi na teknolojia.


Oh Yes Mwanakijiji we had them Once,There was an Assembling Plant for Scanias(TAMCO),Nyumbu Project(TATC), just to mention a few but God knows whats goin-on in those places todate,not forgetting the Highly Trained Engineers.what a waste!!

**No Reserch = No Modern Technology.
Ni kumbukumbu nzuri sana hii ndugu Hauxtable. Taasisi nyingi za utafiti na uvumbuzi zimejifia kabisa, kama hazijafa basi ziko hoi ile mbaya. Kuna taasisi nyeti ambazo serikali ingezipatia pesa za kutosha ili kuendeleza utafiti, lakini hali ni kinyume chake.
1. Tanzania Industrial Reserach Development Organization (TIRDO)
2. Ministry of Agriculture Research and Training Institutes (MARTI)
3. Tanzania Wildlife Research Institute (TAWIRI)
4. Tanzania Pesticides Research Institute (TAPRI)
5. Mwananchi Engineering and Construction Company (MECCO)
6. Tanzania Fisheries Institute, n.k.

Taasisi hizi zingekuwa ndio jicho la sirikali katika kutoa mazao bora ya utafiti na uvumbuzi. Tusingekuwa tuaajiri wataalamu wa kutoka nje kwa wingi kama iliyo sasa.


Je jeshi liongoze kwenye Research and Development? Je yawezekana kujenga Maabara ya Taifa maeneo kama Lindi huko Mtwara au Rukwa ambayo inafanya researches kama Los Alamos..?

Uwezekano upo kabisa, tunachohitaji ni utashi wa kisiasa tu (political will). Ikumbukwe kwamba tumelitumia jeshi kwa miaka mingi kwa kazi anuwai, kama vile ujenzi, uokoaji, kilimo na kadhalika, kwa hiyo hata tukiamua kujenga maabara kubwa kwa kulishiriisha jeshi tunaweza tukafanikiwa kabisa. Rasilimali zilizo nyingi tunazo.
 
Yote tisa, lakini bila kuwa na jamii(au sehemu kubwa) iliyo literate hatufiki mbali! Hatuna luxury ya ku'indulge kwenye R&D just for the sake of it'.Lazima tuangalia kwa uangalifu sehemu tutakazo'invest' nguvu zetu. mashirika mengi hayo yalikufa au yako ICU kwa sababu hatukuangalia matunda ya research zetu tutafanyia nini? Yana soko litakalowezesha hayo mashirika kujiendesha? Kwa mfano, si busara kupoteza wakati kubuni kifaru cha vita kwa ajili ya jeshi letu tu. Ni lazima kifaru hicho kiweze kuuzika nje ndio kutaleta maana kwenye investment yetu. R& D isiwe suala la prestige tuu ni lazima liongeze pato pia kwa jamii!
 
. Mwananchi Engineering and Construction Company (MECCO)

Hawa walikuwa ni makandarasi per se! Walijenga barabara na majengo lakini hawakuwa na kitengo cha utafiti. Pengine ungewajumuisha waliokuwa Building Research Unit.
 
1.Kifupi tunahitaji transparency and accountability. Tukiwa na sheria ambazo zitamfanya mtu aogope kula Rushwa, aheshimu mali na pesa za walipa kodi, tukiwa na PCCB ambayo mtu akira rushwa yoyote ile, itapambana naye kihaki na kisheria, basi tunaweza kuanza kuyatafuta maendeleo.

2. Africa na TZ kuna sheria za aina mbili za watawala na raia. Mtu anaweza kula 100Million $$ na bado akaendelea na kazi na wala asichukuliwe hatua yoyote. Jiulize haya mascandali yote hapa TZ ni nani kafikishwa kwenye vyombo vya sheria? kipi kitamzuia katibu Mkuu wa wizara nk kula millions of kickbacks? anajua hakuna consquences! Hayo maendeleo yatapatikana saa ngapi?

3. Lastly, we cant dream of development bila kudemand accountability kutoka kwetu sisi wenyewe na viongozi wetu! Unless tuwe na hiyo misingi, hakuna chochote kinachowezekana! Tutaendelea kuformulate plans na plans but wapi! Kama wahusika wa Richmond, BOT, IPTL nk wangefikishwa mahakamani, tusingekuwa tunashuhudia mikataba ya kijinga ikiendelea kusainiwa. Lakini yote hii inatokana na ukweli kwamba akina Karamagi wanajua kabisa wako above the law!

4. Kama mki -observe, nchi yoyote ambayo inatend kuheshimu utawala wa kisheria na kuwawajibisha viongozi wake na wananchi alike, iko more likely kupiga hatua kimaendeleo kwa sababu kila mtu anamchunga mwenzake. na Ulaya na USA wamefanikiwa katika hili.

Mzee Masanja!

I can not add more! Huwezi kufikiria ndoto to invest in R & D wakati institutions za kuzingatia haki na sheria are week and no accountability.. hiyo pesa italiwa tu!

Kwanza tuwe sheria zinaheshimiwa kwa wote..awe Waziri au mtu wa kawaida..kama kwa mfano Singapore!

Then ndo R & D... otherwise mbona tuna COSTECH, NIMR, TAFIRI, TPRI.. yet leo as a coutry we have achieved so little?

Tatizo Tz tunatamani sana kila kitu wakati mmoja.. finnaly we achieve so little!

Kwa maoni yangu na kwa hali ilivyo sasa sioni kama investment in R & D should not be a priority now!
 
Back
Top Bottom