Recent content by mluhilaseko2020

  1. M

    Kampuni ya Sola ya Mysol ni Majambazi, Wananchi iogopeni kama UKIMWI

    MREJESHO BAADA YA KUTOA TAARIFA YA UTAPELI WA KAMPUNI YA SOLA YA MYSOL: Kama nilivyoripoti asubuhi kuhusu kutapeliwa na Kampuni ya Sola ya MySol kwa kunifungia Sola ambayo haijafanya kazi(kuwaka)tangu walivyoifunga tarehe 27 Mei. Baada ya Mkubwa MBUZIMAWE99 kunipa ushauri wa kuing'oa na kuiuza...
  2. M

    Kampuni ya Sola ya Mysol ni Majambazi, Wananchi iogopeni kama UKIMWI

    MBUZIMAWE99 NAKUSHUKURU SANA,nakuhakikishia nipo njiani na Toyo yangu naenda kuufungua na nakuja nao Babati Mjini kuuuza,nimeambiwa kuna jinsi ya kuuchezea ili GPS yao isiusome mahali ulipo,kwa faida ya wengi naomba Elimu hiyo ili huyu nitakayemuuzia asije kupata matatizo,nimeshapata tayari...
  3. M

    Kampuni ya Sola ya Mysol ni Majambazi, Wananchi iogopeni kama UKIMWI

    Waungwana, nina kibanda changu hapa Babati kipo nje ya Mji kidogo ambako umeme wa TANESCO/REA bado haujafika. Nilipoona matangazo ya Kampuni ya Sola ya Mysol yenye Makao Makuu Arusha kwenye Television nikaona nifanye mchakato wa kupata Sola Moja ya Mkopo. Nikapiga simu na kupewa maelekezo...
  4. M

    House4Sale Nyumba inauzwa Kigamboni Geza Tsh Million 35

    Sioni nyumba hapo,naona kichochoro tu,jifunze kuweka Tangazo na picha kisasa
  5. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Piga MAMBWA hayo *****[emoji23][emoji23][emoji23]
  6. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa Odds ndogondogo hizi unakula Tsh.ngapi??halafu ukute uli-stake jero au Buku[emoji134][emoji134]
  7. M

    Nimejiskia vibaya kutelekezwa porini na shemeji yangu usiku kuamkia leo

    Story zako ni za Wanawake tu,ndio ukome kuachwa vichakani,Shemeji alifanya vizuri sana, kiherehere tu
  8. M

    Hukumu ya rufani ya Sabaya kupinga kifungo cha miaka 30 jela kutolewa leo Mei 6, 2022

    Jipe moyo,Sabaya alikuwa JAMBAZI kama MAJAMBAZI mengine tu,Rufaa hii hachomoi na ile Kesi nyingine Hukumu yake mwisho wa mwezi huu,atafungwa tena miaka 30 Jela Kisongo,hachomoi
  9. M

    Nahitaji kazi, naomba mnisaidie

    Pole,kama upo Dodoma naomba nikuunganishe na rafiki yangu hapo ana Microfinance yake(Imarika Microfinance),pengine anaweza kukusaidia kazi au kukupa connection zaidi maana yeye ni Mkongwe hapo,na pia amesoma Course hiyohiyo Chuo nilichosoma mimi
  10. M

    Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

    Ukikataaje Rushwa na wewe Askari??hiyo Milioni Kumi uliyoikataa kujifanya mnoko utaijutia maisha yako yote huku Mtaani[emoji23]
  11. M

    Nahitaji bajet kiasi gani kutoa TANESCO nitumie solar

    Anayetaka Sola za Mobisol anitafute,nauza bei cheeeeeeee,Betri na Panel zake za Watt 80,120 na 200
Back
Top Bottom