Royal Tour inayozinduliwa Dsm Imeondolewa Kipande Muhimu

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,551
11,881
Nilikuwa mmoja wa wale tulioangalia Royal Tour Documentary huko YouTube.

Na leo nimeangalia hii Royal Tour inayozinduliwa Dar es salaam mbele ya Marais wetu wawili.

Rais Samia wa JMT na Rais Mwinyi wa Zanzibar.

Wakiwa na wageni mbalimbali wa kitaifa na kimataifa wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania.
Pamoja na viongozi mbalimbali waandamizi wa kiserikali na kisiasa.

Kuna tofauti kubwa kati ya ile iliyoko YouTube na hii ya Dsm.

Kile kipande ambacho muongoza filamu anamsema Magufuli alikuwa mkono wa chuma na maarufu kama Bulldozer.

Kwamba alikuwa akiidharau Covid19 na Rais Samia anajibu.....
"usisahau alikuwa mkemia pia!"

Baadae Peter Greenberg anamsema.....

"Samia aliingia Madarakani baada ya kifo cha Magufuli ambacho serikali ilitangaza kilisababishwa na ugonjwa wa Moyo wakati Magufuli alifariki kwa kutokana na Covid19"

Je serikali imeogopa nini hadi kukikata kipande hicho wakati kule Marekani na Ulaya,wao wanaangalia original yenye hayo maneno!

Tutaendelea kudanganywa na serikali mpaka lini?

Kama mnatudanganya kwenye mambo ya wazi kama haya ambayo tayari yako hewani.

Itakuwaje yale yaliyoko ndani ya makabrasha ya maofisi yenu?

Itakuwaje kwenye mambo ya mikataba mikubwa yenye maslahi makubwa kwa watanzania?

Je tuendelee kuwaamini serikali kwa lipi?
 
Wazee wa kuhariri washafanya yao.

Ile original walishidwa kwa sababu ilikuwa mikononi mwa Peter na uzuri tayari ipo Amazon.

Kumbe Basata mkono wake hauvuki boarder. Aibu!!
Aibu kubwa kwa serikali,ila Peter Greenbag amerudi haraka USA inawezekana ni kwa ajili ya kwenda kuihariri upya.
 
Hapo anapiga parefu tena, lazima apewe jiwe kubwa ili ahariri. Tukumbuke yeye yupo zake kupiga mpunga
 
Nilikuwa mmoja wa wale tulioangalia Royal Tour Documentary huko YouTube.

Na leo nimeangalia hii Royal Tour inayozinduliwa Dar es salaam mbele ya Marais wetu wawili.

Rais Samia wa JMT na Rais Mwinyi wa Zanzibar.

Wakiwa na wageni mbalimbali wa kitaifa na kimataifa wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania.
Pamoja na viongozi mbalimbali waandamizi wa kiserikali na kisiasa.

Kuna tofauti kubwa kati ya ile iliyoko YouTube na hii ya Dsm.

Kile kipande ambacho muongoza filamu anamsema Magufuli alikuwa mkono wa chuma na maarufu kama Bulldozer.

Kwamba alikuwa akiidharau Covid19 na Rais Samia anajibu.....
"usisahau alikuwa mkemia pia!"

Baadae Peter Greenberg anamsema.....

"Samia aliingia Madarakani baada ya kifo cha Magufuli ambacho serikali ilitangaza kilisababishwa na ugonjwa wa Moyo wakati Magufuli alifariki kwa kutokana na Covid19"

Je serikali imeogopa nini hadi kukikata kipande hicho wakati kule Marekani na Ulaya,wao wanaangalia original yenye hayo maneno!

Tutaendelea kudanganywa na serikali mpaka lini?

Kama mnatudanganya kwenye mambo ya wazi kama haya ambayo tayari yako hewani.

Itakuwaje yale yaliyoko ndani ya makabrasha ya maofisi yenu?

Itakuwaje kwenye mambo ya mikataba mikubwa yenye maslahi makubwa kwa watanzania?

Je tuendelee kuwaamini serikali kwa lipi?
Ndo TZ ilivyo.
 
Vipi kile kipande cha 'Hi Peter. ....oooh yeah ' kipo au wamekiondoa??
 
Hakuna maneno mbadala zaidi ya kusema huu ni usaliti mkubwa wa Taifa letu!! na m*m* ametuvua nguo huko duniani, sijajua amefaidikaje na hilo!!
 
Nilikuwa mmoja wa wale tulioangalia Royal Tour Documentary huko YouTube.

Na leo nimeangalia hii Royal Tour inayozinduliwa Dar es salaam mbele ya Marais wetu wawili.

Rais Samia wa JMT na Rais Mwinyi wa Zanzibar.

Wakiwa na wageni mbalimbali wa kitaifa na kimataifa wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania.
Pamoja na viongozi mbalimbali waandamizi wa kiserikali na kisiasa.

Kuna tofauti kubwa kati ya ile iliyoko YouTube na hii ya Dsm.

Kile kipande ambacho muongoza filamu anamsema Magufuli alikuwa mkono wa chuma na maarufu kama Bulldozer.

Kwamba alikuwa akiidharau Covid19 na Rais Samia anajibu.....
"usisahau alikuwa mkemia pia!"

Baadae Peter Greenberg anamsema.....

"Samia aliingia Madarakani baada ya kifo cha Magufuli ambacho serikali ilitangaza kilisababishwa na ugonjwa wa Moyo wakati Magufuli alifariki kwa kutokana na Covid19"

Je serikali imeogopa nini hadi kukikata kipande hicho wakati kule Marekani na Ulaya,wao wanaangalia original yenye hayo maneno!

Tutaendelea kudanganywa na serikali mpaka lini?

Kama mnatudanganya kwenye mambo ya wazi kama haya ambayo tayari yako hewani.

Itakuwaje yale yaliyoko ndani ya makabrasha ya maofisi yenu?

Itakuwaje kwenye mambo ya mikataba mikubwa yenye maslahi makubwa kwa watanzania?

Je tuendelee kuwaamini serikali kwa lipi?
Muda wa kuangalia unaupata wapi??
 
Back
Top Bottom