Nahitaji kazi, naomba mnisaidie

Nahitaji kazi, naomba mnisaidie

Habari,

Umri wangu ni miaka 28. Nimekuja kwenu kuomba ajira au mtu yoyote anayeweza kunisaidia kupata ajira.

• Jinsia: Ke
• Elimu: Bachelor Degree ya Commerce in finance (BCOM finance) pia nina Diploma in Finance and Banking.
• Ninapoishi: Dodoma
• Uzoefu wa kazi : Sijawahi kuajiriwa ila nimewahi kufanya field na kujitolea kwenye taasisi za kukopesha fedha.

Nilikuwa nimejiajiri mwenyewe(mjasiriamali), ila kuna matatizo nimeyapitia ya kifamilia yaliyopelekea kunidhoofisha kifedha hadi kuingia kwenye mtaji wa biashara.

Naomba yeyote anayeweza kunipa ajira kwenye office yake au hata anayeweza kunisaidia kupata ajira anisaidie. Nina hitaji sana ajira ili niweze kujikimu na kuendesha maisha yangu na wategemezi wangu.

Sifa za ziada
-Ninajua kutumia computer.
-Ninafahamu kutumia Microsoft word, excel na PowerPoint.
-Ninajua kutumia accouting software mbili (quickbooks na excel).
-Uwezo wangu katika lugha ya kingereza ni mzuri, ninaongea (90%), kusikia na kuelewa (100%), kusoma na kuandika kwa ufasaha (100%).
-Pia mimi ni mchapakazi na ni mwaminifu, mkinipa ajira hamtojutia uamuzi wenu.

Yeyote anayeweza kunisaidia ajira au hata ushauri naomba aniambie nitamfuata inbox.

Asanteni.
Njoo dar tupambane ninachokipata utajikimu huku ukiendelea kutafuta kazi
 
Am real wishing you the best my little sis
 
Njoo dar tupambane ninachokipata utajikimu huku ukiendelea kutafuta kazi
Asante sana.
Ila sasa kupata kazi ndio siwezi jua itakuwa lini. Naogopa nitakuwa mzigo kwako kwa muda mrefu.
 
Pole,kama upo Dodoma naomba nikuunganishe na rafiki yangu hapo ana Microfinance yake(Imarika Microfinance),pengine anaweza kukusaidia kazi au kukupa connection zaidi maana yeye ni Mkongwe hapo,na pia amesoma Course hiyohiyo Chuo nilichosoma mimi
 
Nitashukuru sana, sana. Ndio nipo dodoma mjini.
Nakuja inbox, again thank you.
 
jiunge hapo
Asante
 
Habari,

Umri wangu ni miaka 28. Nimekuja kwenu kuomba ajira au mtu yoyote anayeweza kunisaidia kupata ajira.

• Jinsia: Ke
• Elimu: Bachelor Degree ya Commerce in finance (BCOM finance) pia nina Diploma in Finance and Banking.
• Ninapoishi: Dodoma
• Uzoefu wa kazi : Sijawahi kuajiriwa ila nimewahi kufanya field na kujitolea kwenye taasisi za kukopesha fedha.

Nilikuwa nimejiajiri mwenyewe(mjasiriamali), ila kuna matatizo nimeyapitia ya kifamilia yaliyopelekea kunidhoofisha kifedha hadi kuingia kwenye mtaji wa biashara.

Naomba yeyote anayeweza kunipa ajira kwenye office yake au hata anayeweza kunisaidia kupata ajira anisaidie. Nina hitaji sana ajira ili niweze kujikimu na kuendesha maisha yangu na wategemezi wangu.

Sifa za ziada
-Ninajua kutumia computer.
-Ninafahamu kutumia Microsoft word, excel na PowerPoint.
-Ninajua kutumia accouting software mbili (quickbooks na excel).
-Uwezo wangu katika lugha ya kingereza ni mzuri, ninaongea (90%), kusikia na kuelewa (100%), kusoma na kuandika kwa ufasaha (100%).
-Pia mimi ni mchapakazi na ni mwaminifu, mkinipa ajira hamtojutia uamuzi wenu.

Yeyote anayeweza kunisaidia ajira au hata ushauri naomba aniambie nitamfuata inbox.

Asanteni.
Hupo serious. Unaomba kazi hujaweka picha yako wala namba za simu
 
Ipo siku mtot wako wa kike atamaliza chuo atazunguka na bahasha ya kaki akizunguka kutafuta ajira..atashindwa kupata ajira ataingia kwenye mitandao ya kijamii ili walau apate msaada atakutana na mtu mwenye mawazo mabovu kama ya kwako sijui itakuwaje?😓
 
Habari,

Umri wangu ni miaka 28. Nimekuja kwenu kuomba ajira au mtu yoyote anayeweza kunisaidia kupata ajira.

• Jinsia: Ke
• Elimu: Bachelor Degree ya Commerce in finance (BCOM finance) pia nina Diploma in Finance and Banking.
• Ninapoishi: Dodoma
• Uzoefu wa kazi : Sijawahi kuajiriwa ila nimewahi kufanya field na kujitolea kwenye taasisi za kukopesha fedha.

Nilikuwa nimejiajiri mwenyewe(mjasiriamali), ila kuna matatizo nimeyapitia ya kifamilia yaliyopelekea kunidhoofisha kifedha hadi kuingia kwenye mtaji wa biashara.

Naomba yeyote anayeweza kunipa ajira kwenye office yake au hata anayeweza kunisaidia kupata ajira anisaidie. Nina hitaji sana ajira ili niweze kujikimu na kuendesha maisha yangu na wategemezi wangu.

Sifa za ziada
-Ninajua kutumia computer.
-Ninafahamu kutumia Microsoft word, excel na PowerPoint.
-Ninajua kutumia accouting software mbili (quickbooks na excel).
-Uwezo wangu katika lugha ya kingereza ni mzuri, ninaongea (90%), kusikia na kuelewa (100%), kusoma na kuandika kwa ufasaha (100%).
-Pia mimi ni mchapakazi na ni mwaminifu, mkinipa ajira hamtojutia uamuzi wenu.

Yeyote anayeweza kunisaidia ajira au hata ushauri naomba aniambie nitamfuata inbox.

Asanteni.
Hello
Jaribu kuwasiliana nasi kupitia info@fbctz.co.tz au jshimo.js@gmail.com
Au tupigie 07467905773
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom