Recent content by Mlugaluga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...

    Hii thread kwangu ni bonge la shule...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndani ya Kigoma

    Jibu kwa hoja, sio matusi. Kama JF watu wangekuwa kama wewe isingetoa mchango chanya kwa taifa letu kama inavyofanya sasa. Jifunze kubishana kwa hoja, itakusaidia kukuza ufahamu wako na kutoa mchango kwa taifa. Matusi ni dalili za kulazimisha hoja.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndani ya Kigoma

    Jamaa ni mtu wa watu, anayekubalika,hata kama haupendi. Matatizo yetu viongozi wengi hawayajui kwa kuwa hawapo karibu na wananchi, viongozi wengi wapo mijini, ila EL muda mwingi yupo na wananchi wa kada zote, wa kada ya chini na juu. EL hana mipaka. Fanya utafiti maeneo mengi ya nchi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mafuriko makubwa kutokea Tanzania

    Huku Kisukuru na Kinyerezi imenyesha ya wastani, lakini mabonde yameshajaa maji na baadhi ya barabara hazipitiki.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mh Magufuli na msururu wa wanahabari, hii haikubaliki

    Wakuu, mkifuatilia mambo ya jamaa kwa umakini mtashangaa jinsi alivyo wa ovyo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania MNYIKA ndiye mpinzani namba 1 tishio kwa CCM na Serikali yake

    Mnyika anajitahidi kufurukuta, ila akishishindwa kutatua tatizo la maji, barabara, ulinzi na mipango miji mibovu Ubungo; 2015 hatafika mbali. Sifa za kupeana JF hazifiki uswahilini. kuna wakati watu wa Ubungo tunashindwa kwenda kazini mvua zikinyesha kwa sababu barabara hazipitiki. Wananchi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Endapo Ngeleja akijiuzuru, January Makamba apewe Uwaziri huo

    El ameweza ku-push mambo makubwa na yakafanyika, e.g.UDOM. Nishati na Madini kuna changamoto nyingi, ila bado nafikiri kama tungekuwa na siasa za kutafuta solutions za matatizo yetu kama taifa, jamaa anafaa kuweka angalau msingi imara kwenye hiyo wizara.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Nehemia Mchechu & his team are great guys who are results oriented. People are great only if they determine to be so. Ukiona hizi vurugu ujue kuwa jamaa wame-hit the right target, tuwapeni moyo kwa kuwa NHC ikifanikiwa ni fahari kwetu sote.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wikileaks: Ambassador Adadi Rajabu on Mugabe and ZANU-PF

    Wamarekani wachokonozi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua maandalizi ya awali ya mradi wa nguruwe

    Duh! nimecheka sana, jamaa ana hasira.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sasa nimemwelewa Mh Lowassa!!

    Mkuu, history is a good judge.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bashe ajipanga kugombea Igunga

    Nilitegemea CCM itaelekeza nguvu nyingi kwenye kutekeleza ahadi zake (ambazo ni nyingi sana), lakini nahisi kukata tamaa kwa kuwa wameanza kwa kuchoshana nguvu wenyewe kwa wenyewe mapema kwa mambo yao ya ndani badala ya kazi. Wasiwasi wangu ni kuwa vita vyao havitaisha kabla ya 2015, halafu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa and Co., waliteka Bunge; Sitta, Mwakyembe kudhibitiwa

    Duh! Kweli hii ni big politics. Kazi ndio imeanza.
  14. M

    JamiiForums Tanzania R.I.P. Dr. Remmy Ongara

    R.I.P Remmy Ongara
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Saluting a new Commander in Chief: A Military's Constitutional Duty

    Thanks M. M. It is a powerful article to be distributed to all. Kindly, prepare a swahili version.
Back
Top Bottom