The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Natumaini by now mabwawa yatakuwa yanakaribia kujaa maji maana tuliomba kweli mvua inyeshe ili mabwawa yajae maji
Natumaini by now mabwawa yatakuwa yanakaribia kujaa maji maana tuliomba kweli mvua inyeshe ili mabwawa yajae maji
Kama hiyo tahadhari imetolewa na mamlaka ya hali ya hewa ya nchi hii, hata haina haja ya kuhofia kwani wanaweza wakasema mvua itanyesha badala yake bonge la jua linatandika.
Natumaini by now mabwawa yatakuwa yanakaribia kujaa maji maana tuliomba kweli mvua inyeshe ili mabwawa yajae maji
nasema hivi hiyo mamlaka siiamini hata kidogo.
Huku Kisukuru na Kinyerezi imenyesha ya wastani, lakini mabonde yameshajaa maji na baadhi ya barabara hazipitiki.
Hii ni baraka iliyojificha kwa JK na utawala wake dhalimu, yaani habari ni mafurikom tu, hakuna cha Jairo, Katiba mpya, ubadhirifu wa bilioni 64 za sherehe za miaka 50 ya udhalimu wa wakoloni weusi. Mpaka wakati mwingine tunafikiria kuwa kamati ya ufundi ya JK ina mkono katika haya majanga.
Tumekwisha...!! na hii miundombinu yetu, na kuwaachia watu wanajenga kwenye mkondo wa maji...!! sasa watu wanakufa hakuna wa kusema tunabakia maneno tuuuu...!!
Inanishangaza kweli kuona kuna wana jF bado hawauamini utabili wa hali ya hewa ati hata baada ya taarifa ya kitaalam webngine wanadhani taarifa hiyo ni ya uongoi nakutakuwa na jua kali badala ya mvua!!
Ni vigumu kuwalaumu si kosa lao kwani hawana pa kwenda na upatikanaji wa viwanja kwa miango kadhaa umetawaliwa na rushwa na ufisadi wa kutupa na bei ya kodi za nyumba zinatisha na kukaisha tamaa. Nyumba za NHC wanapewa wenye nyumba na ambazo wamezipangisha wakati wenye kuzihitaji ni ndoto kuzipata.