Tunasikitika kuwatangazia kuondokewa na mzazi wetu mpendwa Bwana Omar Hassan Suleiman Huko Zanzibar usiku wa jana Jumanne na kizikwa hii leo Kiembe Samaki Zanzibar saa saba mchana. Mwenyezi mungu ampe malazi mema ya milele na ustahamilivu kwa sisi wafiwa katika kipindi hichi kigumu cha msiba wa...
Mimi ninayo hiyo simu katika mizigo ambayo natarajia kuituma hivi karibuni lakini kwa kuwa unahitajia basi itabidi niitowe katika mzigo na kumpatia mtu mkononi nitafute huyo mtu anayeondoka kuja huko haraka
Nilikuwa na tatizo hilo mara nyingi inasababishwa na vyakula vilivyojaa ndani ya ufizi katika maoteo ya meno ambapo huwezi kupapata kupasafisha kama unatumia mswaki, ni msafishaji meno aliyesomea kwa kazi yake ndiye anayeweza kufanaya hiyo kazi. Ushauri nasaha mkuu nenda kasafishe meno kwa...
Ukiangalia kiutamaduni na kilugha hasa hii yetu ya kiswahili kilichotimia na kutokana na majina ya hizo siku ulizoziainisha hapo basi utabaini siku ya kwanza katika wiki ni Jumamosi kwa maana ya moja (mosi). Na hilo ndio jibu nililokuandalia na ndivyo ilivyo sasa mkuu kama unataka kujichanganya...
Wana ukumbi twambieni nyie mlooko karibu huko na sakata hili la kufukuzwa kwa aliyekuwa Jaji "Makamba" (Bin Manyuzi wa Bin Ununu wa Bin Utembo) eti wale wote walioamuliwa kesi zao na Jaji huyo wameanza kufuatilia ili mahakama ibatilishe uwamuzi wa kesi hizo kwa kuwa huwenda Jaji huyo alikuwa...
Kutupwa lupango kwa Koplo Steven Sagana kumeonyesha wazi kuwa yeye ni kondoo wa muhanga kwani katika kulipuka kwa mabobu Mbagla mmoja wa mkubwa wa jeshi alisikika akisema kuwa wanajeshi wetu wana nidhamu panapokuwa na mkubwa wake basi huwa mdogo anasikiliza amri, na kwa kuthibitisha hayo hata...
Ndugu yangu umefanya makosa makubwa sana kwa kumuhukumu mtu kutokana na jina lake. Kwa nchi kama canada juwa kuwa ni "multicultural country" ina wahamizi wengi tu kutoka nchi mbali mbali. Sasa unataka kuniambia kuwa ukienda canada na kukutana na mtu anaitwa OSAMA utasema kuwa shirika la ndege...
Pole sana Mkuu kwa hayo yaliyokukuta. Lakini tu nataka kukuzindua kwamba kama ni mimi ninafanyiwa hayo uliyoyaelezea basi nahesabu kuwa yote ni ya Musa na wala sitosubiri kuyaona ya Firauni. Au kwa usemi mwengine "bora lawama za mwanzo kwani za mwisho huwa si lawama bali ni fedheha". Bora shika...
Hii leo nimepata msg yako ingawa nimeipata "late" nataka kukuuliza tu kama umeshapatiwa jibu! Kama umeshapatiwa au bado lakini usimpeleke kwa Dr. Mtanda kwa matibabu hayo kwani....!!! Nifahamishe kama umeshapatiwa jibi kama bado nitakupatia na kukufahamisa wapi umpeleke mzee wako. Heshima mkuu.
Kutokana na kichwa cha umbo la maelezo yako, Kwa waishio Zanzibar jina la "Allibaba" si geni kwao kutokana na umbo lake la miraba saba na uzito alonao. Baada ya wakala wa DHL kupeleka barua kwenye nyumba yake iliyoainishwa jina la "Ali Mama" kama ilivyo kawaida na kutakiwa kuweka mkwaju "sign"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.