Ni Ipi hasa siku ya kwanza ya wiki? Jumamosi, Jumapili au Jumatatu?

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
  • Kuna wanaosema siku ya kwanza ni Jumamosi na hivyo siku ya saba ni Ijumaa.
  • Kuna wanaosema siku ya kwanza ni Jumapili na hivyo siku ya saba ni Jumamosi.
  • Kuna wanaosema siku ya kwanza ni Jumatatu na hivyo siku ya saba ni Jumapili.
Ni ipi hasa siku hiyo kwa uhakika na kwa nini?
 
Mzee kinachokuchanganya ni nini?? unatumialugha gani na unatafsiri kivipi??

Jumamosi-kwa kiswahili sanifu ni moja!

Na ijumaa ni siku ya saba.

Hii ni kwa mujibu wa kalenda ya kiarabu na kwa kutumia lugha unayoitumia hapa.

Ukitumia calender za wa-bratain ndiyo unapata Jtatu siku ya kwanza so jumapili siku ya saba!

Ukitumia kalenda ya jewish unapata Jumamosi siku ya saba hivyo jmapili kuwa siku ya kwanza!

Ukienda kwa wachina, wajapan,wahindi n.k wana calender zao na siku za majina yao!

In global world british calendering system ndiyo imetawala japo kuna proof kuwa waliikopi kutoka misri!

Sijajua lengo lako ni nini la kuuliza swali kama ni la kidini then utapata majibu pengine usiyitaka kuyakubali

Mimi ni mpentecost, naabudu jumapili, lakini tukisema tufuate jewis system basi wasabato wanasali siku ya saba ambayo ni jumamosi

VIKISIKUCHANGANYE MKUU, maan ungezaliwa na kuambiwa kuna siku 10 katika wiki ungekubali tu
 
mzee kinachokuchanganya ni nini?? Unatumialugha gani na unatafsiri kivipi??

Jumamosi-kwa kiswahili sanifu ni moja!

Na ijumaa ni siku ya saba.

Hii ni kwa mujibu wa kalenda ya kiarabu na kwa kutumia lugha unayoitumia hapa.

Ukitumia calender za wa-bratain ndiyo unapata jtatu siku ya kwanza so jumapili siku ya saba!

Ukitumia kalenda ya jewish unapata jumamosi siku ya saba hivyo jmapili kuwa siku ya kwanza!

Ukienda kwa wachina, wajapan,wahindi n.k wana calender zao na siku za majina yao!

In global world british calendering system ndiyo imetawala japo kuna proof kuwa waliikopi kutoka misri!

Sijajua lengo lako ni nini la kuuliza swali kama ni la kidini then utapata majibu pengine usiyitaka kuyakubali

mimi ni mpentecost, naabudu jumapili, lakini tukisema tufuate jewis system basi wasabato wanasali siku ya saba ambayo ni jumamosi

vikisikuchanganye mkuu, maan ungezaliwa na kuambiwa kuna siku 10 katika wiki ungekubali tu

ukoloni bado unatutawala kwa maana mara nyingi waswahili hujitamba na kiingereza ili kujionyesha kama ni msomi....?

''I have come to the conclusion that politics are too serious a matter to be left to the politicians''. Charles De Gaulle (1890 - 1970)
 
Mzee kinachokuchanganya ni nini?? unatumialugha gani na unatafsiri kivipi??

Jumamosi-kwa kiswahili sanifu ni moja!

Na ijumaa ni siku ya saba.

Hii ni kwa mujibu wa kalenda ya kiarabu na kwa kutumia lugha unayoitumia hapa.

Ukitumia calender za wa-bratain ndiyo unapata Jtatu siku ya kwanza so jumapili siku ya saba!

Ukitumia kalenda ya jewish unapata Jumamosi siku ya saba hivyo jmapili kuwa siku ya kwanza!

Ukienda kwa wachina, wajapan,wahindi n.k wana calender zao na siku za majina yao!

In global world british calendering system ndiyo imetawala japo kuna proof kuwa waliikopi kutoka misri!

Sijajua lengo lako ni nini la kuuliza swali kama ni la kidini then utapata majibu pengine usiyitaka kuyakubali

Mimi ni mpentecost, naabudu jumapili, lakini tukisema tufuate jewis system basi wasabato wanasali siku ya saba ambayo ni jumamosi

VIKISIKUCHANGANYE MKUU, maan ungezaliwa na kuambiwa kuna siku 10 katika wiki ungekubali tu

Asante Mkuu;

Nimekupata vema.

Sasa nisaidie kitu kimoja, ni nini chimbuko la kuwa na siku saba na siyo siku kumi. Na je, unafahamu chochote kihistoria?
 
ukoloni bado unatutawala kwa maana mara nyingi waswahili hujitamba na kiingereza ili kujionyesha kama ni msomi....?

‘’I have come to the conclusion that politics are too serious a matter to be left to the politicians’’. Charles De Gaulle (1890 - 1970)

Sijakupata Mkuu Osama.
 
Naamini bwana waberoya kajitahidi kukuelewesha japo vilevile kuna imani tofauti kutoka sehemu moja kwenda nyingine.Kuhusu kwa nini juma lisiwe siku 10.Hizi siku zimewekwa ili mambo yaende vinginevyo tungeshindwa kuendesha mambo yetu kwa mipaka.Kingine kikubwa ni kuwa kama ujuavyo wanaoamuru namna ya kufuata siku saa miezi nk ni wafuasi wakubwa wa Ukristo na inaamika katika Biblia kuwa Mungu alifanya kazi zake lakini alipumzika siku ya saba,kwa kuwa haielezi zaidi Mungu aliendelea kufanya nini siku ya nane,tisa,.........hivyo ikaaminika kuwa juma lina siku7.Hata hivyo ingesemwa kuwa juma lina siku 10 ingekuwa sahihi kwani sasa mwezi ungekuwa na majuma matatu na mwaka ungekuwa na majuma matano.
Naamini nimesomeka
Kazi kwako.
ImaVena

Asante Jile, nimekupata vizuri.

Lengo la thread hii ni kutaka kujua Kihistoria siku hasa inaanzia lini maana kama Waberoya alivyoongea makundi mbalimbali wana hesabu tofauti ingawa wote wanahesabu siku saba saba. lazima kutakuwa na kiini.
 
Asante Mkuu;

Nimekupata vema.

Sasa nisaidie kitu kimoja, ni nini chimbuko la kuwa na siku saba na siyo siku kumi. Na je, unafahamu chochote kihistoria?

Kwa mujibu wa vitabu vya Musa katika biblia, ndio kwa mara ya kwanza tunaona katika maono ya Musa wakati anaandika kitabu cha mwanzo.

ebu pata hiki kipande nimeiba kwa Peter Meyer.

Wherever the Common Era Calendar (a.k.a. the Gregorian Calendar) is used — and it is now used by the governments of all countries — a week of seven days is also used in conjunction with it. But there is no 7‑day cycle in Nature from which this could have been derived, so why a week of seven days?

People use a 7‑day week because they have been born into a world where this is customary. In other words, the 7‑day week has been received from earlier generations. It has a long history. When the Roman emperor Constantine made Christianity the state religion early in the 4th Century CE the 7‑day week was officially associated with the Julian Calendar, and the association remained after the Julian Calendar was replaced by the Gregorian Calendar in the 16th Century CE.

The Christians received the 7‑day week from the Jews (in fact, the original Christians were Jews). The Jewish explanation for its use is that this was commanded by their god, named by them YHWH (using the Hebrew letters Yod-He-Vav-He). The Jewish Pentateuch (incorporated into the Old Testament of the Christian Bible) contains several injunctions attributed to YHWH which mention "a seventh day", upon which no "work" is to be done.

Whether or not a 7‑day week was in use by the Jews at the time of Moses in the middle of the 2nd millennium BCE is highly debatable, since YHWH's commands to Moses are not preserved in any contemporary records but only in documents which were composed around the middle of the first millennium BCE.

But in any case the 7‑day week is much older than the time of Moses, since it was also used by the Sumerians and Babylonians. Kerry Farmer remarks that "Some Historians believe that around 2350 BC Sargon I, King of Akkad, having conquered Ur and the other cities of Sumeria, instituted a seven-day week, the first to be recorded."

In many European languages the names of the days of the week are derived from the names of planets/gods. The table below (adapted from a web page by Dr Kelley Ross) gives the names for the planets/gods in various languages and the English name of the corresponding day of the week.
The PlanetsSumerianBabylonianGreekLatinEnglishDay nameNannaSinSelenêLunaMoonMondayEnkiNabûHermesMercuriusMercuryWednesdayInannaIshtarAphroditêVenusVenusFridayUtuShamashHeliosSôlSunSundayGugalannaNergalAresMarsMarsTuesdayEnlilMardukZeusIuppiterJupiterThursdayNinurtaNinurtaKronosSaturnusSaturnSaturday
source: Why Seven Days in a Week?

ukisoma hii article mpaka mwishoni itakueleza origin ya siku 7 kwa kutumia utaalamu wa unajimu na mwezi.

lakini swali je kuna tofauti gani kati ya Jumamosi na jumanne

kama ingekuwa

Jumamosi jua jekundu
Ijumaa jua la kijani
Jumatatu jua la njano

n.k

tungekuwa na la kusema

kwa hiyo imekaa 'customary zaidi' na kimapokeoa zaidi kuliko uhalisia wa kisayansi!
 
Waberoya;

Asante sana Mkuu. Napata picha sasa.

The Christians received the 7‑day week from the Jews (in fact, the original Christians were Jews). The Jewish explanation for its use is that this was commanded by their god, named by them YHWH (using the Hebrew letters Yod-He-Vav-He). The Jewish Pentateuch (incorporated into the Old Testament of the Christian Bible) contains several injunctions attributed to YHWH which mention "a seventh day", upon which no "work" is to be done.

Je tunaweza kusema kuwa origin yake ni kutoka katika Juma la uumbaji ambalo dini nyingi zinaamini japo si Sayansi?

Suppose kuwa hiyo 7 days Weekly Cycle inakubalika kutoka katika uuumbaji. Je katika hilo kuna ushahidi wowote ambao uko preserved kuwa Siku ya Kwanza ilikuwa ni Ipi na Siku ya Saba ni Ipi, au zilikuja kuvurugika?
 
* Sunday: Old English Sunnandæg (pronounced [sun.nan.dæg] or [sun.nan.dæj), meaning "Day of the Sun". This is a translation of the Latin phrase Dies Solis. English, like most of the Germanic languages, preserves the original pagan/sun associations of the day. Many other European languages, including all of the Romance languages, have changed its name to the equivalent of "the Lord's day" (based on Ecclesiastical Latin Dies Dominica). Compare: Spanish and Portuguese Domingo, French Dimanche, Romanian Duminică and Italian Domenica. In both West Germanic and North Germanic mythology the sun is personified as a goddess; Sunna/Sól.

* Monday: Old English Mōnandæg (pronounced [mon.nan.dæg] or [mon.nan.dæj'), meaning "Day of the Moon". This is likely based on a translation of the Latin name Dies Lunae (cf. Romance language versions of the name, e.g., French Lundi, Spanish, Lunes, Romanian Luni, Italian Lunedì). In North Germanic mythology, the moon is personified as a god; Máni.

* Tuesday: Old English Tiwesdæg (pronounced [ti.wes.dæg] or [ti.wes.dæj], meaning "Tyr's day." Tyr (in Old English, Tiw, Tew or Tiu) was a one-armed god associated with battle and pledges in Norse mythology and also attested prominently in wider Germanic paganism. The name of the day is based on Latin Dies Martis, "Day of Mars" (the Roman war god); compare: French Mardi, Spanish Martes, Romanian Marţi and Italian Martedì.

* Wednesday: Old English Wōdnesdæg (pronounced [woːd.nes.dæg] or [woːd.nes.dæj) meaning the day of the Germanic god Wodan (later known as Óðinn in among the North Germanic peoples), and a prominent god of the Anglo-Saxons (and other Germanic peoples) in England until about the seventh century. It is based on Latin Dies Mercurii, "Day of Mercury"; compare: French Mercredi, Spanish Miércoles, Romanian Miercuri and Italian Mercoledì. The connection between Mercury and Odin is more strained than the other syncretic connections. The usual explanation is that both Wodan and Mercury were considered psychopomps, or leaders of souls, in their respective mythologies; both are also associated with poetic and musical inspiration. German Mittwoch and Finnish keskiviikko both mean 'mid-week'.

* Thursday: Old English Þūnresdæg (pronounced [θuːn.res.dæg] or [θuːn.res.dæj]), meaning the day of Þunor, commonly known in Modern English as Thor, the god of thunder in Norse Mythology and Germanic Paganism. It is based on the Latin Dies Iovis, "Day of Jupiter"; compare: French Jeudi, Spanish Jueves, Romanian Joi and Italian Giovedì. In the Roman pantheon, Jupiter was the chief god, who seized and maintained his power on the basis of his thunderbolt (Fulmen).

* Friday: Old English Frigedæg (pronounced [fri.je.dæg] or [fri.je.dæj]), meaning the day of the Anglo-Saxon goddess Frige, and is attesred among the North Germanic peoples as Frigg. It is based on the Latin Dies Veneris, "Day of Venus"; compare: French Vendredi, Spanish Viernes, Romanian Vineri and Italian Venerdì. Venus was the Roman goddess of beauty, love and sex.

* Saturday: the only day of the week to retain its Roman origin in English, named after the Roman god Saturn associated with the Titan Cronus, father of Zeus and many Olympians. Its original Anglo-Saxon rendering was Sæturnesdæg (pronounced [sæ.tur.nes.dæg] or [sæ.tur.nes.dæj]). In Latin it was Dies Saturni, "Day of Saturn"; compare: French Samedi. The Spanish and Portuguese Sábado, the Romanian Sâmbătă, and the Italian Sabato come from Sabbata Dies (Day of the Sabbath).
 
Day
(see Irregularities) Sunday
First Day Monday
Second Day Tuesday
Third Day Wednesday
Fourth Day Thursday
Fifth Day Friday
Sixth Day Saturday
Seventh Day Hebrew יום ראשון
yom rishon יום שני
yom sheyni יום שלישי
yom shlishi יום רביעי
yom revi'i יום חמישי
yom khamishi יום שישי
yom shishi יום שבת
yom Shabbat[♃1] Ecclesiastical Latin Dominica [☉1] feria secunda feria tertia feria quarta feria quinta feria sexta sabbatum [♃1] Portuguese domingo [☉1] segunda-feira terça-feira quarta-feira quinta-feira sexta-feira sábado [♃1] Greek Κυριακή
Kyriakí [☉1] Δευτέρα
Dheftéra Τρίτη
Tríti Τετάρτη
Tetárti Πέμπτη
Pémpti Παρασκευή
Paraskeví [♀2] Σάββατο
Sávato [♃1] Georgian კვირა
Kvira [☉1] ორშაბათი
Oršabat'i სამშაბათი
Samšabat'i ოთხშაბათი
Ot'xšabat'i ხუთშაბათი
Xut'šabat'i პარასკევი
Paraskevi [♀2] შაბათი
Šabat'i [♃1] Armenian Կիրակի
Kiraki [☉1] Երկուշաբթի
Yerkushabti Երեքշաբթի
Yerekshabti Չորեքշաբթի
Chorekshabti Հինգշաբթի
Hingshabti Ուրբաթ
Urbat Շաբաթ
Shabat [♃1] Vietnamese chủ nhật or chúa nhật [☉1] (ngày) thứ hai (ngày) thứ ba (ngày) thứ tư (ngày) thứ năm (ngày) thứ sáu (ngày) thứ bảy Icelandic sunnudagur (Sun) mánudagur (Moon) þriðjudagur miðvikudagur [☿1] fimmtudagur föstudagur [♀1] laugardagur [♃2] Arabic يوم الأحد
yaum al-aḥad يوم الإثنين
yaum al-ithnayn يوم الثُّلَاثاء
yaum ath-thulathā’ يوم الأَرْبعاء
yaum al-’arbi‘ā يوم الخَمِيس
yaum al-khamīs يوم الجُمْعَة
yaum al-jum‘ah [♀4] يوم السَّبْت
yaum as-sabt [♃5] Malay Ahad Isnin Selasa Rabu Khamis Jumaat [♀4] Sabtu [♃5] Indonesian Minggu [☉1] (Portuguese) Senin Selasa Rabu Kamis Jumat [♀4] Sabtu [♃5] Javanese Ngaat / Akad meaning? Senen Slasa Rebo Kemis Jemuwah [♀4] Setu [♃5] Minangkabau Minggu / Akek Sinayan Salaso Rabu Kamih Jumek [♀4] Sabtu [♃5] Persian یکشنبه
yekshanbeh دوشنبه
doshanbeh سه شنبه
seshanbeh چهارشنبه
chaharshanbeh پنجشنبه
panjshanbeh آدینه Adineh [♀3] or
جمه Jomeh [♀4] شنبه
shanbeh
(Night & Day) shabAneh rooz Kazakh жексенбi
zheksenbe дүйсенбi
Düysenbi сейсенбi
Seysenbi сәрсенбі
Särsenbi бейсенбі
Beysenbi жұма
Juma [♀4] сенбі
Senbi
(Night & Day) shabAneh rooz Turkish pazar [☉4] pazartesi [☽2] salı çarşamba perşembe cuma [♀4] cumartesi [♃4] Old Turkic birinç kün ikinç kün üçünç kün törtinç kün beşinç kün altınç kün yetinç kün
Weekdays numbered from Monday

The ISO prescribes Monday as the first day of the week with ISO-8601 for software date formats.
Monday nowadays is considered to be the first day of the week for business and social calendars in the United Kingdom, Canada, Australia, most of Europe, parts of Asia, some USA calendars, as well as several other countries.[citation needed])
The Slavic, Baltic and Uralic languages (except Finnish) adopted numbering but took Monday rather than Sunday as the "first day". [2] Nevertheless, they refer to Wednesday as the "middle", which implies numbering from Sunday.
Chinese Sunday means "week day"(星期日 or 星期天). Monday is named literally "week one", Tuesday is "week two", and so on. When China adopted the Western calendar Sunday was at the beginning of the calendar week but today Monday is preferred.
A second way to refer to weekdays is using the word zhou (周), meaning "cycle." Therefore Sunday is referred to as zhoumo (周末), meaning "cycle's end" and Monday through Saturday is termed accordingly zhouyi (周一) "first of cycle," zhouer (周二) "second of cycle," and etc.
Another Chinese numbering system, found in spoken Mandarin and in southern dialects/languages (i.e. Cantonese and Min), refers to Sunday as the "day of worship" (礼拜日 or 礼拜天) and numbers the other days "first [day after] worship" (Monday) through to "sixth [day after] worship" (Saturday). The Chinese word used for "worship" is associated with Christian and Muslim worship.
Day
(see Irregularities) Monday
First Day Tuesday
Second Day Wednesday
Third Day Thursday
Fourth Day Friday
Fifth Day Saturday
Sixth Day Sunday
Seventh Day ISO 8601 # 1 2 3 4 5 6 7 Russian понедельник
ponedel'nik [☽1] вторник
vtornik среда
sreda [☿1] четверг
chetverg пятница
pyatnitsa суббота
subbota [♃1] воскресенье
voskresen'ye [☉3] Belarusian Панядзелак
panyadzelyak [☽1] Аўторак
autorak Серада
serada [☿1] Чацьвер
chats'ver Пятніца
pyatnitsa Субота
subbota [♃1] Нядзеля
nyadzelya [☉6] Ukrainian понедiлок
ponedilok [☽1] вiвторок
vivtorok середа
sereda [☿1] четвер
chetver п'ятниця
p'yatnitsya субота
subota [♃1] недiля
nedilya [☉6] Polish Poniedziałek [☽1] Wtorek Środa [☿1] Czwartek Piątek Sobota [♃1] Niedziela [☉6] Slovak pondelok [☽1] utorok streda [☿1] štvrtok piatok sobota [♃1] nedeľa [☉6] Czech Pondělí or Pondělek [☽1] Úterý or Úterek Středa [☿1] Čtvrtek Pátek Sobota [♃1] Neděle [☉6] Slovenian Ponedeljek [☽1] Torek Sreda [☿1] Četrtek Petek Sobota [♃1] Nedelja [☉6] Croatian Ponedjeljak [☽1] Utorak Srijeda [☿1] Četvrtak Petak Subota [♃1] Nedjelja [☉6] Serbian Понедељак [☽1] Уторак Среда [☿1] Четвртак Петак Субота [♃1] Недеља [☉6] Macedonian понеделник [☽1] вторник среда [☿1] четврток петок сабота [♃1] недела [☉6] Bulgarian понеделник [☽1] вторник сряда [☿1] четвъртък петък събота [♃1] неделя [☉6] Hungarian hétfő [☽3] kedd szerda [☿1] Slavic csütörtök Slavic péntek Slavic szombat [♃1] vasárnap [☉5] Estonian Esmaspäev Teisipäev Kolmapäev
or Kesknädal [☿1] Neljapäev Reede Laupäev [♃2] Pühapäev [☉2] Lithuanian Pirmadienis Antradienis Trečiadienis Ketvirtadienis Penktadienis Šeštadienis Sekmadienis Latvian Pirmdiena Otrdiena Trešdiena Ceturtdiena Piektdiena Sestdiena Svētdiena Chinese Mandarin 星期一 星期二 星期三 星期四 星期五 星期六 星期日 or 星期天 Chinese Hanyu Pinyin xīngqī yī xīngqī èr xīngqī sān xīngqī sì xīngqī wǔ xīngqī liù 'xīngqī rì or xīngqí tiān Mongolian
(numerical) нэг дэх өдөр
neg deh odor хоёр дахь өдөр
hoyor dahi odor гурав дахь өдөр
gurav dahi odor дөрөв дэх өдөр
dorov deh odor тав дахь өдөр
tav dahi odor хагас сайн өдөр
hagas sain odor [♀5] бүтэн сайн өдөр
buten sain odor [☉7]
Weekdays numbered from Saturday

Originally, when the Romans named the week-days after pagan Gods, Saturnus (Saturday) was the first day of the Week (first planet in the order explained above).
The creation week according to Genesis was six-days, on the sixth and final day of creation God created man. Therefore Saturday when "God, having completed the heavens and the earth, rests from his work, and blesses and sanctifies the seventh day" Is seen by some as the first day for man and therefore beginning of the week.
Day
(see Irregularities) Saturday
First Day Sunday
Second Day Monday
Third Day Tuesday
Fourth Day Wednesday
Fifth Day Thursday
Sixth Day Friday
Seventh Day Swahili [3] jumamosi jumapili jumatatu jumanne jumatano alhamisi [♄2] ijumaa [♀4]
In Hinduism

Sanskrit attestations of the navagraha "nine astrological forces", seven of which are used for day names, date to the Yavanajataka "Sayings of the Greeks", a 150 CE translation of a 120 CE Greek Alexandrian text.

Navagraha, The British Museum - (from the left) Surya, Chandra, Mangala, Budha, Brihaspati, Shukra, Shani, Rahu, Ketu

For more information on the Hindu Gods and their relation to the Planets, see Navagraha.
Day Sunday
Surya Monday
Soma Tuesday
Mangala Wednesday
Budha Thursday
Guru Friday
Shukra Saturday
Shani Sanskrit भानुवासरम्
Bhaanu इन्दुवासरम्
Indu भौमवासरम्
Bhauma सौम्यवासरम्
Saumya गुरूवासरम
Guru भ्रगुवासरम्
Bhrgu स्थिरवासरम्
Sthira Hindi रविवार
Ravivār सोमवार
Somavār मंगलवार
Mangalavār बुधवार
Budhavār गुरूवार
Guruvār शुक्रवार
Shukravār शनिवार
Shanivār Marathi रविवार
Ravivār सोमवार
Somavār मंगळवार
MangaLavār बुधवार
Budhavār गुरूवार
Guruvār शुक्रवार
Shukravār शनिवार
Shanivār Bengali রবিবার
Robibar সোমবার
Shombar মঙ্গলবার
Monggolbar বুধবার
Budhbar বৃহস্পতিবার
Brihôshpotibar শুক্রবার
Shukrobar শনিবার
Shonibar Urdu Peer [☽4] or Shambah Mangal Budh Jumaa-raat Raat = Eve Jumaah [♀4] Saneechar or Haftah [♃6] Itwaar meaning? Burmese တနင်္ဂနွေ
Taninganway
(Tananganve) တနင်္လာ
Taninla
(Tanangla) အင်္ဂါ
Inga
(Angga) ဗုဒ္ဓဟူး
Boddhahu (night=new day) ရာဟူး Rahu ကြာသာပတေး
Kyathabaday
(Krasapate) သောကြာ
Thaukkya
(Saukra) စနေ
Sanay
(Cane) Gujarati રવિવાર
Ravivār સોમવાર
Somvār મંગળવાર
Mangaḷvār બુધવાર
Budhvār ગુરૂવાર
Guruvār શુક્રવાર
Shukravār શનિવાર
Shanivār Maldivian އާދީއްތަ
Aadheettha ހޯމަ
Homa އަންގާރަ
Angaara ބުދަ
Budha ބުރާސްފަތި
Buraasfathi ހުކުރު
Hukuru ހޮނިހިރު
Honihiru Tamil ஞாயிற்று கிழமை
Nyāyitru day திங்கட் கிழமை
Thingat day செவ்வாய்க் கிழமை
Sevvāi day புதன்க் கிழமை
Budhan day வியாழக் கிழமை
Vyāzha day வெள்ளிக் கிழமை
Velli day சனிக் கிழமை
Shani day Telugu Aadi day Soma day Mangala day Budha day Bestha/Guru/Lakshmi day Shukra day Shani day Malayalam Nyāyar Thingal Chouvva Budhan Vyāzha Velli Sheni Kannada ಭಾನುವಾರ
Bhanu Vaara ಸೋಮವಾರ
Soma Vaara ಮಂಗಳವಾರದ
Mangala Vaara ಬುಧವಾರ
Budha Vaara ಗುರುವಾರ
Guru Vaara ಶುಕ್ರವಾರ
Shukra Vaara ಶನಿವಾರ
Shani Vaara Thai วันอาทิตย์
Wan āthit วันจันทร์
Wan chan วันอังคาร
Wan angkhān วันพุธ
Wan phut วันพฤหัสบดี
Wan phruehatsabodi วันศุกร์
Wan suk วันเสาร์
Wan sao Mongolian адъяа
adiya сумъяа
sumiya ангараг
angarag буд
bud бархабадь
barhasbadi сугар
sugar санчир
sanchir Javanese Raditya Soma Anggara Buda Respati Sukra Tumpek Balinese Redite Coma Anggara Buda Wraspati Sukra Saniscara
East Asian Seven Luminaries

The East Asian naming system of week-days closely parallels that of the Latin system and is ordered after the "Seven Luminaries" (七曜), which consists of the Sun, Moon and the five planets visible to the naked eye. The five planets are named after the five elements in traditional East Asian philosophy: Fire (Mars), Water (Mercury), Wood (Jupiter), Metal (Venus), and Earth (Saturn).[citation needed] The earliest known reference in East Asia to the seven-day week in its current order and name is the writings attributed to the Chinese astrologer Fan Ning, who lived in the late 4th century of Jin Dynasty. Later diffusions from the Manichaeans are documented with the writings of the Chinese Buddhist monk Yi Jing and the Ceylonese Buddhist monk Bu Kong of the 8th century under the Tang Dynasty. The Chinese transliteration of the planetary system was soon brought to Japan by the Japanese monk Kobo Daishi; surviving diaries of the Japanese statesman Fujiwara Michinaga show the seven day system in use in Heian Period Japan as early as 1007. In Japan, the seven day system was kept in use (for astrological purposes) until its promotion to a full-fledged (Western-style) calendrical basis during the Meiji era. In China, with the founding of the Republic of China in 1911, Monday through Saturday in China are now numbered one through six, with the reference to the Sun remaining for Sunday (星期日).
For more information on the Chinese ten-day week, see Week#China.
For more information on the five elements and their relation to the planets, see Chinese_astrology#Five_elements and Wu Xing.

Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Celestial Object Sun (日) Moon (月) Mars (火星) Mercury (水星) Jupiter (木星) Venus (金星) Saturn (土星) Old Chinese 日曜日 Riyaori 月曜日 Yueyaori 火曜日 Huoyaori 水曜日 Shuiyaori 木曜日 Muyaori 金曜日 Jinyaori 土曜日 Tuyaori Japanese 日曜日 Nichiyōbi 月曜日 Getsuyōbi 火曜日 Kayōbi 水曜日 Suiyōbi 木曜日 Mokuyōbi 金曜日 Kin'yōbi 土曜日 Doyōbi Korean (Hangul) 일요일 Iryoil 월요일 Woryoil 화요일 Hwayoil 수요일 Suyoil 목요일 Mogyoil 금요일 Geumyoil 토요일 Toyoil Tibetan gza' nyi ma gza' zla ba gza' mig mar gza' lhag pa gza' phur bu gza' pa sangs gza' spen pa
Mix of different conventions

Mix of Latin and Slavic conventions

In Žejane dialect of Istro-Romanian, lur (Monday) and virer (Friday) follow the Latin convention, while utorek (Tuesday), sredu (Wednesday), and četrtok (Thursday) follow the Slavic convention.[4]
Day:
(see Irregularities) Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Istro-Romanian, Žejane dialect lur utorek sredu četrtok virer simbota [♃1] dumireca [☉1]

Im lost!
 
Five-day

Javanese
The Javanese people of Indonesia have a 5 day week known as the Pasaran cycle. This is still in use today and superimposed with Gregorian calendar and Islamic calendar to become what is known as the Wetonan Cycle.

Six day

Between 1929 and 1931 USSR changed from the 7 day week to a 5 day week. There were 72 weeks and an additional 5 national holidays inserted within 3 of them totaling a year of 365 days.

Soviet Union
In 1931 after the Soviet Union's 5 day week they changed to a 6 day week. Every 6th day (6th, 12th, 18th, 24th and 30th) of the Gregorian Calendar was a state rest day. The 5 additional national holidays in the earlier 5 day week remained and did not fall on the state rest day.

But as January, March, May, July, August, October and December have 31 days, the week after the state rest day of the 30th was 7 days long (31st-7th). This extra day was a working day for most or extra holiday for others.

Also as February is only 28 or 29 days depending if a leap year or not, the 1st of March was also made a state rest day, although not every enterprise conformed to this.

To clarify, the week after the state rest day of the 24th; 25th February to the 1st March, was only 5 or 6 days long, depending if a leap year or not. The week after that; 2nd to 6th March, only 5 days.

The calendar was abandoned 26 June 1940 and the 7 day week reintroduced the day after.
Main article: Soviet_calendar#Six-day_weeks

Akan
The Akan people have 42 day cycle known as Adaduanan. The Adaduanan cycle appears to be based on an older six-day week, still extant in some northern Guan communities such as the Nchumuru , on which is superimposed a seven-day week which may have been brought south with itinerant traders from the Savannah.

The six-day week is referred to as Nanson (literally seven-days) and reflect the lack of zero in the numbering systems; the last day and the first day are both included when counting the days of a week.

Eight-day

Etruscans (and Romans)
The ancient Etruscans, developed an 8 day market week known as the nundinal cycle around 8th or 7th century BCE. This was passed on to the Romans no later than the 6th century BCE. As Rome expanded it encountered the 7 day week and for a time attempted to include both.

The popularity of the 7 day rhythm won and the 8 day week disappeared forever. Emperor Constantine eventually established the 7 day week in the Roman calendar and in 321 CE.

Celts
It is believed the Celtic people used a nine night week. The moon was used to measure one day from another so nights were more significant. The 9 nights divided nicely into a Sidereal Month of 27 nights. Each week of 9 nights had 8 days. There was also a half week of 5 nights and 4 days.

Early Christians
To early Christians, Sunday, as well as being the first day of the week, was also the spiritual eighth day, as it symbolised the new world created after Christ's resurrection. The concept of the eighth day was symbolic only and had no effect on the use of the seven day week for calendar purposes.

Lithuanian
In the 14th century the Grand Duchy of Lithuania used a solar-lunar calendar. The structure of this calendar was understood with the help of the so-called Gediminas Sceptre discovered in 1680

Ancient Balts
Historical records give evidence that the week of ancient Balts was nine-days long. Thus, the sidereal month must have been divided into three parts.

Ten-day

China
The Chinese 10 day week went as far back as the Shang Dynasty (1200-1045 BCE). The law in the Han Dynasty (206 BCE – 220 CE) required officials of the empire to rest every 5 days, called "mu", while it was changed into 10 days in the Tang Dynasty (618 CE – 907CE), called "huan" or xún (旬). Months were almost 3 weeks long (alternating 29 and 30 days to keep in line with the lunation). The weeks were labelled shàng xún (上旬), zhōng xún (中旬), and xià xún (下旬) which mean roughly "upper", "middle" and "lower" week.

Egypt
Ancient Egypt had a 10 day week, 3 per month with 5 extra days at the end of the year

France
A 10 day week was used in France for 12 years from late 1793 to 1805. And for 18 days in 1871 in Paris.

Thirteen-day

Aztecs
The Aztecs divided a ritual cycle of 260 days, known as Tonalpohualli, into 20 weeks of 13 days known as Trecena.

Maya
The Maya divided a 260 ritual cycle known Tzolk'in as into 20 weeks of 13 days known as Trecena.

Aztecs
The Aztecs divided a solar year of 365 days, Xiuhpohualli into 18 periods of 20 days and 5 nameless days known as Nemontemi. Although some call this 20 day division or grouping a month, it has no relation to a lunation and therefore the word week is more appropriate.

Maya
The Maya also divided a the year Haab' into 18 periods of 20 days Uinal and 5 nameless days known as Wayeb'.

Source:[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Week"]Week - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]
 
  • Kuna wanaosema siku ya kwanza ni Jumamosi na hivyo siku ya saba ni Ijumaa.
  • Kuna wanaosema siku ya kwanza ni Jumapili na hivyo siku ya saba ni Jumamosi.
  • Kuna wanaosema siku ya kwanza ni Jumatatu na hivyo siku ya saba ni Jumapili.
Ni ipi hasa siku hiyo kwa uhakika na kwa nini?
Kama una
taka tafsili ya kiswahili basi lazima ukubaliane na jumamosi kuwa ni siku ya kwanza na na ijumaa ni siku ya mwisho kama zinavyojieleza haihitaji mtalaamu wa lugha kuelimisha juu tafsili hizo
 
  • Kuna wanaosema siku ya kwanza ni Jumamosi na hivyo siku ya saba ni Ijumaa.
  • Kuna wanaosema siku ya kwanza ni Jumapili na hivyo siku ya saba ni Jumamosi.
  • Kuna wanaosema siku ya kwanza ni Jumatatu na hivyo siku ya saba ni Jumapili.
Ni ipi hasa siku hiyo kwa uhakika na kwa nini?

Ukiangalia kiutamaduni na kilugha hasa hii yetu ya kiswahili kilichotimia na kutokana na majina ya hizo siku ulizoziainisha hapo basi utabaini siku ya kwanza katika wiki ni Jumamosi kwa maana ya moja (mosi). Na hilo ndio jibu nililokuandalia na ndivyo ilivyo sasa mkuu kama unataka kujichanganya subiri majibu kwa ukariri wa beti za vitabu vya kidini, Budha, Hindu na wengineo kila mmoja atakuambia vyake na haa ujute kuileta hii thread hapa ukumbini.
 
Hakuna siku ya kwanza kwa sababu dunia inazunguka. Dunia inazunguka jua katika closed loop. Na closed loop haina starting point.
 
Back
Top Bottom