Wun
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 358
- 72
habari zenu member wote poleni kwa majukumu kila siku kuna swali nina nisumbua kichwa changu kuna mtu anajiita alibaba jina hili siyo geni kwa watu wanaoangali DVD za kutoka china ambazo zinabeba picha nyingi huu jamaa ni mmoja kati watu wanaotegeneza hizi picha feki katika picha zake kuna nyengine zina onyesha na nyengine hazionyeshi tena siyo hivyo tuu kuna nyengine zina kiwango cha chini pia huyu jamaa ni mwizi wa haki za wamiliki wa movies anazoziweka kwenye collection zake.NAOMBA MENBER MJADILI KUHUSU HUYU JAMAA NI MWEZI