Kitoto cha jicho ni nini hasa? Na matibabu yake ni yapi?

Aluta

Member
Aug 16, 2008
69
3
Habari zenu ndugu wana JF. Ningependa kuuliza kama mnafahamu kuhusu huu ugonjwa kitoto cha jicho ni nini, na unatokana na nini na matibabu yake ni nini? Mzee wangu amepatwa na maumivu makali jicho moja na amenieleza kuwa amepata huo ugonjwa. Nitashukuru sana kama mnaweza kunisaidia kwa ushauri au hata sehemu anapoweza pata matibabu mapema kabla mambo hayajawa magumu.

Natanguliza shukrani, Aluta!
 
Kitaalamu sijui unasababishwa na nini, ila ninachojua ni wapi pa kumpeleka. Mpeleke CCBRT, hata mimi mzee wangu aliupata nikampeleka wakamfanyia upasuaji, ila ukichelewa inakuwa ngumu kupona, na huenda akapoteza uwezo wa kuona.
 
Hii leo nimepata msg yako ingawa nimeipata "late" nataka kukuuliza tu kama umeshapatiwa jibu! Kama umeshapatiwa au bado lakini usimpeleke kwa Dr. Mtanda kwa matibabu hayo kwani....!!! Nifahamishe kama umeshapatiwa jibi kama bado nitakupatia na kukufahamisa wapi umpeleke mzee wako. Heshima mkuu.
 
Shukrani Mkuu, sasa jibu nililopata ndilo hilo la mwanzo hapo. Itakuwa vizuri kama utaweza kunisaidia pia kama utakuwa na jibu lingine tofauti. Na sijaelewa Dr. Mtanda ulimaanisha nini hasa. Basi nategemea jibu lako pia. Natanguliza shukrani!
 
Hii leo nimepata msg yako ingawa nimeipata "late" nataka kukuuliza tu kama umeshapatiwa jibu! Kama umeshapatiwa au bado lakini usimpeleke kwa Dr. Mtanda kwa matibabu hayo kwani....!!! Nifahamishe kama umeshapatiwa jibi kama bado nitakupatia na kukufahamisa wapi umpeleke mzee wako. Heshima mkuu.
Mimi nina matatizo ya macho na nakusudia kwenda kwa huyu daktari kwa vile nimepata sifa zake tele.Mlokole nijulishe kwanini umemkataza jamaa asimpeleke baba yake huko?.
 
Back
Top Bottom