Kama wewe ungefanya nini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama wewe ungefanya nini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sospeter, Apr 14, 2009.

 1. s

  sospeter Member

  #1
  Apr 14, 2009
  Joined: Apr 13, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Una mpenzi wako unayempenda sana na unamtimizia kila kitu na umekaa naye takribani miaka kama mitano hivi . Halafu ilitokea amekwenda shule kusoma na ukamsaidia kwa hali na mali na jinsi ulivyoweza. Cha kushangaza shule kuna mambo mengi inatokea wanasoma na kijana mwingine ambaye wanakuwa karibu sana naye kila ukiulizia na umeanza kuhisi mahusiano kati yao. Mpenzi wako anakwambia kuwa usiwe na wasiwasi siwezi kutembea na mtu kama yule mie. Shule inamalizika ukiwa unamsaidia kwa kila kitu . Inapita muda mawasiliano yanaendelea na inakuja kufikia huyu bwana wanatengana mwingine anahamia mikoani na mwingine anabaki.Huyu bwana nakuja mkutanoni dar na hawajaonana , Huku huyu mpenzi wangu angundua kuwa huyu bwana alikuja na anamwambia umekuja bila kuonana , maana yake nini lakini. Baada ya hapo ujumbe kama huu unatumwa “ Nimekumiss sana mpenzi wangu kutoka kwa mwanaume akitaja na jina la mpenzi wangu” na mwanamke anajibu , wewe tu umeni tupa kabisa, na jamaa anasema nikija nitakutafuta hata usiku , ni wewe tu. Na mara kwa mara anakuwa anampigia simu ukimwuuliza anasema ni mawasiliano tu. Kwa kuwa mtu unampenda , unaamini. Ila hii ya kutembelewa hata usiku ni kali na imeniweka mahali patata. Kumpenda nampenda na nimeweka kweli pendo kwake mbele . Sasa hii inanikatisha tamaa kabisa.

  Je nishaurini jamani , huyu dada nampenda na natarajia ndoa na yeye , huyu bwana ana mke na watoto wake . Sasa waungwana nipeni jawabu hapo sielewi.
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ningekwambia usiwe na wasiwasi, lakini 'elimu dunia' imenifundisha kutowaamini wanawake wanaojidai kusema; "....siwezi kutembea na mtu kama yule mie"
   
 3. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,189
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Mhh hapo nakushauri uchunguze kwa makini maana hayo maneno yana uzito.
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu huu mzigo imradi hujaoa piga chini tu mwache atakuja tembea na houseboy wako sio mwaminifu atasemaje? "....siwezi kutembea na mtu kama yule mie"
   
 5. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mdau anataka maoni yenu wakuu, nawakilisha

   
 6. Y

  YE JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Usichoelewa ni nini ndugu?

  Jawabu ni kwamba wewe unatumiwa tu, mapenzi hamna hapo....
   
 7. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Unapigwa bao la kisigino au kisogoni...ongea naye na umwambie hupendezwi na hio tabia na aiiache(lakini, je, wewe nawe mahusioano yako menginemengine yakoje...isijekuwa wewe ndo unamatatizo kaka) Look at your goodself first, perphaps kuna vijiproblem na wewe. Mwanamke anayepata penzi la kweli kamwe hawezi ruka njee unless hormone zake sio balanced sawasawa mwilini. Pole sana, jamani siningekupata wewe unaetimiza yote uliosema...ni hadimu sana wanaume kama nyinyi, alafu ndo huangukia tundu bofu kabsaaa.
   
 8. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Penny, you just PM the boy, he might be the right candidate of yours
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
 10. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  I wish ila tayari niko ndani ya goli...pengine nimuunganishie mdogo wangu!:)
   
 11. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
 13. mlokole

  mlokole Member

  #13
  Apr 15, 2009
  Joined: Dec 8, 2006
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Pole sana Mkuu kwa hayo yaliyokukuta. Lakini tu nataka kukuzindua kwamba kama ni mimi ninafanyiwa hayo uliyoyaelezea basi nahesabu kuwa yote ni ya Musa na wala sitosubiri kuyaona ya Firauni. Au kwa usemi mwengine "bora lawama za mwanzo kwani za mwisho huwa si lawama bali ni fedheha". Bora shika njia nenda zako hao ni jamii ya watu ambao hawajui wapi watapata ama ni kwako au kwa huyo mwenzio ni mfano wa kuwa kama ndege aamkapo asubuhi huwa hajui wapi atapata riziki yake, hiyo inayokuja mwanzo ndiohiyohiyo. Pia kumbuka hakuna urafiki wa jinsia mbili tofauti na ukiwepo huwa haudumu kwa upande mmoja au mwengine mfano mzuri ni ndoa za ma-staa wa Holywood.
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mbu,
  Acheni watu watoe madukuduku yao yaliyowajaa moyoni.Unajua hapa ni kama kwa daktari, unapoumwa hata kama dalili zote zinaashiria una ugonjwa kama wa mwenzio, huwezi kusema najitibu.Lazima utaenda kwa daktari na uelezee symptoms zako zote na ndipo dokta atakapokupa tiba.
  Inawezekana tatizo la huyu ndugu linafanana na la yule wa mwanzo lakini inaleta faraja kuona unapata "a personalised service" kwa maana watu wanampa ushauri yeye na kwa ishu yake.
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hapajaharibika neno WoS na Penny ,

  moderators weshaziunganisha thread zote mbili zenye maana moja, hii aliyoanzisha sospeter na ile iliyoanzishwa baadae na bm21.

  Kumradhi kwa kutoeleweka.
   
 16. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hii thread ilitumwa kama PM kwa baadhi ya watu, me included sijui kama it was by mistake coz nilijibu kama PM tu sospeter.....bm21 pia aliipata kisha akona heri aitoe into the public domain...

  mbu usione wivu sisi tuliotumiwa are the JF relationship gurus only lmbao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 17. M

  Msindima JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kaka what r u waiting,magonjwa au?Na una mapngo kabisa wa kumwoa huyo dada,mbona hiyo tayari imeshakula kwako,mimi nashangaa jamani hivi hii dunia inaelekea wapi? Do you think kwamba hizo tabia atakuja kuziacha hata mkioana?Yaani hapo ukiamua kuoa we jua hivi hauko peke yako sasa sijui kama utafurahia kuelewa kuwa una mwenzako,kuna thread nilichangia nikasema hivi hakuna tabia mpya itakayoonekana kwenye ndoa,ukiona tabia fulani kwenye ndoa elewa kuwa ilikuwepo hata wakati mkiwa single,Na pia mshukuru Mungu hili limejitokeza mapema,Mungu anakupenda sana ila ukiamua kung'ang'ania kazi kwako.
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Ooh I see...! :) ....am sorry jamani kwa 'kudandia gari-moshi kwa mbele!', ~nilizoea UDA miaka hiyo, haya ma 'London Bus' yanatunyima uroda!~
   
 19. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ebwana huyo demu piga chini anakutumia tu! Huyo jamaa ataendelea kumla na ukizingatia jamaa lina familia yake akhaaa! wala hana wasiwasi!! Kwanza anaposema hawezi kutembea na mtu km yule, inamaana angekuwa vp ndiyo angeweza kutembea naye?!!
   
 20. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ........ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa, acha kututega na mdogo wako. U in your family still there is resources to be exploited (cute single ladies). But cool do that.
   
Loading...