Recent content by Mlitika

  1. Mlitika

    Rugemalira, Luoga, escrow funds na Mkombozi Commercial Bank

    Huu ndo mwisho wa sredi ya udaku.
  2. Mlitika

    Kuna mtu/mwananchi atatapeliwa kuanzia jumatatu

    Very true! Mi huwa nawashangaa watu. Ana miliono 200 bado ati anakwenda kwa mganga aziongeze hiyo ni akili kweli? Huyo acha wazichukue wenye akili maana fedha nyingi hivyo hazitakiwi zikae kwa mtu -------- kama yeye.
  3. Mlitika

    Kishindo cha Kinana chazaa neema Hydom!

    Umemnanga huyo kisawasa. Serves him right.
  4. Mlitika

    Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

    Hapajawahi tokea ktk historia ya nchi mtu wa OVYO kama Ilunga. MWONGO, MZUSHI, MCHOCHEZI, ROHO MBAYA, MBAGUZI, MDINI, ...... Kama hili gaidi haliko MOTONI basi huo moto haupo.
  5. Mlitika

    Wapo viongozi hata wakifa leo hatutalia

    Hiyo ni kauli ya Mh. Augustano Eliyatonga Mrema wakati akitoa maoni yake kwenye mahojiano na TBC katka Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Hayati Edward Moringe Sokoine. "Wapo viongozi hata wakifa leo hatulii! Tulilie nani? Tunamkumbuka kwa lipi?" Alisema Mh. Eliyatonga. Sina hakika Mh. Mrema...
  6. Mlitika

    Nataka kuwa bilionea ifikapo 2025 msaada please

    Surely I would have called him worse names and be banned for life! Imbecile indeed that arola54! Pole vivian.
  7. Mlitika

    Huwa sigongwi mimi

    Kwa taarifa yake nimewagonga saaana tu hao!
  8. Mlitika

    Huwa sigongwi mimi

    Poa. Lakini kichwa cha habari kingekuwa "Huwa hagongwi huyo"
  9. Mlitika

    Upande wa pili wa hotuba ya JK Bungeni

    Haikuwa kazi ya JK kuunga mkono au kupinga Rasimu ya Katiba Mpya. Hiyo ni kazi ya wajumbe wa Bunge la Katiba. Kazi yake ilikuwa KUZINDUA BUNGE MAALUMU AFU ACHAPE MWENDO, PERIOD!
  10. Mlitika

    Salamu kwa Mhe Kikwete na watanzania toka Goma

    Hata mimi namshangaaa!
  11. Mlitika

    Salamu kwa Mhe Kikwete na watanzania toka Goma

    Unakaa Dar afu Magogoni hupajui? Au hapa ulipozileta hizo salamu ndo kwa Kikwete?
  12. Mlitika

    Dodoma: Rais Jakaya Kikwete kuambatana na Ujumbe Mzito

    Let's wait and hear for the Jah-Kaya-man!
  13. Mlitika

    Timu ya Yanga yapata ajali Mikese

    R.i.p. Yanga
  14. Mlitika

    Haaaaaa haaaaaaaa haaaaaaaaaaa!!!

    Walahi hatoki na kitu mlangoni! Haki yake ni kubeba soda tena kwa tumbo aende zake. Hakuja kuchukua chupa wala kizibo. Hiyo bahati ni malipo ya Mungu kwa ukarimu wa mwenyeji. Ni cha aliyetoa hela akanunua soda. Promotion hizo huwa zinawalenga wanaotoa hela kununua soda si vinginevyo. Sasa kama...
  15. Mlitika

    you must be made tdo this

    Hicho kichwa cha habari hii ulimaanisha kuandika kilivyo au ulikuwa na haraka? Jamani, kiswahili mbona kinaeleweka vizuri tu humu, kwa nini mnajitafutiaga matatizo ya bure?
Back
Top Bottom