Wapo viongozi hata wakifa leo hatutalia

Wapo viongozi hata wakifa leo hatutalia

Mlitika

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
457
Reaction score
260
Hiyo ni kauli ya Mh. Augustano Eliyatonga Mrema wakati akitoa maoni yake kwenye mahojiano na TBC katka Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Hayati Edward Moringe Sokoine. "Wapo viongozi hata wakifa leo hatulii! Tulilie nani? Tunamkumbuka kwa lipi?" Alisema Mh. Eliyatonga.

Sina hakika Mh. Mrema alimaanisha kiongozi gani ambaye akifa hatutalia.
 
Ameongea ukweli jamani, hembu tusemeni ukweli japo hatuombei haya kwa binadamu wenzetu maana na sisi safari ni moja, ila tukijadili kauli ya Mrema, hivi kweli katika viongozi wa CCM wa leo ambao bado wana nyazifa zao, mfano katika baraza la Mawaziri ni yupi akifa leo Taifa litashikwa na butwaa kuwa loh.......fulani katutoka? najua wapo lakini hawafiki hata 3.
 
Magufuli akifa watalia. Sioni mwingine
 
Wale walioliingiza taifa kwenye mikataba tata, ununuzi wa rada na 10% juu, waporaji wa ardhi kwa kisingizio cha uwekezaji
 
Ameongea ukweli jamani, hembu tusemeni ukweli japo hatuombei haya kwa binadamu wenzetu maana na sisi safari ni moja, ila tukijadili kauli ya Mrema, hivi kweli katika viongozi wa CCM wa leo ambao bado wana nyazifa zao, mfano katika baraza la Mawaziri ni yupi akifa leo Taifa litashikwa na butwaa kuwa loh.......fulani katutoka? najua wapo lakini hawafiki hata 3.

Magufuli na Mwakyembe baaas
 
ni shida kwakweli bwanah
 
Kifo ni kitu kibaya sana yoyote atake tangulia mbele za haki,automatically utasahau ubaya wake wote na inawezekana ww ndo ukalia sana kuliko wot, haya majanga ya siasa tunalalamikaa tu tu ila hatuombei mtu afe aisee. Kifo ni ktu kibaya aisee.
 
Hiyo ni kauli ya Mh. Augustano Eliyatonga Mrema wakati akitoa maoni yake kwenye mahojiano na TBC katka Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Hayati Edward Moringe Sokoine. "Wapo viongozi hata wakifa leo hatulii! Tulilie nani? Tunamkumbuka kwa lipi?" Alisema Mh. Eliyatonga.

Sina hakika Mh. Mrema alimaanisha kiongozi gani ambaye akifa hatutalia.

- Sasa mzee wa nji zile dhahabu alizokamata UWanjan wa N?Dege zipo wapi?

Le Mutuz System
 
Unajua kama huwa unafatilia muvi nyingi kuna ka msemo wale wanaochukiana huwa wanasema "i hate him but i did not want him to die" mtu akishavuta,kifo ni ishu nyingine aisee!
 
Ukweli mrema ni mbunge wangu. Akifa leo siyo tu kulia ila sintahuzunika. Afe tu, tumemchoka msaliti yeye na mnfiki.
 
Back
Top Bottom