Wadau kuna matapeli wamepanga kumtapeli mwananchi nisiyemfahamu zaidi ya tshs.mil.200 kwa kujidai ni waganga na watampatia utajiri,na mwananchi huyo ameamini anakaribia kuwa bilionea akitoa kiasi hicho.Tatizo simfahamu mwananchi huyo,wala anapoishi,ningejitahidi kumuokoa.Hao matapeli niliwasikia wakiongea,wakipanga jinsi watakavyoahirisha kwa
muda matatizo yao ya kiuchumi.Kinachoniuma ni huyo mzee kupoteza kiasi kikubwa cha fedha,alizozichuma kwa jasho kwa muda mrefu ndani ya muda mfupi.
Jioni njema.
muda matatizo yao ya kiuchumi.Kinachoniuma ni huyo mzee kupoteza kiasi kikubwa cha fedha,alizozichuma kwa jasho kwa muda mrefu ndani ya muda mfupi.
Jioni njema.