Nataka kuwa bilionea ifikapo 2025 msaada please

Nataka kuwa bilionea ifikapo 2025 msaada please

Mkiwa kwenye hedhi msiwe mnakurupuka kuleta ujinga hapa... nenda kwenye siasa au mmu ndo kuna mbulumunda kama wewe.

look at you nincopop rumour monugering flibbertiggibbet the most imbessile person I have ever heard off!! Just behave like a person who have seen four corners of a classroom. Respect the person who discovered the computer as it wasnt meant to be used by ppl like you!!!!
 
Wanapata sh. Ngapi kwa safari?,kwa mwaka?

Punda gani amekua bilionea?

Wanapata ngapi kwa kila safari siwezijua. Ila kwamba wamebebeshwa nao wakawa mabilionea hilo linaonekana. Open your eyes dude. Watu wako tayari kukatwa shingo wakibambwa na hawaachi unadhani mchezo? Ukitaka ufafanuzi wa kina juu ya ngapi wanapata mtafute Mh. Riz1 ujieleze kwamba uko tayari.....
 
look at you nincopop rumour monugering flibbertiggibbet the most imbessile person I have ever heard off!! Just behave like a person who have seen four corners of a classroom. Respect the person who discovered the computer as it wasnt meant to be used by ppl like you!!!!

Duh! Kweli mdogo wangu vivian umepata moto! I can imagine how chocked you were as you were punching this post!
 
Ahsante mkuu je kwa maisha ya sasa yalivyo magumu kwa mshahara wa milion 1.2 utatosha nijenge na hatimae kuwa bilionea ndani ya miaka 11 from now?
Itategemea na namna ya kufikiri kwako,kuna watu wanapata sh.laki 3 aidha ni mshahara au faida kwa mwezi ktk biashara na wanajenga,na pia wanaanzisha biasharambalimbali.
 
Duh! Kweli mdogo wangu vivian umepata moto! I can imagine how chocked you were as you were punching this post!

look at you nincopop rumour monugering flibbertiggibbet the most imbessile person I have ever heard off!! Just behave like a person who have seen four corners of a classroom. Respect the person who discovered the computer as it wasnt meant to be used by ppl like you!!!!

Surely I would have called him worse names and be banned for life! Imbecile indeed that arola54! Pole vivian.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Mabilionea Tanzania wapo wangapi ?, na percent ya hao waliopo ni wangapi wapo humu JF ? na kama ni wachache huoni kwamba ni sawa na kumuuliza muuza Nyama akupe ushauri wa Uchimbaji Almasi ?.., Kama unataka theories za kuwa Bilionea zipo nyingi tu na mimi ninazo nitakupa
  • Wekeza pesa yako izae
  • Reinvest na ku-reinvest
  • Tumia njia za panya (hili Bara la letu) corruption na ujanja ujanja na kuchukua tender hewa as well as lobbying wanasiasa ili wakupe Tenda

Theories ni rahisi na kila mtu anazijua ila practice ndio ngumu na wachache wanaweza
 
Naona umeruka swali muhimu sana..
1. Why become a billionare?
Umeelekea kwenye
2. How to become one?

Tafuta appointment/jipendekeze/work for
matajir wachache wakawaida tu .. Sample 5 tu. Thousand'nares.. Observe their lifestyles, wat they do, does it satisfy them, is money everything, wana amani... ?

Ukiweza kujibu why.. Unaweza usitamani tena kua bilionea!
 
"Ukipata baiskeli..
Ooh haikimbii. Ukabarikiwa na boxer mara Moi kumejaa watu wa boda boda nataka gari..
Mungu kakupa salon mara II. Wiki mbili tu, yani nimechoka gari la kudumbukia nataka la kurukia.
Umepewa rav 4.. Jamani izi gari sikuiz zimekua nyingi nataka prado.
Mungu si juma, kakubariki na prado.. Unajua izi gari hazina balance barabarani... Afu status yangu ya range rover saiv..
Utataka paka ndege ya kivita, maana private jet inaweza istoshe..

Tamani afya nzur, amani, watoto wasome shule nzur... Maana binadamu haturithiki!
 
BOSS umefikia wapi katika safari yako,takribani miaka miwili imepita, tujuze na sisi wengine tunaoutamani u billionaire.
Nijuze nami nikupe ushauri, japo sipo hata karibu na u billionea
 
kuan matangazo ya freemason nayaona njiani mengi kwel..!!
kesho ntakupa namba yao ujiunge
 
Waungwana nawasilisha kwenu hoja yangu naomba nipatiwe mwongozo niufuate,
Mimi ni kijana wa kitanzania nina miaka 30 kipato changu kwa kazi ninayofanya ni 1200000 per month, nina mke na watoto wawili wa miaka 5 na mwingine mwaka 1.
Nawaonea wivu sana Bakharesa na Mengi na mimi nataka niwe kama wao au zaidi,
Hivyo naomba ushauri nifanye nini ili nifanikiwe malengo yangu.
Nawasilisha
2025 ndio inaishia ivyo umefikia wapi
 
Back
Top Bottom