Recent content by Mlakon

  1. Mlakon

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tanzania ndiyo Baba na Mama wa demokrasia Afrika

    Hivi demokrasia ni nini? Naona Kuna haja watanzania tupate elimu ya nini maana ya demokrasia, tukishaelewa nini maana yake ndo Sasa tutajua nani anayeongoza Kwa demokrasia hapa Afrika.
  2. Mlakon

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa NACTE ni wa polepole sana, Waziri wa Elimu shughulikia hilo

    Biafsi naelekea kukata tamaa na application za chuo kikuu. Hiyo AVN sijui naipataje na deadline ni tar 5
  3. Mlakon

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete aliwezaje kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja?

    Si tuliambiwa huyu wa sasa yuko bize ananyoosha nchi kwanza na kuongeza vitega uchumi ndipo baadae ajira na mishahara viwe maradufu.
  4. Mlakon

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Labda upate mtu akuuzie used mkuu. Binafsi natafuta nch 43 isiwe smart
  5. Mlakon

    JamiiForums Tanzania Nimewaambia huo upuuzi ishieni nao huko huko

    Kuna heading nimeiona sehemu, mtu amemchoma mwenzake kisu kisa kamwagia maji tena machafu kwamba ni kumpongeza kwa Birthday. Juzi tena mchezaji wa simba naye alichafuliwa mwili mzima kwa matope eti ni birthday
  6. Mlakon

    JamiiForums Tanzania Hela za vikoba za kikundi zayeyuka kichawi kwenye sanduku nyumbani kwa muweka hazina

    Yani pachimbike mpaks F F U wafike
  7. Mlakon

    JamiiForums Tanzania Waliokutwa na hatia ya mauaji ya RPC Liberatus Barlow wa Mwanza wahukumiwa kifo

    Haya majina kwenye matukio!! Abdallah Petro na Abdulrhaman Ismail
  8. Mlakon

    JamiiForums Tanzania Hili jambo la leo limenitoa machozi kwa kweli

    Watajitokeza wajanja wachukue hizi post zake by collection watengeneze kitabu
  9. Mlakon

    JamiiForums Tanzania Ukiona choo ndotoni usikitumie

    Kweli ukiwa ndotoni unaweza kukataa kitu au kukubali, wakati mwingine unaamuwa kuikatisha ndoto kwa kujilazimisha kuamka toka usingizini. Let say umeota unateleza kwenye poromoko la ukingo wa mto sasa unaenda kutumbukia mtoni... Ukiwa usingizini binafsi utaulazimisha mwili uamke ili usitumbukie...
  10. Mlakon

    JamiiForums Tanzania Natafuta Pool Table

    Laki 9. used??
  11. Mlakon

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kupangwa kwenye chaguzi yameondoa ari ya kujiandikisha

    Mkuu wa wilaya gani, weka wazi mkuu watu wajiandae kisaikolojia.
  12. Mlakon

    JamiiForums Tanzania Natabiri: Mahubiri mengi kesho kanisani ni kuhamasisha watu kujiandikisha kupiga kura tu....

    Mkuu jiandikishe upige kura kwa lengo la kumchagua kiongozi wa mtaa wako, kujiandikisha hakuhusiani na chama chochote cha siasa. Utachagua kiongozi atakayekuongoza miaka mitano.
  13. Mlakon

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kujimwambafai

    Siku moja niliji ''mwambafai mwambafai'' kwa mapoti flani walinikamata kwa kosa la kubaka panzi. Jamaa inaelekea unapiga sana pombe. Ungezama kwenye Uzi wa Baba lao Mshana Jr
Back
Top Bottom