Msaada: Nikifanya maombi ya chuo kikuu kupitia diploma lazima niwe na verification number toka NACTE?

Huwa inakuja muda huo huo ukiona haijaja ujue either matokeo yako hayajafika nacte, Yale matokeo yako ya diploma hivyo fanya utaratibu wa kuwasiliana na chuo chako ulichosoma diploma uwaulize?
 
Ukilog in NACTE - NAVS utaona Dashbord inadesplay Masaa nadhani yanaanza na 120Hrs (Sawa na siku 5) halafu pana ujumbe kwa lugha ya Kimalkia unasema 'Utajuilishwa kupitia Email au Namba ya Simu ndani ya Masaa 120'.
Hivyo vyo kuwa mstahamilivu na subiri muda tajwa wa Siku 5 tokea ulipolipia na kujisajili.
Huo ujumbe walinitumia kwel
 
Wajuz njoon,mnisaidie,diploma ya elimu award verification number,niitoe wap?,nahtaj kuaply chuo

Mimi nlipambana nayo sana last year, ila kwa exprience nlitoipata ni kwamba ukiona inakusumbua kupata mtandaoni au inachelewa the ni bora ufike ofisi za NACTE makao makuu, pale ni kwa haraka sana, Ahsante
 
Mimi nimeapply tarehe 17 na nimepata siku hiyo hiyo bure bila malipo yoyote.
 
Ofsin zao kwa kanda ya ziwa ziko wap
 
Back
Top Bottom