Waliokutwa na hatia ya mauaji ya RPC Liberatus Barlow wa Mwanza wahukumiwa kifo

Muganyizi nampata vizuri sana, alikuwa jamaa fulani mpole Sana na ukihitaji msaada anakusaidia. Enzi nipo shule ananiachia gheto usiku nimlindie, mizigo inaingia usiku najua ni mfanyabiashara Mana ananiambia ametoka bandarini. Nilikuwa sifatilii Sana mimi Niko bize na mambo yangu ya shule. Mwisho wa siku naambiwa kakamatwa kwa mauaji ya kamanda Barlow. Kila la kheri bro wangu Muganyizi.
 
Duuu, shukuru mzee....
Wangekukuta ungeisaidia jamhuri.
 
papason, Ticha alikua mjane kwahiyo kamanda alikua anamiliki kihalali inaonekana aliwahiwa na wauaji
mkuu ugomvi wa kugombea mwanamke huwa unakuwa deep sana si wa kurahisisha kama wanavyoongea watu hapa... unakuta kuna jamaa alikuwa anakaribia kupata mzigo halafu ghafla kamanda kwa kutumia cheo na mali zake anapita naye hapo upande wa pili lazima roho ichafuke achana na hizo habari alikuwa mjane sijui mara hv nyuma ya pazia kuna kitu ambacho watu hawajui
 
papason, Ticha alikua mjane kwahiyo kamanda alikua anamiliki kihalali inaonekana aliwahiwa na wauaji
ticha alikuwa anamilikiwa kihalali kabisaa na mchezaji mmoja wa zamani wa yanga na pamba, ila tatizo la marehem halikuwa kwa ticha pekee yake, 'wananzengo' wengi tuu walikuwa wakimlalamikia marehen kwa hiyo tabia yake ya kuwa mega mega wake zao, ebu fikiria marehem alikuwa anaishi 'ushuani' uko mwanza mjini lakini akaja kuuliwa gizani uswazi huko tena kilometer nyingi tuu toka nyumbani kwake akiwa amewatoroka walinzi wake na mkewe wake alikuwa tayari ameisha mfukuzia kwao moshi ili apate nafasi nzuri ya kuwa gegeda akina mama wa kisukuma…….
 
Unazidi kumfunga mtu

Back
Top Bottom