Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,819
- 40,602
[emoji3][emoji3] della bosa kiduku lilo
Akikupa naweka nanii jamii forum picha yanguKiduku Lilo unazo za size 16 nije kuchukua?! Hizi zangu nimetumia miaka minne sasa hadi nyuzi zinaonekana
Zangu mpaka wayaKiduku Lilo unazo za size 16 nije kuchukua?! Hizi zangu nimetumia miaka minne sasa hadi nyuzi zinaonekana
Ww nahisi ni mzungu, huna sifa ya kuwa muafrika n'a watu wanamna yako hawana nafasi kwny nchi ya tz.Askari wetu wanafanya kazi katika mazingira magumu. Hawa traffic. Jua yeye, mvua yeye. Hivi watanzania kwa nini hatuna huruma?
Nimekuta jamaa mmoja amekamatwa na traffic sababu tairi zake zimechakaa. Kiukweli huyu jamaa alipaswa ampe traffic hata 200,000 ya asante kwa kugundua hilo tatizo la kuhatarisha maisha yake dereva.
Kilichoniliza ni kuona jamaa anabembeleza asamehewe? My gosh, hii imenishtua sana. Yaani traffic kakukamata unahatarisha maisha yako na ya wengine, badala umshukuru unataka hata ya fine kumnyima? Tuwe na ubinadamu.
Traffic wa namna hii unapaswa kwanza ulipe faini kama ilivyo halafu na yeye unampa angalau 200,000. Kama asante kwa kuokoa maisha yako.
Huyo jamaa ilibidi niangalie nyuma kama anatumia gari au usafiri. Nikaona hicho chombo kimeandikwa Rav 4. Nilimuonea huruma sababu tairi zake ni kipara. Akasema tairi za gari zangu haziwezi funga mwenye huo usafiri wake. Niliumia sana.
Nikamuuliza kama tairi za Ford Ranger zinaweza fungwa pale au Range Rover ili niende naye home nikampe. Mimi tairi zangu huwa kila miezi 8 nabadilisha.
Jamaa zangu wengi wakija wanazichukua wanadai ni mpya kabisa. Wao wanaenda tumia miaka 2 zaidi.
Basi nilimwambia tu jamaa awe responsible alipe faini na pia aoneshe uungwana, ampe traffic hata Tsh 100,000 kama asante ikiwa hana 200,000.
Tujifunze ku appreciate wanapofanya vizuri. Upo vibaya sana mwachie hata 100,000. Naye aone unamjali na kutambua uwepo wake. Ma ukiwa na kosa lipa tu ndugu yangu ukiweza hata unalipa in advance. Nilijikuta tu natokwa na machozi.
Chai yenye sukari nyingi sipendelei kabisa [emoji1][emoji1]Askari wetu wanafanya kazi katika mazingira magumu. Hawa traffic. Jua yeye, mvua yeye. Hivi watanzania kwa nini hatuna huruma?
Nimekuta jamaa mmoja amekamatwa na traffic sababu tairi zake zimechakaa. Kiukweli huyu jamaa alipaswa ampe traffic hata 200,000 ya asante kwa kugundua hilo tatizo la kuhatarisha maisha yake dereva.
Kilichoniliza ni kuona jamaa anabembeleza asamehewe? My gosh, hii imenishtua sana. Yaani traffic kakukamata unahatarisha maisha yako na ya wengine, badala umshukuru unataka hata ya fine kumnyima? Tuwe na ubinadamu.
Traffic wa namna hii unapaswa kwanza ulipe faini kama ilivyo halafu na yeye unampa angalau 200,000. Kama asante kwa kuokoa maisha yako.
Huyo jamaa ilibidi niangalie nyuma kama anatumia gari au usafiri. Nikaona hicho chombo kimeandikwa Rav 4. Nilimuonea huruma sababu tairi zake ni kipara. Akasema tairi za gari zangu haziwezi funga mwenye huo usafiri wake. Niliumia sana.
Nikamuuliza kama tairi za Ford Ranger zinaweza fungwa pale au Range Rover ili niende naye home nikampe. Mimi tairi zangu huwa kila miezi 8 nabadilisha.
Jamaa zangu wengi wakija wanazichukua wanadai ni mpya kabisa. Wao wanaenda tumia miaka 2 zaidi.
Basi nilimwambia tu jamaa awe responsible alipe faini na pia aoneshe uungwana, ampe traffic hata Tsh 100,000 kama asante ikiwa hana 200,000.
Tujifunze ku appreciate wanapofanya vizuri. Upo vibaya sana mwachie hata 100,000. Naye aone unamjali na kutambua uwepo wake. Ma ukiwa na kosa lipa tu ndugu yangu ukiweza hata unalipa in advance. Nilijikuta tu natokwa na machozi.
Tatizo watu hawamuelewi Kiduku Lilo , yeye sio mtu wa kuchezea pesa. Matajiri hawagawi pesa hovyo. Naona watu wanamuomba pesa, kwa mpango upi?
Huyo jamaa ilibidi niangalie nyuma kama anatumia gari au usafiri. Nikaona hicho chombo kimeandikwa Rav 4.
Hahahahaaaa mbavu zanguKuna siku KIDUKU LILO alitukuta pale fidelity park Masaki, mimi, waziri wa maliasili kipindi kile na Dialo tunakunywa. Akamwambia mwenye bar hawa waheshimiwa wanywe kwenye hii pub miaka mitatu kuanzia leo. Ikapigwa hesabu kila mtu anakunywa sh ngapi pamoja na nyama na mchepuko wake. Tukakutwa sote kwa pamoja na mipango yetu ya kando kwa siku tunatumia Tsh 1,655,000
Basi ikapigwa hesabu
1,655,000 x 365 x 3.
Akaandika cheque akampa mwenye bar.
Nilipozinduka nikajikuta mwendokasi ushafika Kimara. Nikateremka na kupanda la Matosa
Mkuu usibishe ndo maisha yetu halisi huku mtaani tena wengine wanalipwa mpaka 150,000 kwa mwezi na maisha yanaenda tu.No. Haiwezekani.hilo ntakukatalia mpaka mwisho 200,000 mshahara wa mtu?no way.huyo mtu ataishi vipi?hilo nakataa kabisa.hizo ni kama usd 100? Au nmekosea?sasa hizo ni pesa za lunch tu kwenye kahotel flani katikati ya jiji?